Kosa kubwa kwa mwanaume ni hili. Usioe mwanamke kwa mategemeo kwamba atakuja kukusaidia kutafuta chakula ama kuendesha maisha. Wanaume wengi wanao oa kwa mtazamo wako kama huu huushia kutujazia kesi za kusuluhisha sisi makungwi.Ndoa ni Zaidi ya ngono Chief kikubwa Oa mtu ambae mnaendeana na Mtasadiana kutekeleza majukumu ili familia isonge mbele mana yote kwa yote Mapenzi hayataleta Chakula Mezani, na hata uoe huyo wa Kijijini ila mwishoni utapiga tu mechi za nje
Proportionally wapi wapo wengi? Kwani tukisema wakurya ni wakali tunamaaisha wote? Tukisema waafrika ni maskini tunamaanisha wote? (Akina Dangote si wapo?).Poleni sana, ila usijumuishe wanawake wote wanaoishi mjini kwenye hizo tabia ulizozisema, that is totally wrong
Tabia ya mtu haibadiliki kwa sababu ya mazingira, unaweza kwenda kijijini ukakuta kuna mabinti worse kabisa, tabia mbaya zote ni za kwao mpaka wakipita barabarani watu wanatema mate, na haps mjini pia kuna wenye tabia hizo lakini kuna mabinti decent ambao wanamaadili na wanajitambua
Daaah aise we jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah maisha yamekuwa kila kitu mtumba si mke si nini! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejua huko vijijini jinsi wanavyofukunyuliwa usingetoa ushauri huu.Kupata mke bomba ni kubahatisha.Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana.
Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5 akiwa na miaka 12. Anaanzwa na dereva wa school bus halafu konda wa daladala na bodaboda watafuata.
At the age of 20 anapokuwa chuo anaanza kuwa na mapedejee wa mjini. Anapuyanga weee wanam-dump akifikisha 25. Muda huo wote anapata mimba na kuitoa.
Sasa kaka zangu huyu dada ukimuoa unataka raha ama karaha?
Ukioa mdada kama huyu utaanza kuhangaika na tiba mbadala ili apate kuzaa kumbe mwenzako alishatoa mimba zote.
Atakudanganya anasumbuliwa na michango hivyo hana hamu ya tendo la ndoa kumbe mwenzako hamu alizimaliza siku za nyuma.
Wakaka nendeni mkaoe vijijini. Hawa wa mjini mimi kama kungwi nayaona na kuyasikia mengi.
Ni mimi Sexless kungwi la kitaa.
Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana.
Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5 akiwa na miaka 12. Anaanzwa na dereva wa school bus halafu konda wa daladala na bodaboda watafuata.
At the age of 20 anapokuwa chuo anaanza kuwa na mapedejee wa mjini. Anapuyanga weee wanam-dump akifikisha 25. Muda huo wote anapata mimba na kuitoa.
Sasa kaka zangu huyu dada ukimuoa unataka raha ama karaha?
Ukioa mdada kama huyu utaanza kuhangaika na tiba mbadala ili apate kuzaa kumbe mwenzako alishatoa mimba zote.
Atakudanganya anasumbuliwa na michango hivyo hana hamu ya tendo la ndoa kumbe mwenzako hamu alizimaliza siku za nyuma.
Wakaka nendeni mkaoe vijijini. Hawa wa mjini mimi kama kungwi nayaona na kuyasikia mengi.
Ni mimi Sexless kungwi la kitaa.
Lkn mkuu mazingira ya kijijini hayatoi fursa pana kama huku mjini. Kwa vyovyote vile mjini ni zaidi ya vijijini.Ungejua huko vijijini jinsi wanavyofukunyuliwa usingetoa ushauri huu.Kupata mke bomba ni kubahatisha.
Mmh! Hapana mkuu. Mazingira ya kijijini yanatoa sana ulinzi kwa watoto. Huwezi kulinganisha na mjiniDaaah umedanganywa vibaya sana vijijin hali n mbaya watoto wanaanza kuto***a wakiwa na miaka 10 watoto wengi shule za misingi washaanza kuliwa