Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 kwa hali hiyo lazima niwe na ukauzu, wenyewe hampendi u nice guy kwahyo kuna muda ni maelekezo moja tu.🤣🤣🤣🤣kumbe una ukauzu mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 kwa hali hiyo lazima niwe na ukauzu, wenyewe hampendi u nice guy kwahyo kuna muda ni maelekezo moja tu.🤣🤣🤣🤣kumbe una ukauzu mkuu?
🤣🤣🤣🙌😂 kwa hali hiyo lazima niwe na ukauzu, wenyewe hampendi u nice guy kwahyo kuna muda ni maelekezo moja tu.
Watu huwa wanakuwa wabishi hadi yawakute. Sisi tumewashuhudia na kuona matukio yao sio tu kuhadithiwa.Mwanamke wa kichaga anaweza akakuona unakufa hivi na akabaki anakutazama.
Kufanya kitu ili kukukomoa wewe mwanaume kwake sio shida kabisa. Mali yake ni mali yake tu na wala sio yenu hata kama mmechangia kwa namna gani, na ukitaka ugombane nae, basi gusa kwenye kitu anachomiliki yeye.
Ukiwa na cha kwako atatamani kiwe chake, kila kitu kizuri atakitamani kiwe chini yake. Hapo sijazungumzia kiburi, hasira n.k
Wanawake wa huko kuoa sishauri kabisa kwa mtu yeyote yule, nasema hivi kutokana na uzoefu ambao mimi mwenyewe nimepitia.
😂 msiwe mnatuchukulia poa wengine sie masoja🤣🤣🤣🙌
Shida ya makabila ya Pwani ni ile "Laissez faire" personality. Hawajali kuhusu kupata, kupoteza ila wako serious na comfort zaidi.Bora wamakonde tuu
single mother hajisababishii hio changamoto kaka.Hata mimi nilivyokuwa mtoto nilijua hivyo lakini wanawake wa kisukuma ni chupi mkononi tembelea mwanza,sengerema ,Geita uone single mother walivyo jaa na kusaza
Duh na mchumba mpare ..😊Wapare hawafai kuolewa! Waoane wenyewe kwa wenyewe! Yaani hao watu ni wabinafsi? Ving'ang'anizi na wachoyo na malaya waliopitiliza! Ili kabila ni konyo.
Hilo nakubaliana na wewe, wengi wako aggressive sana when it comes to posessions.Mwanamke wa kichaga anaweza akakuona unakufa hivi na akabaki anakutazama.
Kufanya kitu ili kukukomoa wewe mwanaume kwake sio shida kabisa. Mali yake ni mali yake tu na wala sio yenu hata kama mmechangia kwa namna gani, na ukitaka ugombane nae, basi gusa kwenye kitu anachomiliki yeye.
Ukiwa na cha kwako atatamani kiwe chake, kila kitu kizuri atakitamani kiwe chini yake. Hapo sijazungumzia kiburi, hasira n.k
Wanawake wa huko kuoa sishauri kabisa kwa mtu yeyote yule, nasema hivi kutokana na uzoefu ambao mimi mwenyewe nimepitia.
Usimsikilize boya huyo, hakikisha mpare wako sio wa kijijini. Akiwa modern hawa waliokulia mjini hawana tatizo. 😂Duh na mchumba mpare ..😊
Ni kweli mkuu tamaa za dada zetu wa kichaga tunazijua ila mimi huwa napenda ku capitalize kwenye malezi kwanza. Mtu lazma nione personality yake ikoje. Kuna wachaga wengine hawana hio nilishakuwaga na manzi mmoja alikuwa mzungu sana wa roho japo alikuwa ni mmachame.Mkuu huyo kijana anaonekana bado hajakua, hayajui makabila ya kaskazni. Wanawake wa kule wana kila aina ya tamaa ya kumiliki mali, na hata akimiliki kamwe hatotosheka endapo akaona kuna namna ya kumiliki mali zingine.
Kama wewe ni mume unamhudumia kwa kumpa laki 5 kwa mwezi ndani ya ndoa, ikatokea kuna mwanaume anaweza akampa laki 7 au 8, moyo wake wote atauweka hapo kwa mwanaume mwingine.
Linapokuja suala la mali na fedha, wapo tayari kufanya lolote lile ili wamiliki na wakishamiliki tu kuna namna watatamani wawe single ili wawe na uhuru zaidi.
Yanayosemwa kuhusu wanawake wa huko Kibosho, Machame n.k ni sahihi kabisa kwa zaidi ya 95%.
Mchaga kazaliwa wapi? Makuzi yake yakoje? Kuna wengine ni wachaga majina tu ila tabia zao zimepoa wana utu.Dah mchumba wangu ni mchaga, unanitisha mkuu.
😂haya bhana😂 msiwe mnatuchukulia poa wengine sie masoja
Kabisa mkuu, mwanamke wa kichaga akiguna ndani ya game ujue anakuektia tu, hawana uchangamfu wa tendo, ushirikiano upo chini kwao.Watu huwa wanakuwa wabishi hadi yawakute. Sisi tumewashuhudia na kuona matukio yao sio tu kuhadithiwa.
Mtu unaingia nae room kupiga show ila mkavu kama mti wa dawa. Hawana spirit ya kawaida kabisa ndani ya miili yao.
Mwenye macho aambiwi tazama hao watu ni changamoto kubwa sana! Huna kwenu? Kwanini usitafute mchumba uko kwenu, mkaishi vizuri! Asie kujua hakuthamini!Duh na mchumba mpare ..😊
Kazaliwa ROMBO, makuzi yake ni Arusha mjini. Ila kaujeuri na kiburi anako kwa mbali nisiwe muongo.Mchaga kazaliwa wapi? Makuzi yake yakoje? Kuna wengine ni wachaga majina tu ila tabia zao zimepoa wana utu.
Kama Arusha kiburi lazimaKazaliwa ROMBO, makuzi yake ni Arusha mjini. Ila kaujeuri na kiburi anako kwa mbali nisiwe muongo.
Hao ndio kabila gani mkuu?Wanawake wenye tabia kama hizi ni wanawake wa uswazi, uswahilini huko.