Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

Mwanamke wa kichaga anaweza akakuona unakufa hivi na akabaki anakutazama.

Kufanya kitu ili kukukomoa wewe mwanaume kwake sio shida kabisa. Mali yake ni mali yake tu na wala sio yenu hata kama mmechangia kwa namna gani, na ukitaka ugombane nae, basi gusa kwenye kitu anachomiliki yeye.

Ukiwa na cha kwako atatamani kiwe chake, kila kitu kizuri atakitamani kiwe chini yake. Hapo sijazungumzia kiburi, hasira n.k

Wanawake wa huko kuoa sishauri kabisa kwa mtu yeyote yule, nasema hivi kutokana na uzoefu ambao mimi mwenyewe nimepitia.
Watu huwa wanakuwa wabishi hadi yawakute. Sisi tumewashuhudia na kuona matukio yao sio tu kuhadithiwa.

Mtu unaingia nae room kupiga show ila mkavu kama mti wa dawa. Hawana spirit ya kawaida kabisa ndani ya miili yao.
 
Bora wamakonde tuu
Shida ya makabila ya Pwani ni ile "Laissez faire" personality. Hawajali kuhusu kupata, kupoteza ila wako serious na comfort zaidi.

Ukitaka kuinjoy maisha unaoa mwanamke wa pwani hawa ukishakuwa na uwezo wa kuwalisha na kuwavisha tu wanatulia tu. Wewe hata uwe pang'ang'a wao watatulia nawe tu na mapenzi tele hawawazi kukudhuru.
 
Mwanamke wa kichaga anaweza akakuona unakufa hivi na akabaki anakutazama.

Kufanya kitu ili kukukomoa wewe mwanaume kwake sio shida kabisa. Mali yake ni mali yake tu na wala sio yenu hata kama mmechangia kwa namna gani, na ukitaka ugombane nae, basi gusa kwenye kitu anachomiliki yeye.

Ukiwa na cha kwako atatamani kiwe chake, kila kitu kizuri atakitamani kiwe chini yake. Hapo sijazungumzia kiburi, hasira n.k

Wanawake wa huko kuoa sishauri kabisa kwa mtu yeyote yule, nasema hivi kutokana na uzoefu ambao mimi mwenyewe nimepitia.
Hilo nakubaliana na wewe, wengi wako aggressive sana when it comes to posessions.
 
Mkuu huyo kijana anaonekana bado hajakua, hayajui makabila ya kaskazni. Wanawake wa kule wana kila aina ya tamaa ya kumiliki mali, na hata akimiliki kamwe hatotosheka endapo akaona kuna namna ya kumiliki mali zingine.

Kama wewe ni mume unamhudumia kwa kumpa laki 5 kwa mwezi ndani ya ndoa, ikatokea kuna mwanaume anaweza akampa laki 7 au 8, moyo wake wote atauweka hapo kwa mwanaume mwingine.

Linapokuja suala la mali na fedha, wapo tayari kufanya lolote lile ili wamiliki na wakishamiliki tu kuna namna watatamani wawe single ili wawe na uhuru zaidi.

Yanayosemwa kuhusu wanawake wa huko Kibosho, Machame n.k ni sahihi kabisa kwa zaidi ya 95%.
Ni kweli mkuu tamaa za dada zetu wa kichaga tunazijua ila mimi huwa napenda ku capitalize kwenye malezi kwanza. Mtu lazma nione personality yake ikoje. Kuna wachaga wengine hawana hio nilishakuwaga na manzi mmoja alikuwa mzungu sana wa roho japo alikuwa ni mmachame.
 
Watu huwa wanakuwa wabishi hadi yawakute. Sisi tumewashuhudia na kuona matukio yao sio tu kuhadithiwa.

Mtu unaingia nae room kupiga show ila mkavu kama mti wa dawa. Hawana spirit ya kawaida kabisa ndani ya miili yao.
Kabisa mkuu, mwanamke wa kichaga akiguna ndani ya game ujue anakuektia tu, hawana uchangamfu wa tendo, ushirikiano upo chini kwao.
 
Duh na mchumba mpare ..😊
Mwenye macho aambiwi tazama hao watu ni changamoto kubwa sana! Huna kwenu? Kwanini usitafute mchumba uko kwenu, mkaishi vizuri! Asie kujua hakuthamini!
Ndio maana wazee zamani walichaguliwa nyumba za kuoa! Ila sisi usasa unatuaribu ndio maana taraka,vifo,magonjwa na kukimbia familia kumeongezeka sana!

Endekeza nyege utanikumbuka!
Labda kama umelelewa na single mother huna kwenu.
 
Back
Top Bottom