Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Wanaume wa dar waanze kuvaa chupi kama dada zao
Mimi nadhani hili linatokana na culture ya eneo husika ambapo wahamiaji wamekuta ikiwaathiri. Wanaume wa maeneo ya pwani siyo ng'ang'ari na wako legelege sana. Kazi kukaa vibarazani na kucheza ngoma tu.
 
Kipindi cha MH-JPM hatukusikiaga hizi mambo washaanza kuwachekea tena.
Wamewahi vamia mbagala sana tu kipindi Cha JPM 2018. Hivi hata issue ya kibiti si ikitokea kipindi Cha JPM? Au vijiji vya Mtwara kuvamiwa na waasi.

Kwanini mnatengeneza picha kuwa hakukuwahi tokea uhalifu enzi zake?
 
Alafu ni watoto wa miaka 8-12 ndy wanawajambisha watu wazima eti!!

Waje huku Rorya wafanye Kama wanajaribu Tu km hawakujikuta wameaamkia Kwa MUNGU Baba

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Musoma ilikua na vikundi vingi sana vya aina hii hata kuna ndugu yangu waliwahi mkata kwa mapanga kwake.

Huko si ndio mnaita Kanda maalum mbona makundi yalishamiri? Mikoani mnapenda kuexaggerate mambo sana
 
Imagine ingekuwa ni masaki na mitaa Kama hiyo yani uswahilini wanatekwa je ushuani!!!, Wanaume wa Dar wachinjwe wote tupeleke mbegu mpya huko😁
 
Musoma ilikua na vikundi vingi sana vya aina hii hata kuna ndugu yangu waliwahi mkata kwa mapanga kwake.

Huko si ndio mnaita Kanda maalum mbona makundi yalishamiri? Mikoani mnapenda kuexaggerate mambo sana
Vile vikundi havikuwahi kuteka mtaa Bali walikua ni wezi tu na vilipigana na vikundi kinzani
 
Thats reality,
Dar yenye watu kibao kama wanakuwa wamoja hivi vipanya ndani ya siku moja tu vyote vinaisha.
 
Panya awajawahi kutana na wanaume wanaojua kupiga pinde zenye sumu
 
Wamewahi vamia mbagala sana tu kipindi Cha JPM 2018. Hivi hata issue ya kibiti si ikitokea kipindi Cha JPM? Au vijiji vya Mtwara kuvamiwa na waasi.

Kwanini mnatengeneza picha kuwa hakukuwahi tokea uhalifu enzi zake?
Uliza ilikuwaje,tokea hapo uliwahi tena habari za panya au Kibiti?Jpm utawala wake ulikuwa haucheki na kima
 
Uliza ilikuwaje,tokea hapo uliwahi tena habari za panya au Kibiti?Jpm utawala wake ulikuwa haucheki na kima
Sasa ilichukua wiki moja au Kibiti ilichukua mwezi tu? Au ulitaka malalamiko yatoke Jana Leo ujambazi uishe?

Msimkuze JPM kihivyo
 
Mkoa gani mbona mikoani tunaona matukio ya kukabana kama kawaida tuu huko Tabora mambo ya fatuma yapo mpaka kesho..
 
Bro ulikuwa ukisumbua kipindi cha MH-JPM unapewa masaa tu watu wanakung’oa alaf unachofanywa siri yako mkuu.. yaani kama ukitoka mzima hauwezi rudia tena mkuu kuwa muelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…