Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kama wew umemaliza wadada wote mtaani kwetu nafikir had mitaa ya jirani 😂😂😂Utaoa ugundue Nini ndoa ni za wanaume waliotuliaNdoa ni kifungo huru
Tabu tupu huku Afrika, bado tuna hitaji kuendelea kupambana na hawa maadui wakubwa watatu UJINGA, MARADHI, UMASIKINI hasa hasa UJINGA tuna safari ndefu sana ya kumshinda.Exactly! Niliwahi kuzungumza hii mahali fulani nikaonekana hakuna ninalojua.
😂😂Raha ya ngoma uingie ucheze achana na masimuliz ya jf mm mwenyew wanavokataa ndoa jf nawashangaa wakat huku mtaani vijana wanatufata wanatak watupe nusraNikiona wanetu waliooa wakilalamika hapa jf jinsi wanapewa mbususu kama mgawo wa maji nakata tamaa kabisa kuoa
Kabla ya kuolewa mnatoa mbususu safi kabisa mkiingia kwenye ndoa mnaifanya kama silaha ya kuwaadhibu waume zenu 🤔😅
Kwahiyo ukifuatwa unadhani mambo ni mserereko ...[emoji23][emoji23]Raha ya ngoma uingie ucheze achana na masimuliz ya jf mm mwenyew wanavokataa ndoa jf nawashangaa wakat huku mtaani vijana wanatufata wanatak watupe nusra
Hiki kizazi inabidi kichomwe moto, kije kipya. 😀Tabu tupu huku Afrika, bado tuna hitaji kuendelea kupambana na hawa maadui wakubwa watatu UJINGA, MARADHI, UMASIKINI hasa hasa UJINGA tuna safari ndefu sana ya kumshinda.
🤣🤣🤣 Umeona raha ya kuwa singo unakitembeza tu muda wowote hata ukirudi saa 8 usiku hakuna wa kukuuliza.Kama wew umemaliza wadada wote mtaani kwetu nafikir had mitaa ya jirani 😂😂😂Utaoa ugundue Nini ndoa ni za wanaume waliotulia
Kwaiyo km watu waliuawa wengine tusiolewe kilamtu anaandika story ya maishayake mwenyew Na ukijiwazia mabaya yatakufuataKwahiyo ukifuatwa unadhani mambo ni mserereko ...
Kwani wale wanaouawa kwenye ndoa hawakuwahi kufuatwa kama wewe ?
😀😀😀Mudawowote wanatoroka 😀🤣🤣🤣 Umeona raha ya kuwa singo unakitembeza tu muda wowote hata ukirudi saa 8 usiku hakuna wa kukuuliza.
Hakuna wanaume waliotulia hao wanawaigizia tu ni vile wako kifungoni
NakaziaKuna maisha bila ya ndoa, maisha bora ni maisha bila ya ndoa
Naona umereport kikaoni😀Nakazia
Hatari kabisa, bara letu kwa asilimia kubwa tunakosa wingi wa watu wenye mawazo chanya katika mambo mbalimbali mfano ni hapa nchini.Hiki kizazi inabidi kichomwe moto, kije kipya. 😀
Ukitaka ujue kamwe hakihitajiki, kaa kwenye kikundi fulani ama hata vijiwe fulani tu uzungumze habari kama hizo, watakugeuzia! 😁
🤣🤣🤣 ukiona hivyo washapata michepuko. Papuchi moja tu daily asikwambie mtu inakinaisha😀😀😀Mudawowote wanatoroka 😀
Sawa sawa mzee😀🤣🤣🤣 ukiona hivyo washapata michepuko. Papuchi moja tu daily asikwambie mtu inakinaisha
mwendo wa CR7, ni kufyatua tu, na kusomesha mileage, ndoa iko bombaniNaona umereport kikaoni😀
Au nyie wenzetu mnaweza kuvumilia kusuguliwa na de libolo ileile kila siku? 🤔😅😅Sawa sawa mzee😀
Inawezekana sabbu tunanafsi za kuridhika nyie ndo maumbile yenu mwanamkewengi had asex na mwanaume huwa wameanzia mbali ila nyie mudawowote sehemu yoyoteAu nyie wenzetu mnaweza kuvumilia kusuguliwa na de libolo ileile kila siku? 🤔😅😅
Tatizo lenu kitonga sana na tamaa za kutaka kupata vitu vizuri ndo zinawafanya mnyanduliwe sana. Mwanamke yupo tayari kuuza mwili wake kwa ajili tu ya iPhone macho 3Inawezekana sabbu tunanafsi za kuridhika nyie ndo maumbile yenu mwanamkewengi had asex na mwanaume huwa wameanzia mbali ila nyie mudawowote sehemu yoyote
Hao unaoeasifu,ulizia bodaboda au madereva bajaji,tabia za hao wanawake.Ndoa ni kwa wanamume tena waliokamilika kiakili sio kwa wanaume au wavulana..
Jamani oeni wanawake ambao ni wa hadhi zenu watakaowatii na kuwaheshimu na kuheshimu ndoa mbona bado wapo