Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Iwekwe AGENDA KWA WANAUME KATAA NDOA!
Ni mwendo WA kuchapa ilale na kuzaa Tu. Tena hakikisha Mali zote unaandika Kwa majina yako na uwe umeandaa urithi.
Wanawake ndio wanufaika WAKUBWA WA ndoa kuanzia mwanzo Hadi kwenye mchakato WA talaka.
Kama huamini jiulize ni mwanamke Gabi umewahi kusikia amefirisika Kwasababu ya talaka ! Ila kuna mamia ya wanaume wamejiua, kufirika na kuchanganyikiwa Kwasababu ya talaka.
Mwanaume kataa ndoa.