Too much process za kuvunjaKwamba katoliki ndio haivunjiki au katoliki haiwezi Mali kuandika jina la Mama?
Sent using Jamii Forums mobile app
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺchild support anaweza pata
kumbuka ndoa si ajira, na kulea ni jukumu la wawili siyo la mmoja
tunawao na kuwafanya, ila lazima tuwawekea access control ..
Ubinafsi huu.child support anaweza pata
kumbuka ndoa si ajira, na kulea ni jukumu la wawili siyo la mmoja
kivipi ?
Hata kimuziki anabebwa na rude boy ndio maana kipindi wakiwa solo artist rude boy ndio alikuwa akifanya vyemaOfcoz hili jamaa huwa nakubali mziki wake tu, ila yeye kama yeye hana akili kabisa. Psquare ilibidi iwe no1 africa lkn utengano wao wa kila siku umewarudisha nyuma sana
Hela hampati na shoo mtunyime tu,
Utalia peke yako.. π πWengine hatujui kuficha pesa
Tafuta MTU unayempenda kiasi kwamba hata mkitengana huoni uchungu kumpa Mali.kivipi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 500? Wee miaka 59 ijayo tuu watu tutakuwa tunagegedana hadhari kama mbwa tuu. Ndoa itakuwa zilipendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela hampati na shoo mtunyime tu,
Vichaa wapo tutaponea kwao
Nishalia kuna mmoja nilimpa kadi ya bank sijui aliniloga nikikumbuka anjitukana mwenyewe ππUtalia peke yako.. π π
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺtunawao na kuwafanya, ila lazima tuwawekea access control ..
Ndo hivo, mie kuna kidem kumenizalia huwa naspend nacho muda mwingi nikiwa likizo, anakaa kwenye nyumba yangu lkn nikiwa pale kuna siku naweza kuamka saa nane usiku nikawasha baby woka yangu huyo. Narudi kesho saa tano. Siku moja akahoji nikampiga biti moja hadi akatulia. Pale home anakaa na mdogo wangu wa kike napaties kila info, na mwaka huu nitafunga cctv.Mwanamke hatakiwa kujua mvt zako , kama kujua ajue 3% tu.. π π π mengine asijue
βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈNishalia kuna mmoja nilimpa kadi ya bank sijui aliniloga nikikumbuka anjitukana mwenyewe ππ
kila mtu atafute za kwake aisee ndoa si ajira, si investment kusema kuna ROI baada ya kutokaTafuta MTU unayempenda kiasi kwamba hata mkitengana huoni uchungu kumpa Mali.
Sent using Jamii Forums mobile app