Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺNdo hivo, mie kuna kidem kumenizalia huwa naspend nacho muda mwingi nikiwa likizo, anakaa kwenye nyumba yangu lkn nikiwa pale kuna siku naweza kuamka saa nane usiku nikawasha baby woka yangu huyo. Narudi kesho saa tano. Siku moja akahoji nikampiga biti moja hadi akatulia. Pale home anakaa na mdogo wangu wa kike napaties kila info, na mwaka huu nitafunga cctv.
Jinsia yyt ya kike haina haki ya kuelewa mishe za me, wakikuelewa tyr watakudharau. Hata kama huna hela ww jitahidi usisomeke tu
Dah sitaki kukumbukaβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
Petro wa Psquare huyu hapa juu mkuu National Anthem
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺkila mtu atafute za kwake aisee ndoa si ajira, si investment kusema kuna ROI baada ya kutoka
Ubinafsi gani? Tuliambiwa tuishi nanyi kwa akili na Hakimi ameitumia hiyo akili imekua ubinafsi?Hakuna,huo ndo uhalisia....muache ubinafsi wanaume....tupendeni kweli
Alikuazizi ki nini huyo manzee!?Dah sitaki kukumbuka
Sina mtoto utaki πππ nataka unipatie wewe
Nawapa pole wanao.Hela hampati na shoo mtunyime tu,
Vichaa wapo tutaponea kwao
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺUbinafsi gani? Tuliambiwa tuishi nanyi kwa akili na Hakimi ameitumia hiyo akili imekua ubinafsi?
Nitakua wa mwisho kuamini kuwa Huda hakufuata/hakushawishika na pesa kuolewa na hakimi. Na kwa sababu hiyo hakimi yupo sahihi sana kwa alivyofanya cha msingi atoe child support maisha mengine yaendelee
Ndio dawa yao.. nilisha ambiwa hela zote, niwe namkabizi π π π ..Ndo hivo, mie kuna kidem kumenizalia huwa naspend nacho muda mwingi nikiwa likizo, anakaa kwenye nyumba yangu lkn nikiwa pale kuna siku naweza kuamka saa nane usiku nikawasha baby woka yangu huyo. Narudi kesho saa tano. Siku moja akahoji nikampiga biti moja hadi akatulia. Pale home anakaa na mdogo wangu wa kike napaties kila info, na mwaka huu nitafunga cctv.
Jinsia yyt ya kike haina haki ya kuelewa mishe za me, wakikuelewa tyr watakudharau. Hata kama huna hela ww jitahidi usisomeke tu
Ndio rudeboy kakaa kitaalam sana, ila choreography na discography ya Mr P iko zaidi ya rudeboy. Hawa jamaa hawakua mapacha bahati mbaya, sababu hata kimuziki wanategemeanaHata kimuziki anabebwa na rude boy ndio maana kipindi wakiwa solo artist rude boy ndio alikuwa akifanya vyema
Ilikuwa siku ya mench baada ya mechi kuisha nikampa kad morng nipo matembezini si ndo nakumbuka kad niligawa janaAlikuazizi ki nini huyo manzee!?
Poa mzima wewe?
Hiyo mbususu hata kichaka anayo
Pole mkuuIlikuwa siku ya mench baada ya mechi kuisha nikampa kad morng nipo matembezini si ndo nakumbuka kad niligawa jana
Hivi Petro ndo Kulwa!!?Ndio rudeboy kakaa kitaalam sana, ila choreography na discography ya Mr P iko zaidi ya rudeboy. Hawa jamaa hawakua mapacha bahati mbaya, sababu hata kimuziki wanategemeana
Humu wengi wetu ni bendera fuata upepo. Tunapoteza muda kuwadiscuss watu na wametuzidi mbali sana [emoji23]Aisee hii naona wanawake wa jf wamefuraa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulieni bwana upepo tuu huu nyie mbususu zenu tamu tutawapa tuu mali tukiachana.
Na hawatokaa waamini. Sheria ya ndoa ipitiwe upya.πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Hawaamini macho yaooooooooo
Kwa hiyo umeoa mmachame?Mimi binafsi mali zangu au vitu vyangu nikitaka kununua mama lazima ajue na nimemwandika yeye kwenye vitu vyangu vingi sana nimejifunza kwa mjomba wangu
Mwanamke anaweza kukua ili abaki na mali hasa wamachame
Mkuu shukraniKuna uzi flan nikiweka kuhus sheria za ndoa kufanyiwa marekebisho lakin nahs wali ushikiria:
Iko hiv wanawake wa sasaiv wamekuwa wanakasumba moja yakuto kusikiliza wanalotaka liwe,wanapenda sana kuish singo mother wakiamin awapat aza yoyote
Wanahamin ata angetafta mwanaume yy akizngua mar ztagawanywa ala akitafuta yy na akazngua mari zinabak kwakwe wakiamin mwanaume anaish katka har yoyote ndo maana unaona wanaume weng leo ni ma hopeless,stress kibao n.k
Asilimia kubwa ya wanawake leo wanakuja kuish kwa mwanaume kwa lengo flan na wala siyo upendo ndo maana unaona usaliti n mwing kwa wanawake yan sasaiv ukitafuta nyuz za wanaume kusalitiwa n nying kuliko za maendeleo.
NDIYO MAANA NKASHAUR WANAUME MALI ZETU ANDIKISHEN MAJINA YA MAMA ZENU IYO NDO NJIA RAHIS YA KUKUFANYA UISHI BILA STRESS NA MAGONJWA YA SUKAR NA BP