Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Kweli kabisa kuna mtu anapenda kukaa singo maza? Na kama yupo ni anadanganya, deep down anataka sana mtu sema hajabahatika.

mawazo ya kuvunja ndoa ili mgawane mali nadhani Tz sio sana kama huko Ulaya.
 
Bado hamjakuwa. Still boys mind...

Mkiwa wakubwa mtaelewa how the game goes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Ile current ruling ya mahakama Kuu ya Kenya kuwa kwenye kugawana baada ya ndoa kuvunjika hakuna mambo ya:
1)Sijui alikufulia nguo

2)Sijui alikuuguza

Kikubwa ukitaka mgawanyo ni lazima Kila mtu aonyeshe risti ya kile alichonunua ndani
Hiyo imekaa vyema maana wanataka 50/50 wasioweza kuitendea haki
 
Bado hamjakuwa. Still boys mind...

Mkiwa wakubwa mtaelewa how the game goes

Sent using Jamii Forums mobile app
SIku ukapigwa tukio, ndio utajua hizi bi boys mind au taadhari ... nimekaa na mzee wangu ana zaidi ya mika 80.. anamwaga darasa la taadhari ya kuishi na wanawake hasa katika kizazi hiki cha tamaa na ukaidi..

C c Emmanuel Eboue alikuwa amepanda na kuamini sanaa. Kidogo ajiue ..
 
Mpe hi mzee wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…