Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Kweli kabisa kuna mtu anapenda kukaa singo maza? Na kama yupo ni anadanganya, deep down anataka sana mtu sema hajabahatika.

mawazo ya kuvunja ndoa ili mgawane mali nadhani Tz sio sana kama huko Ulaya.
Kwa tz ukipata mtoto aliokulia maisha ya kikawaida ya kiswahili na hajasoma sana mnaweza enjoy kiasi, na ukiwa dominant ukamshape unavyotaka basi umeula.

Kuna jamaa yangu alinambiaga anarudi bush kuoa, hio ilikua 2015. Kaenda kule kamwambia mama ake anataka mke mama mtu akabahatisha kabinti ndo kamefeli form 4 mwaka wa nyuma yake. Chap dem akaelekezwa jamaa akamchukua kamleta town kwanza na 2017 wakarudi kwao kufunga ndoa. Kiukweli ni kati ya watu nnaowajua wanaofurahia sana ndoa zao, hata ukiwaona tu utajua. Kwanza mke wake ukiwa unaongea nae kila mara lazima amsifie mume wake. Kuna watu wana bahati ila sie wenye nyota ya hakimi ndo inabidi tutumie akili saaaana
 
N
Mwanamke mtumie km kitotolesheo cha vifaranga na uikiangalia kwa makini,ni kweli mama yangu angezingua kwa baba,basi yy kutumika km kitotolesheo ilikuwa sahihi.
Ndugu yako ni mtoto,mzazi wako,mke ni rafiki yako tu na urafiki unaweza kuisha muda wowote.

Wanawake wana litambua hili,ndio maana kesi za wanawake kuua waume zao hata km siyo rasimi ni nyingi sana na chanzo huwa ni kutaka kumiliki mali.
Sasa sisi wanaume huwa tunajifanya tuna upendo sana,huruma. Lkn hawa viumbe ni hatari kuliko kisukari.
 
Walimunyoooooooshaa
Tuna mifano mingiii sana nzee.. tunantumia huyo mwamba kwakua ni maarufu ila wapo wengi sana, na wengine hata walikufaa na misongo ya mawazo kwasababu ya hao viumbe wa kike.. mwanamke kuishi nae ni kama umefuga simba pori au pitbull mda wowote ana kujeruhi mfugaji 🤣🤣🤣
 
Hata hao wasomi ukimpata wa Ubavu wako pepo unaanzia kuiona hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…