Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Kama umetongozwa leo na umeanza kuomba pesa kuna tofauti gani na mwanamke anayejiuza?
Ukikutana naye asubuhi, anakuambia njaa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ushakuwa baba yake mzazi halafu ukipiga dk 3 umemaliza anaanza kulalamika humfikishi kileleni[emoji3][emoji3][emoji3]
Wana mambo ya ajabu sana demu anakuomba hela ya chama sasa kama hana uwezo wa kuchanga alijiunga ili iweje?
 
Hello

Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na urafiki uishe.

Hili tatizo la wadada kuomba omba hela lipo dunia nzima, nimechunguza kuwa sio Tanzania tu, kwenye online forum za Nigeria, Kenya, marekani etc koote wanaume wanalalamika mitandaoni

Sijajua future ya mahusiano inaelekea wapi.
View attachment 2920955
Halafu wanawake walivyo wajinga, ukikosa tu kuwatumia pesa, utasikia, " you dont care about me"... sijui ni lini kutumiwa pesa ikahusishwa na ku-care... huwa nakasirika sana nikisikia sentensi hiyo, ni kama vile wote ni changudoa, pesa na wasahau walipo tupa magaguro yao... omba omba pesa ni mbaya sana katika mahusiano... wamekuwa tegemezi sana kwa kweli...kazi ya ni kutengeneza mazingira ya kuvuna maokoto tu na kutandaza miguu...kwa kweli ladies (wahusika), muna tukwazwa sana mioyoni mwetu... acheni tabia hizo.
 
Huyo ni Malaya mwanamke timamu hana sifa hizo
Kama mwanaume rijali unajua kabisa mwanamke anaishi kwa kumtegemea mwanaume. Yes!
Mwanamke ana mahitaji yake. Unaomba hela kwa mpangilio na hakuna mwanaume atakayemnyima hela mwanamke mstaarabu, mwenye upendo, mtiifu na mwenye kumheshimu mwanaume
Asubuhi unamsalimia, anakuomba hela ana njaa, hakutafuti baada ya hapo, ukimpigia simu kumsalimia ndiyo muda wake wa kueleza matatizo yake. Hela haichimbwi, inapatikana kwa kufanya kazi
 
Ila mkuu Tz tunazitetemekea sana mbususu ,ndio maana zinapanda bei na kuuzwa , nina ushahidi kuna nchi kuna pisi za moto ila zimekosa mtu wakuzichakata unakutana nazo zinafanya shopping [emoji877] ya kununua dildo mpaka unashangaa.
😁😁😁😁
 
Hapa hapa danta mbunye zinapanguswa kwa fereree tu af safi. Unalipiaje penzi kama sio ukichaa.πŸ˜‚
Dah!! Basi cazee umejipata hongera km humu wanakubariki uwapige free pombooo aiseee
Ila wanawake wenzetu humu mnavunja katiba ya chama waziwazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Iv ata mishangazi nayo inaomba pesa ? ,mbona naonaga inajimudu nakuwalea vijana[emoji848][emoji848]
Mishangazi ina watu wao wa kuwaomba pesa ili wawahonge marioo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna wenye ajira bado ni waombelezi. Kuomba omba ni hulka.
Hao wenye ajira, wengi ndo siwaelewi kabisa, bora hata mdada awe jobless hana biashara, ukimtongoza akiomba hela, mwanaume unatoa hela ukiwa unajua unamsaidia tu kama binadamu, hata akikataa kutoa papuchi, fresh tu.

ila sasa hawa wadada wenye ajira, tena unakuta huenda mshahara wake na savings kakuzidi mara mbili, bado anakuomba hela, na hamko kwenye mahusiano, ni ndo ile umemtongoza tu, nashindwaga kuwaelewa kwakweli Kelsea
 
Hivi zingekuwepo za bure mngekuwa mnalalamika humu kila siku mnaombwa pesa?? Hata house girl ukimuomba lazima akwambie umsaidie kazi zake itakuwa mdada anayejihudumia akubariki bure bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Papuchi za bure zipo, kwa sisi wanaume kama mwanamke anakuona wewe ni handsome, atakupa papuchi kwanza, pesa atakuomba baadae sana, ila kama mdada anakuona sio handsome, una muonekano tia maji tia maji, ndo kuombwa ombwa hela kunaanzia hapo.

Wanaume wengi hatuna muonekano mzuri wa kushtua wanawake, shida ya kuombwa hela ndo inaanzia hapo

Mimi binafsi kama nimemtongoza mdada, hata akijibu vizuri mtongozo wangu, akiniomba hela kabla sijala papuchi yake, namwambia tu sina au kuna mchongo nasikilizia, halafu namtoa akilini mazima, maana kichwani najua huyu mdada ananiona nina sura mbaya

Labda kama mwamba extrovert na mshamba hachekwi wana Cha kuongezea hapa Extrovert mshamba_hachekwi
Lamomy Ms eyes
 
Hello

Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na urafiki uishe.

Hili tatizo la wadada kuomba omba hela lipo dunia nzima, nimechunguza kuwa sio Tanzania tu, kwenye online forum za Nigeria, Kenya, marekani etc koote wanaume wanalalamika mitandaoni

Sijajua future ya mahusiano inaelekea wapi.
View attachment 2920955
Kama hutoi hela huwezi kula watoto wazuri, toa hela suuza rungu sepa.

Mwambie aje achukue hela gheto au sehemu ya kukutania iwe chumbani akupe mzigo ndiyo umpe hela na unaweza amua uongeze au uipunguze ukisha kojoa vile vile unaweza amua kumpiga kalenda

Tumieni akili lasi hivyo hutakaa ule papuchi zaidi ya nyeto
 
Papuchi za bure zipo, kwa sisi wanaume kama mwanamke anakuona wewe ni handsome, atakupa papuchi kwanza, pesa atakuomba baadae sana, ila kama mdada anakuona sio handsome, una muonekano tia maji tia maji, ndo kuombwa ombwa hela kunaanzia hapo.

Wanaume wengi hatuna muonekano mzuri wa kushtua wanawake, shida ya kuombwa hela ndo inaanzia hapo

Mimi binafsi kama nimemtongoza mdada, hata akijibu vizuri mtongozo wangu, akiniomba hela kabla sijala papuchi yake, namwambia tu sina au kuna mchongo nasikilizia, halafu namtoa akilini mazima, maana kichwani najua huyu mdada ananiona nina sura mbaya

Labda kama mwamba extrovert na mshamba hachekwi wana Cha kuongezea hapa Extrovert mshamba_hachekwi
Lamomy Ms eyes
Hao walikuwa wanawake wa enzi za mwalimu wanaokupa free sababu ya muonekano bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ss hivi hiyo haipo kwenye katiba ya chama, tulishafanya marekebisho kwenye vifungu vyote vilivyotumiwa na mabibi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom