Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

Kuna wanawake wa uma na kuna mke. Mke ni yule ambaye akipita anaheshimika kama mama na wanawake wa uma ni wale wanaowageuza wanaume shingo na kupigiwa miluzi.
 
Haki sawa ni mpango wa shetani. Bila kuwa na Yesu mtu wa ulimwengu huu habadiliki.
Bora we unajielewa kiasi chake. Wale wanaojiona bado wana miaka 23 ilihali wamezaliwa 1991 wacha waendelee kupuyanga. Fainali uzeeni
 
Kuoa mwanamke mrembo kupitiliza Ni hatari Sana kwa muoaji.

Mwanamke mrembo Sana huvutia attention za wanaume wengi na mwisho wa siku huishia kutongozwa na wanaume hao.Na hii itamfanya mume wake kuwa na Hali ya " insecurity" kwa mke wake na bila Shaka jamaa atakosa amani kbsa maishani mwake.

Haijalishi mwanaume Ni tajiri kiasi gani.Huo utajiri wake Hauwezi kuondoa uhalisia kwamba mkewe ambaye Ni mrembo kupita kiasi atazidi kushobokewa na wanaume mbali mbali na mwisho wa siku kutongozwa.
 
Well said.
 
Hapo kwenye oeni vitu vya kueleweka hapo, ndio pa kuweka wino mwekundu. Vipi we ushaolewa Mkuu?
 
Mkuu wanawake wa design hii ni wachache sana infact ONE IN A MILLION.
 
You sound religious madam hongera...
 
Umeongea kwa hisia sanaa. Anyway tumekuelewa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Si kazi rahisi, shetani analeta kujiinua. Ninapogundua nimepandisha mabega, ninarudi kwenye toba, namuomba mume wangu msamaha, tena kwa magoti na machozi na kuumia kutoka ndani kabisa
Ni kweli haya usemayo lakini..!?
 
Mimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
Hahahaha
 
Pole sana. Pesa muhonge mama yako, hutojuta
Nimekuwa nikifanya hivyo sema sasa nimeongeza kiwango kwa maza. Ile ambayo nlikuwa nawapa manungayembe sasa nayo namtumia yeye.... Yaani msichana akisema tu "baby nina shida na 100,000 nina tatizo..hiyo laki moja haraka namtumia mama🤣"

But ikitokea nikamwona msichana ana shida genuine. Namsaidia hata kama sitopewa papuchi. Nakataa tu yale manungayembe.
 
Visanga vya Ndoa, Again.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…