BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Ya nini kugeuka mlinzi....na siyo mume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila kijungu ni uongo
You talk a good game lady😍Si kazi rahisi, shetani analeta kujiinua. Ninapogundua nimepandisha mabega, ninarudi kwenye toba, namuomba mume wangu msamaha, tena kwa magoti na machozi na kuumia kutoka ndani kabisa
Karibuhapa ntarudi ASAP.
Huyu ukikatiza nae kwa wajuba wenye koba kweli lazma ucharaziwe tu. Mwisho ni kuachana baada ya mateso makali kihisia. Na dada zetu walivyo na njaa njaa dah.
Bora we unajielewa kiasi chake. Wale wanaojiona bado wana miaka 23 ilihali wamezaliwa 1991 wacha waendelee kupuyanga. Fainali uzeeniHaki sawa ni mpango wa shetani. Bila kuwa na Yesu mtu wa ulimwengu huu habadiliki.
Well said.Sijawahi maishani mwangu. Kwetu nilifundishwa kufuma vitambaa na kufuga. Nilikuwa na fuma vita vya aina mbalimbali natembeza maofisini najisomesha.
Maofisini nilikuwa natembeza mayai ya kwale enzi zile na mayai ya kuku wa kienyeji. Wazazi wafundisheni binti zenu kujitegemea yangu wakiwa wadogo, itawasaidia
Mkuu wanawake wa design hii ni wachache sana infact ONE IN A MILLION.Tatizo la hivyo "vitu vya kueleweka" ni kutaka kuwa juu ya mwanaume..!! Mwanamke mwenye hela kuliko mume, elimu kuliko mume na madaraka popote kuliko mume, huwezi mtuma chochote kama mume..!!! Wana tabia ya kuamini walivyonavyo vinawapa nguvu ya kutawala eneo husika..!! Kumkuta mwenye hivyo vyote and still akawa submissive kwa mumewe, ni very rare, wapo wachache sana..!! Hence uchache wao, unafanya probability ya kujua kuwa huyu ndiye mwenyewe inakuwa ndogo sana.
Sura gimbi..Sura gwaride
You sound religious madam hongera...Kwangu hatuongozwi kwa namna ya ulimwengu. Tunaongozwa na Roho wa Bwana.
Neno linasema Basi nasema enendeni kwa roho, maana hamtazishinda kamwe tamaa za mwili.
Mwili hutamani vingi vya ulimwengu huu, lakini kwa kuenenda kwa namna ya rohoni tunashinda vyote
Umeongea kwa hisia sanaa. Anyway tumekuelewaWanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Ni kweli haya usemayo lakini..!?Si kazi rahisi, shetani analeta kujiinua. Ninapogundua nimepandisha mabega, ninarudi kwenye toba, namuomba mume wangu msamaha, tena kwa magoti na machozi na kuumia kutoka ndani kabisa
HahahahaMimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
Nimekuwa nikifanya hivyo sema sasa nimeongeza kiwango kwa maza. Ile ambayo nlikuwa nawapa manungayembe sasa nayo namtumia yeye.... Yaani msichana akisema tu "baby nina shida na 100,000 nina tatizo..hiyo laki moja haraka namtumia mama🤣"Pole sana. Pesa muhonge mama yako, hutojuta