WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Umeandika upuuzi mwingi sana mdau
 
Duuh, mimi nikiwa sina pesa huwa sitoi mguu wangu hata nje ya mlango! how comes mtu anatoka hana pesa

Si anakuwa unatolewa outing... kwa iyo anakuwa hana mawazo kama watamuachia msala wa bili. Kama unavyoona wanawake mamafia, na wapo pia wanaume mamafia.
Ila kwa mwanaume mwenye akili timamu, huwezi mwachia mwanamke bili ili adhalilike. Ni upuuzi.
 
Yaani unanitoaje out hujaipanga? unakuwa umechanganyikiwa au, ndiomaana ni boa utoke na akiba yako tu, watu wanumwa akili!
 
Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy 😭
Ndo mwanzo wa kuonekana hujui mapenzi, huna nguvu za kiume n.k kumbe n girl mwnyw amezoea mikikimikiki

Ah kudadeki, Sir God naomba uniepushe na hiki kikombe πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…