ebro jerry
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 354
- 657
Usinyoe bibie..Huo ni mvuto wa asili ulionao,..JIAMINI..Sio pigo zangu hizo
Mi ndio wale hawana tamaa
Bora nitumie wembe kuliko hayo.nkipata hair remover napitisha
Mpaka nkiomba hela ujue nimekabwa kwelikweli..ila sio Kwa mtindo huo
Sawa bossHuna haja ya kuharibu huo mvuto ulionao..Wala usifanye waxing kuondoa utamu huo
Inabidi na wewe usiwe mnywaji wa pombe kama ndiyo hivyo..Mwanamke anayekunywa pombe
Sasa hapo mambo ni bambam ๐ฅฐ๐๐๐Sinyoagi bwana..napunguza tu
Bro umeniongezea nyingine aisee..nilitaka kusahau..Miaka flani nilikutana na mwanamke mzuri sio kidogo, ilikuwa ni sehemu nimeenda kupata msosi, yeye kakaa meza ya mbele peke yake, anasubiri oda yake, nikajikaza kiume, nikamfuata.
Oda yake ikaja, yangu ikafuata, tukaendela kupiga stori huku tunakula. Basi ijabu ikafuata, amemaliza kula, amekuja mhudumu kumnawisha, si akamwambia anahitaji "Ashtray". ๐
Kumbe demu anavuta sigara, akatoa pakti la sigara embassy akawasha. Nikasema kimoyomoyo enhee, hii mpya. ๐
Sitaki kusema nini kilifuata, ila mood yangu ilikata pale pale wazee. ๐
Nimekuelewa..mimi ugumu naousemea sio wa kuingilika ni ule wa kimwonekano, kama anataka kila kitu awe like a man, ila unakuta mdada ana base ila she sounds kiuanawake ama anatembea kwa kudunda ila ana sauti ya kike
me nasemea zaidi hao wanaojiona washkaji wenzetu
Sahihi kabisa..Vinyweleo viachwe kwa kweli..๐ฅฐ๐๐Nitaoga maji ya ugali, ila kwenye vinyweleo hapo hamna hajui matumizi yake
Sijamaanisha lazima anyoe kipara..Raha ya **** iwe na tuvuzi kidogo. Dem ananyoa para kabisa, K ka ya mtoto!? Inanikata sana.
Hajajua uhondo wa vinyweleo na matumizi yake vinavyoamsha Nyege za aliyenavyo..Vile ukiguswa navyo unakaa rada, mwanetu haelewi kabisa๐
Kunuka kinywa/Mdomo sio mtu Mmoja tu ndiyo anakusikia pekee, watu wote wanasikia hiyo harufu twatofautiana Namna ya kuvumilia tu hiyo harufu kwa mhusika..Na unamkuta boy huyo huyo nae ana mapungufu kbao kuzidi hata huyo girl.
Inawezekana mm najiona niko fresh kumbe kuna girl ananiona nanuka mdomo knoma ๐
Kweli inawezekana wanajua kujisafisha na pia hawana maambukizi... Hongera kwa kufaidi, maana harufu inakata stimu sana..Mm ndo mana najionaga bado mshamba sana wa sex, h ishu sijawah kukutana nayo na mademu niliopita nao n wa kawaida mno, hakuna wa kishua hata mmoja.
Sio wote wanaona hvyKunuka kinywa/Mdomo sio mtu Mmoja tu ndiyo anakusikia pekee, watu wote wanasikia hiyo harufu twatofautiana Namna ya kuvumilia tu hiyo harufu kwa mhusika..
Bro ume badilisha mstari wa hatuna kesi by blue, ukasifia kibumbu ๐๐Nasoma methali za kiumeni hapa, nikimaliza nipitie nahau, kisha vitendawili, nishasoma methali 1976, kuna hizi mbili hapa zimenichekesha
1. sichagui sibagui, atakaenipa PAPA simjui.
2. Mchagua PAPA, si mtombaji.
๐๐คฃ
Sema kiuhalisia kabla ya sex wote inabidi mjisafishe kwanza..Sio watu mmeznguka 10 Km Juani, jasho kama lote halafu ufike ndani utegemee harufu isiwepo..Wanaume Tunavumilia mengi , unakuta mtu ananuka chiu alf kakomaa anataka doggy style kafungulia exhaust yote puani kwako ๐คฎ๐คฎ mbaya zaidi hakojoi mapema acha niishie hapo ndugu mjumbe
Ukigonga usimsimulie mwenzako utamu ulioupata..Kama tumetofautiana hivi najiuliza sasa kwanini tunagongeana/tunashea?
Sawa bwana Kukungbendu Wazabanga Mobutu Sesesseko ๐๐๐Mwanamke ni mwanamke tu, yeyote atakayelegea kulengwa analengwa,sinaga turn off wala kinyaa.