Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Mungu akufanyie Wepesi Mumy..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicheki inbox naweza nikakusaidia kama utahitaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wewe umetoa muongozo maana kuna wavulana huko juu wanajiropokea tu.
Dah...ila nawakumbusha tu hawa dada zetu.... kama wanasubiri wazae kama bikira Maria wajue hilo haliwezekani aslan....
Kwani imeandikwa..
"Mfisha ushi hadhai" Wadigo 23:6
[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Uwakumbushe wenzako wakiwa wanatiana moyo watueleze sababu zinazowafanya wasipate watoto sio wanatiana moyo tu.

Maana kila kitu kina sababu.
Watanzania wanapenda kuingiza siasa kila mahali. Mtu aseme kwa nini hapati mtoto sio kuangalia matokeo tu. Sababu ni nini? Ulitoa mimba? Na wakati unaolewa ulijua kuwa huzai? je ulimtaarifu mwenzio kabla ya ndoa na akakubali kukuoa hivyo hivyo au ulimtapeli?
Wako wanawake wanakula njama na madaktari ili kusaidia kuwazuga waume xzao (wale wanaume mazuzu) kuwa watazaa siku moja wakati kizazi kiliishang'olewa kwa utoaji mimba.
 
Asante. Ndivyo ninavyofanya.

Pole sana Tausi ..wala usikate tamaa wakati wako haujafika! Kuna mdada ameanza tafuta mtoto akiwa early 23..akaja bahatika kupata mimba akiwa 45!..leo hii mwanaye ana 14!..hebu jaribuni na dawa za kisukuma au kihaya!..mie hua ni tomaso kwenye mitishamba ila kupitia yule dada na ndugu yangu mmoja nikaanza kuziamini! Zipo unazaa mapema tu!
Wengine tunajilaumu tuna vizazi vya paka!Mungu akupe mtoto mwaka ujao mamy!
 
mtoa mimba mkubwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you! Hospitali zipi zenye expertise kwenye hizo mambo preferably in Dodoma or Dar?
Dodoma nenda Lancet ipo uhindini I can give u contacts za wahusika wa pale. Kwa dar Regency hospital sio mbaya. Ila ukionana na Dr mwambie shida yako vizuri anaweza kushauri vipimo vingine vya kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna punyeto haina madhara hayo. Nenda hospitali kafanye sperm analysis. Anzia hapo mengine daktari atakushauri. Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...kabla ya kwenda hospital anaweza fanya analysis mwenyewe...Jaza maji ya bomba ndani ya glass...changanya na sukari vijiko 2 vya chakula na chumvi vijiko 2 pia. Koroga hadi iyayuke yote...Kisha piga bao lako ndani ya glass...angalia mbegu zimezama kiasi gani ndani ya maji...Kama ni zaidi ya nusu Basi uko vizuri....
Angalizo: Uchunguzi huu hufanywa baada ya masaa 24 toka ulivyopiga bao la mwisho [emoji41][emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Nitafute nikwambie sababu na tiba yake. Atafutaye hachoki.
 
mtoa mimba mkubwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 2:
فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٌ فَزَادَهُمُ اللَّهُ مَرَضًا ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ بِمَا كَانُوا يَكْذِبُونَ - 2:10​

10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
 



Duh hii ni sayansi au uchawi😀😀
 
Ndo maana wanaume huwa tunaanza kutest mitambo ukiona mpenzi wako kapata mimba ndo unaanza maandalizi ya kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…