Mshukuru Mungu kwa hali unayoipitia..Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Jaribu kubadili beberu wenda ndiyo lennye shida.. [emoji23] [emoji23]Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
IVF je?Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Tumia surrogate Achana na wewe kupandikizwaNi mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Std 7 wengi!?? Kwa hiyo wote huwa wanakwambia wew tuMimi nawafahamu Std 7 wengi tu wanahangaika kupata watoto hebu tuacheni kuhukumu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...acha kulialia bana...tuliza akili..kitaalaam sababu za kuto kupata mimba mwanamke anachangia 40% na mwanaume 40%....20% inayobaki mnachangia. Lakini kama wote mko vizuri...adui yako mkuu ni STRESS za kitafuta mtoto.. Kwa mwanamke stress huongeza kiwango cha tindikali (PH) kwenye ute wa ukeni hivyo huziua mbegu za kiume kabla hazikutana... Cha msingi...angalia ratiba..tuliza mawazo..kisha mpe kama starehe tu...usiwaze sana [emoji2960]Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Dah...acha kulialia bana...tuliza akili..kitaalaam sababu za kuto kupata mimba mwanamke anachangia 40% na mwanaume 40%....20% inayobaki mnachangia. Lakini kama wote mko vizuri...adui yako mkuu ni STRESS za kitafuta mtoto.. Kwa mwanamke stress huongeza kiwango cha tindikali (PH) kwenye ute wa ukeni hivyo huziua mbegu za kiume kabla hazikutana... Cha msingi...angalia ratiba..tuliza mawazo..kisha mpe kama starehe tu...usiwaze sana [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Hii ndo comment sahihi zaid japo imepuuzwaMuda wa Mungu ni muda sahihi
nawatia moyo muda wa Mungu ukifika mtafanikiwa.
Acheni kutoa shuhuda za kwenye movies.Rafiki yangu alipata mtoto baada ya kudumu kwenye ndoa bila mtoto kwa miaka 14. Mume wake alikuwa upande wake na alimjali na kumtia moyo sana walikuwa ni wenye furaha kama vile hakuna walichopungukiwa Kinachotakiwa ni mume kuwa upande wako ili kuweza kupata faraja na kukuondolea stress.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wananiambia, nawaona. Hivi unaona mtu ameolewa mwaka wa tano au wa sita hana mtoto unahitaji hadi uambiwe kuwa huyu mama anatafuta mtoto?
Waacheni wanawake wenyewe wajadili mada yao,maana uzi umeshaingiliwa na wanaume na unaelekea kuharibu mtiririrko mzima...
Asante. Ndivyo ninavyofanya.Achana na kuzaa fanya ishu nyingine