Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

Wewe utakuwa umelelewa na singomaza. Pia na wewe ni singomaza au unaelekea kuwa singomaza.
Hujui nini maana ya mwanamme.
 

Hawa vijana wa sasa hivi wanafanya ligi na wanawake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji706][emoji706][emoji706]
 
ni vyema ungemaliza kusoma kwanza kisha uka-comment, tabia hii ya kukurupuka kujibu kabla ya kuelewa kitu gani kinazungumzwa imepelekea kuzalisha single mother wengi sana kama ww.
Hahahaha sema kweli?
 
Mada ni nzuri na ina fact nyingi but hili swala ni pana mno na wengi wamejificha humo kwenye migogoro kutotunza watoto...Wapo wanaokwepa majukumu kisingizio heshima na wapo wanawake wanaokosesha huduma za watoto kwa kushindwa kuweka mahusiano mazuri ya baba mama na watoto....but mimi nimelelewa na mama mjane i can c jinsi baba wadogo walivyokwepa jukumu kwa kutafuta sababu....but ishu c heshima wapo watu wasioweza kubeba majukumu hata wakiabudiwa...now na mimi ni baba mlezi kwa watoto wa mtu mwingine naziona sababu ni tofauti na za kukua kwangu....tusambaze upendo dunia iwe nzuri
 
Wow!
Hongera sana wewe ni Mwanaume wa Shoka sasa uwe Mwalimu wa kuwaelekeza wakina ROBERT HERIEL waache kupiga dana dana kwenye kulea Watoto zao.
 

Upendo ni muhimu.
Ila sio kila MTU anastahili upendo
 
Safi sana, hata nishawahi kufikiri hii iingizwe kwenye katiba sijui sheria whatever..

Mama anapotaka kubaki na watoto awe na uwezi wa kumtunza la sivyo asiruhusiwe. Kuwe na minimum qualification za kipato.

Baba anaruhusiwa kuwajali kwa mapenzi yake na sio kwa lazima. La si hivyo wabakie kweli chini ya himaya yake.

Ni kama, mkono wangu ukatike uache kutii mwili wangu, na usilete faida yoyote kinywani wala kichwani(ubongoni). Halafu eti bado uendelee kudai haki ya kupewa damu na chakula kutoka mwilini. Upumbaf huo.
 

Watunga Sheria watulie wanapotunga sheria
 
PHD!!!
 
point sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…