Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

Kamada kamekaa kipuuzi kameelemea zaidi KWA mwanamke as if mwanaume hahusiki , kamada kakishenzi .. next time balance mzani

Mzani umeshabalansi hapo Mkuu.

Mwanamke sheria zinamlinda lakini hajilindi unafikiri nini kitatokea.

Unajua kabisa huyu ni mume WA mtu lakini bado unatoka naye kisa pesa zake, anakuambia kabisa hataki mtoto na wewe unaitikia Ka kutingisha kichwa, mimba umepata unaanza kusumbua watu upuuzi tuu.

Lazima ulipigie gharama za ujinga wako
 
Nakuunga mkono hoja nimezaa na mwanamke huko Arusha nikapata shule nzur ya bording asome akiwa darasa la nne wakanikatalia wakasema nao pia wanaweza kuzomesha kwa dharau kubwa wakanirudishiwa na mifugo niliyopeleka kumuomba mtot huyu sasa kilichotokea hata miezi hawajakatiza wameshindwa kana kulipa ada wakaanza usumbufu mkubwa Sana nawaonea had huruma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Usiwe na huruma na watu wapumbavu.

Ukipata nafasi mara moja moja unaenda kumtembelea mtoto, unatafuta sehemu unakaa naye unapiga naye Stori.
Mnaenda Sokoni au dukani unamnunulia mahitaji yake Kam nguo nzuri za kubwa, viatu, vitu vya kuchezea labda baiskeli ya kuendesha kulingana na uwezo wako.

Peleka na Lita tano za Mafuta, kilo 25 ya mchele, waachie angalau 50,000/= walezi wake kama ni Mama yake au Bibi yake au mlezi. Sepa. Hii ni Kwa mtoto ambaye yupo mkoani/mbali Sana na wewe.

Kila mwisho WA wiki piga simu, tafuta mtu wa kumpelekea simu mzungumze na mwanao.

Wakikuzuia wawashie Moto.
 
Umesomeka Mkuu. Mada imetulia [emoji106] Wanawake wanatutegeshia sana ili upige mzigo mimba iingie kisha usumbufu uanze. Dawa ni kuwapiga spana mwanzo mwenga! Daadeki.
 
Wanawake bwana kwakuwa jamii imeamua kuwasikiliza na kuwatetea basi kila kitu kwao wanaona sawa tu unamlea mtoto mpaka anafika mkubwa unaambiwa sio mwanao na ushatumia gharama kumuhudumia halafu jina la cheti cha kuzaliwa kaandikwa mwengine.
 
Ungetumia nafsi yako wewe kama wewe ndo hulka yako kutaka kunyenyekewa kuabudiwa ili kutimiza majukumu yako hiyo ni gear tu ya kukwepa majukumu if i may ask kuna wanawake bado wanalamba miguu ya mwanaume ili alee damu yake?!

Woi ingekua mie bora mtoto asisome asile afe kuliko kujipendekeza kwa mtu ili alee damu yake never, treat eachother fairly sio utake mtu akunyenyekee akulambelambe like who do u think u are?!! Mtaoneaga hao hao i wonder kama bado wapo nimeandika kwa hasira sana sipendi uonevu kabisa.

Kwanini wewe usimnyenyekee wakati analea mtoto wako unahisi malezi ni hizo pesa tu? Kwanza kwa pesa gani hizo laki mbili tatu kwa mwezi ungekua unatoa milioni c ndo ungetaka uwe unamnyea mdomoni em acheni uonevu, kujikuta na arrogance kila mtu akae kwenye nafas yake atimize majukumu yake bila kutaka umungu meza mfyuuu
 
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
 


SAFI SANA!
Kuliko unyenyekee lea mtoto wako pekeako. Hivyo ndivyo inatakiwa.

Huyo sio mume wako tena Kwa nini unyenyekee na umsumbue. Lea mwanao, huwezi mpe alee mwenyewe na sio msumbuane.

Mwanaume ni mungu
 
Mbona kama umeongea kwa jazba sana mkuu 🤣 relax ! isitoshe kwanini umuadhibu mtoto kwa ujeuri wa mamaye

Sasa Kama Mamaye anang'ang'ania kumlea mtoto unafikiri Baba atanyaje?

Mama Mpumbavu ni mzigo Kwa mwanaye, na mwana Mpumbavu ni mzigo Kwa mamaye.

Nadra Sana ukute mtoto Mwerevu na mwenye hekima aliyelelewa na Mama Mpumbavu. Nadra Sana.
 
Nakiri kuwa kumekuwa na changamoto za malezi baada ya wazazi kutengana lakini utatuzi kila upande unastahili lawama, na hatuwezi kulitatua hili kwa kuangalia au kuegemea upande mmoja bali tunatakiwa kubalance kila upande ili tupate muafaka.

Wapo wanawake wanaotumia watoto kama kitega uchumi Cha kuendesha maisha, pia wapo wanaume wanaotumia gharama za matunzo kama fimbo ya kumchapia mzazi mwenzie baada ya kutengana.

Kwa vyovyote vile kama juhudi za kuwafanyia waishi pamoja wanandoa au wazazi zimeshindikana basi kwa manufaa ya watoto wazazi na walezi wakae wajadiliane namna nzuri ya kuwahudumia watoto wao na kuhakikisha wanapata mahitaji yao ya kimsingi kama watoto wngine.

Si uungwana wala ubinadamu kuwaunganisha watoto kwenye ugomvi wa wazazi au walezi.

Masuala haya yanatakiwa busara na hekima kuyatatua sio jazba.
 
Shukrani sana mkuu,neno lako limenipa faraja,Mimi mwenyewe tumezinguana na wife na amerudi kwao,kisa namuambia mara kwa mara kuwa sufuria ya kupikia chakula inabidi ioshwe pia chini uvunguni,

Lakini yeye ataki kusikiliza, anakuwa mbishi, eti masufuria hayaoshwagi chini hasa Kwa sisi tunaotumia Kuni kupikia

Anaacha masufuria yanakuwa na masizi mpaka basi..,ukimuambia anaona unampelekesha

Ukishika tu sufuria mikono inajaa masizi.., nikaona huu ni upuuzi Sasa

Mwanaume aheshimiwe,hata kama kakuambia kitu ukaona akiwezekani wewe fanya Ili tuone kama kweli haliwezekani kuliko kuleta dharau
 

Upande wa kulaumiwa lazima uwepo.

Mwenye jukumu la kutunza familia ndiye mwenye Familia. Mwenye jukumu la kutunza watoto ndiye mwenye watoto. Sijui Kwa nini dunia ya sasa watu wake wameamua kuwa wajinga kiasi hicho.

Uliwahi sikia Duniani kuna mwanaume amepeleka kesi mahakamani kuwa Mzazi mwenzake(wakike) hatoi pesa za matumizi Kwa mtoto? Jibu ni hapana.

Kama ni hivyo ili kuondoa hizi kero turudi Kama zamani. Mtoto alelewe na Baba. Ili kuondoa haya makelele ya kijingajinga.

Na Kama Mwanamke atang'ang'ania kuchukua watoto basi atakuwa na wajibu wa kutunza watoto wake bila kumsumbua Baba wa watoto.
 
Mbona kama umeongea kwa jazba sana mkuu [emoji1787] relax ! isitoshe kwanini umuadhibu mtoto kwa ujeuri wa mamaye
Wamama ndo huumiza watoto.

Saa zingine sisi twawatakia maisha mazuri ila wamama wanaharibu, na hawataki kuwaachia watoto tukae nao
 
Eti mi
SAFI SANA!
Kuliko unyenyekee lea mtoto wako pekeako. Hivyo ndivyo inatakiwa.

Huyo sio mume wako tena Kwa nini unyenyekee na umsumbue. Lea mwanao, huwezi mpe alee mwenyewe na sio msumbuane.

Mwanaume ni mungu
Usiite mtoto wake peke yake ni mtoto wenu wote na kila mmoja anawajibika katika malezi, yani garama ya wewe kulea damu yako ni kunyenyekewa na kuabudiwa kwa sababu ni mungu wa duniani yani ili utoe ela ya kusoma na kula ya mwanao basi nikuombe na kukubembeleza na kukulamba aloo nachemka damu sana kuna wanawake wanaonewa humu duniani natamani niwakusanye wooote niwatie akili njema wanaume wenye mentality ya kuabudiwa mara nyingi sana wanakua walitokea kwenye malezi duni, kuonewa na pengine kuwa abused kwa namna moja au nyingine so akipata misuli in terms of cash, education au status anakua anacompasate yale alopitia wakati yupo weak hii ni mostly sijasema wote wengine ni tabia kutokana na makuzi nk nk jamani naomba nisijibu tena maana nimepata kiwewe mnooo like waaaaaaat ulambwe miguu kuhudumia bao ulilotoa kwa kelele na madaha kama umechomwa kisu cha mgongoni no no way yani some of us tungeenda extra mile kuhakikisha tunakuja kukuajiri uwe chini yetu ingeshindikana mwana ngekufa njaa. Kwanza nikugugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…