EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Ndugu nadhani katika hili hukufikiria vyema......Upande wa kulaumiwa lazima uwepo.
Mwenye jukumu la kutunza familia ndiye mwenye Familia.
Mwenye jukumu la kutunza watoto ndiye mwenye watoto.
Sijui Kwa nini dunia ya sasa watu wake wameamua kuwa wajinga kiasi hicho
Uliwahi sikia Duniani kuna mwanaume amepeleka kesi mahakamani kuwa Mzazi mwenzake(wakike) hatoi pesa za matumizi Kwa mtoto?
Jibu ni hapana,
Kama ni hivyo ili kuondoa hizi kero turudi Kama zamani. Mtoto alelewe na Baba. Ili kuondoa haya makelele ya kijingajinga.
Na Kama Mwanamke atang'ang'ania kuchukua watoto basi atakuwa na wajibu wa kutunza watoto wake bila kumsumbua Baba WA watoto
Hii ndo maana halisi ya hii mada ya leo, mmekubaliana kila mwisho wa mwez unatoa elf 5 ada ni elf 10 ikifika mwisho wa mwezi toa, hutoi unataka mtu aanze kukubembeleza akuombe ajinyenyekeshe wewe sio mume wake hawezi kusubmit kwako hapo mpo wote sawa ni wazazi kila mtu anaplay part yake equallywapo wanaume wanaotumia gharama za matunzo kama fimbo ya kumchapia mzazi mwenzie baada ya kutengana.........
Kuna watu mna busara jamaniSijamaliza kusoma.....
Lakini kuacha kuhudumia mtoto/watoto kisa kumkomoa baba/mama wa mtoto ni ujuha uliotukuka.
Mtoto hakujipangia nyie muwe wazazi wake, mtoto hakutaka nyie muachane. Kwanini athari kubwa zimfikie mtoto peke yake?
Kwanini muharibu mustakabali wa maisha ya baadae ya mtoto ikiwa mnaweza kumtengenezea mustakabali mtoto.
Hamjui uzee wenu nani atawashika mkono, huenda huyo/hao mnaowapiga danadana Kisa ujinga wenu wa kukomoana ndio baraka zenu za baadae.
Ujinga tu.
Kuna watu mna busara saanaHapana Ndugu nadhani katika hili hukufikiria vyema......
Kwanza tukubaliane kuwa mtoto ni WA wote na kila mmoja ana mchang wake jukumu la kumlea mtoto kwa namna moja au nyingine.....
Jukumu la kwanza la baba ni kuhakikisha kuwa mtoto wake anapata mahitaji yote ya msingi kama watoto wengine......namna ya kutimiza hilo ndio mnaweza kukaa na mzazi mwenzio na kukubaliana kulingana na kipato chako na mazingira yako ya makazi kwa wakati huo........
Wakati mwingine mazingira hayaruhusu kwa baba kukaa na mwanae kutokana changamoto mbali mbali za kimazingira......hvyo basi kama mama mazingira yanamruhusi baba hana budi kuelekea huduma zake huko........
Kutokana na harakati za kutafuta mkate wa kila siku wakina baba wengi hatuna muda mzuri wa malezi na kumpata mwingine atakayemlea mtoto ambaye sio wake kwa wema ni mtihani sana......
Kwa hiyo kisa sufuria umeachana na mkeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli ndoa ngumuShukrani sana mkuu,neno lako limenipa faraja,Mimi mwenyewe tumezinguana na wife na amerudi kwao,kisa namuambia mara kwa mara kuwa sufuria ya kupikia chakula inabidi ioshwe pia chini uvunguni,
Lakini yeye ataki kusikiliza, anakuwa mbishi, eti masufuria hayaoshwagi chini hasa Kwa sisi tunaotumia Kuni kupikia
Anaacha masufuria yanakuwa na masizi mpaka basi..,ukimuambia anaona unampelekesha
Ukishika tu sufuria mikono inajaa masizi.., nikaona huu ni upuuzi Sasa
Mwanaume aheshimiwe,hata kama kakuambia kitu ukaona akiwezekani wewe fanya Ili tuone kama kweli haliwezekani kuliko kuleta dharau
Eti mi
Usiite mtoto wake peke yake ni mtoto wenu wote na kila mmoja anawajibika katika malezi, yani garama ya wewe kulea damu yako ni kunyenyekewa na kuabudiwa kwa sababu ni mungu wa duniani yani ili utoe ela ya kusoma na kula ya mwanao basi nikuombe na kukubembeleza na kukulamba aloo nachemka damu sana kuna wanawake wanaonewa humu duniani natamani niwakusanye wooote niwatie akili njema wanaume wenye mentality ya kuabudiwa mara nyingi sana wanakua walitokea kwenye malezi duni, kuonewa na pengine kuwa abused kwa namna moja au nyingine so akipata misuli in terms of cash, education au status anakua anacompasate yale alopitia wakati yupo weak hii ni mostly sijasema wote wengine ni tabia kutokana na makuzi nk nk jamani naomba nisijibu tena maana nimepata kiwewe mnooo like waaaaaaat ulambwe miguu kuhudumia bao ulilotoa kwa kelele na madaha kama umechomwa kisu cha mgongoni no no way yani some of us tungeenda extra mile kuhakikisha tunakuja kukuajiri uwe chini yetu ingeshindikana mwana ngekufa njaa. Kwanza nikugugo
ni vyema ungemaliza kusoma kwanza kisha uka-comment, tabia hii ya kukurupuka kujibu kabla ya kuelewa kitu gani kinazungumzwa imepelekea kuzalisha single mother wengi sana kama ww.Sijamaliza kusoma.....
Hapo akishakuwa na kupata kazi ndiyo baba anatoa shingo ndefu kwenda kujisemesha ati mtoto wake hampi msaada!Kina baba acheni upuuzi leeni watoto wenu wenyewe ... Shubaamiti.
Tatizo mpo kwenye ndoto😀😀
Sijui Kwa nini mnakuwa kwenye ndoto na hamtaki kuamka.
Wanawake Kwa akili zenu hamuwezi kuungana. Ninyi mmeumbwa kutawaliwa na Sisi hata mfanyeje.
Ukiona wanawake wenye nguvu ujue Wanaume ndio wanawasapoti Kwa maslahi Fulani.
Wanawake wenye roho za kishetani ndio wanaona shida kuwa wanyenyekevu, ati wanajidanganya wapo Sawa na Wanaume.
Ni Sawasawa wananchi wanaojidanganya wapo Sawa na watawala Jambo ambalo hata mtoto mdogo hawezi kufikiri hivyo.
Tunachowapendea wanawake wenye mtizamo Kama wako ni kwamba wanaturahisishia maisha yetu. Kuliko wakiwa wanyenyekevu.
Mwanamke akiwa mnyenyekevu anatupa deni kubwa Sisi Kama wanaume.
Lakini akiwa na mtazamo wako inaturahisishia kumfanya kuwa chombo cha STAREHE Kwa wote.
Hapana Ndugu nadhani katika hili hukufikiria vyema......
Kwanza tukubaliane kuwa mtoto ni WA wote na kila mmoja ana mchang wake jukumu la kumlea mtoto kwa namna moja au nyingine.....
Jukumu la kwanza la baba ni kuhakikisha kuwa mtoto wake anapata mahitaji yote ya msingi kama watoto wengine......namna ya kutimiza hilo ndio mnaweza kukaa na mzazi mwenzio na kukubaliana kulingana na kipato chako na mazingira yako ya makazi kwa wakati huo........
Wakati mwingine mazingira hayaruhusu kwa baba kukaa na mwanae kutokana changamoto mbali mbali za kimazingira......hvyo basi kama mama mazingira yanamruhusi baba hana budi kuelekea huduma zake huko........
Kutokana na harakati za kutafuta mkate wa kila siku wakina baba wengi hatuna muda mzuri wa malezi na kumpata mwingine atakayemlea mtoto ambaye sio wake kwa wema ni mtihani sana......
We nae hujui nyamaza bwana u showing the height of ur ignorance here, nature ni mwanaume kutafta ale kwa jasho, mke azae kwa uchungu ni vile sahivi most of u mmekua wavivu ndo mana upo hapa kulialia njaa ungekua unaenenda na nature usingeandika vitu virahisi hivi pia kubali kukosolewa na kufundishika, huna haja ya kumwambia mtu hata mnyama anamshinda thats a point of weakness unalazimisha kushindana na kushindwa, baki kwenye hoja ya msingi acha maneno ya hovyoKuna mambo unachanganya.
Mwenye jukumu la Kulea familia na watoto ndio mwenye mtoto. Hiyo ndio nature iko hivyo.
Hata wanyama wanakushinda Uelewa.
Mtoto hawezi kuwa WA wote Kama mwenye jukumu la kutunza familia ni mmoja.
Kama mama ndiye anayetunza familia au watoto basi yeye ndiye MMILIKI au mwenye watoto.
Halikadhalika Kama Baba ndiye anayehudumia familia Kwa kiwango kikubwa yeye ndiye mwenye Watoto. Hiyo ndio nature iko hivyo.
Kama wote mnahudumia familia Kwa kiwango kinachofanana au kukaribiana basi HAO watoto ni wenu. Hiyo ndio kanuni.
Mfano, Kama Diamond, ni mtoto wa Mama Kwa sababu Mama yake ndiye alibeba jukumu la kumtunza Kwa asilimia kubwa.
Baba huwezi sema watoto ni wako Kama huwatunzi,
Na Mama hawezi sema watoto ni wake kama hawatunzi na kutokuwajibika. Hiyo ndio nature.
Upande wa Wanyama, Wanyama wa Kike Kwa kiwango kikubwa ndio wenye watoto, wamiliki wa watoto Kwa sababu wao ndio wanaowatunza.
Viumbe vichache Kama njiwa ndio hutunza pamoja watoto na Wale watoto huwa wao Kwa pamoja.
Ukishatengana na mwenza wako hapo tegemea uhasama na lazima watoto wamilikiwe na upande mmoja upende usipende. Hii ni kutokana na majukumu na wajibu wa atakaowatunza.
Kuzaa watoto hakukufanyi watoto HAO wawe wako Bali majukumu na wajibu Kwa HAO uliowazaa.
Nafahamu wapo wanaume wenye tabia za unyanyasaji, utesaji na kudhulumu wanawake.
Lakini pia wapo wanawake wanaopenda kamserereko.
Kama mama huwajibiki huwezi ita watoto ni wako kisa uliingia Labour, na Kama Baba huwajibiki huwezi ita watoto ni wako kisa ulimuingilia mwanamke mtoto akazaliwa.
Busara NI ipi Sasa?
Busara NI kufuata maagizo ya Mungu! Yapi?
Wanawake waache uzinzi kwani ndio unawaathiri wao zaidi kuliko wanaume.
Wahakikishe hawazai hovyo na wanaume wapumbavu pumbavu.
Yaani mtu aache kuhudumia watoto wanne Kwa mkewe Kwa sababu ya katoto Kako kamoja na kelele zako. Uliona wapi mambo hayo?
Watu waache umalaya, hasa Wale umalaya unaowaathiri zaidi
Wanawake wawe wanyenyekevu wasikimbilie mambo ya Talaka ilhali wanajua hawana uwezo wa kutunza watoto.
Kumbuka nature ilivyo wanaume hawana uchungu na watoto kama walivyo wanawake.
Nimetoka kukugugo mkuu acha niseme kwa nilovokuona na hiki ulichoandika ni sawa kabisa yani hii ndio size ya fikra na mtazamo wako na saikolojia imeniongoza kukuelewa vema hivo sitaendelea, u are right for the way u are this is ur height....
Mkuu kongole kwako umepiga jiwe Safi kabisa Kuna Prof mmoja nimemsaha kidogo lakini nakumbuka aliwahi tamta maneno hayaTatizo mpo kwenye ndoto[emoji3][emoji3]
Sijui Kwa nini mnakuwa kwenye ndoto na hamtaki kuamka.
Wanawake Kwa akili zenu hamuwezi kuungana. Ninyi mmeumbwa kutawaliwa na Sisi hata mfanyeje.
Ukiona wanawake wenye nguvu ujue Wanaume ndio wanawasapoti Kwa maslahi Fulani.
Wanawake wenye roho za kishetani ndio wanaona shida kuwa wanyenyekevu, ati wanajidanganya wapo Sawa na Wanaume.
Ni Sawasawa wananchi wanaojidanganya wapo Sawa na watawala Jambo ambalo hata mtoto mdogo hawezi kufikiri hivyo.
Tunachowapendea wanawake wenye mtizamo Kama wako ni kwamba wanaturahisishia maisha yetu. Kuliko wakiwa wanyenyekevu.
Mwanamke akiwa mnyenyekevu anatupa deni kubwa Sisi Kama wanaume.
Lakini akiwa na mtazamo wako inaturahisishia kumfanya kuwa chombo cha STAREHE Kwa wote.
Mimi ni mtu wa saikolojia ilikua ni lazima nione mwonekano wako kujiridhisha fikra zangu juu yako pasipo kukuonea mkuuKaribu.
Nashukuru Kwa kutumia muda wako kunifuatilia mpaka ukanigugo hiyo tosha inaweza eleza kuwa nawe ni mtu wa namna ipi
Sasa wewe unaandika gazeti huku unafoka unafikiri wote tutasoma, halafu wengine hatupendi kufokewa ndio maana tunaishia mwanzo.Soma juu mpaka chini, unganisha hoja zote, zielewe.
Juu nimeshaekeza Aina ya mwanaume wa kuolewa Naye,
Lakini Kwa akili za kicherema nilijua maswali ya kijinga Kama lako lazima liulizwe tuu.
Ushaambiwa chagua mwanaume mwenye akili, mcha MUNGU lakini bado wewe ukaona uchepukaji[emoji23][emoji23]
Noma saana...! Woi ingekua mie bora mtoto asisome asile afe kuliko kujipendekeza kwa mtu ili alee damu yake never,