Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 kumuita mtoto au baba yake mbwa ni tusi kwake yeye.Mimi nashikilia hapo kwenye ujeuri wanawake wengi aisee ni wajeuri sanaa ninawaona wengine ninawashuhudia yani kwanza anavyoongea na baba mtoto ni full matusi hapo anataka kuomba ada anasema ngoja nimpigie huyo mbwa hajui ni muda wa ada? Mtoto akimuudhi atamtukana matusi yote anamwambia ww ni mbwa kama baba yako, mbona kuna wengine wanaishi vzr na malezi yanaenda ila siungi mkono kwenye matusi hasa kumtukana mzazi mwenzio tena unamtukana na mtoto matusi makali as if alikuwepo wakati unaenda geto kwa huyo baba ake. Mkiachana achaneni kwa amani mtunze watoto wenu kwa heshima na baba hakikisha kama ulihaidi kulipq ada lipa kwa wakati kuna kukosa sometyms shirikishaneni muone mta solve vipi. Ila wamama kwa midomo hatujambo.
Unyenyekevu unaouzungumzia hapa ni upi ... Uchepuke Mwanamke aseme naam.. endelea baba.. uchelewe Kutuma matumizi akuonee huruma .. au unyenyekevu upi?
Anataka cheap popularity kwa kuandika mada za kijinga kuhusu wanawake.Mleta mada wewe jinsia gani ? Kutwa kuleta habari za wanawake wakati jina lako ni la mtoto wa kiume
Ndugu wa mleta mada hebu kaeni naye
Muongee naye kuna shida au ana Genes za kike au shoga labda?
Kama hayo huwezi,peleka mtoto kwa baba yake akalelewe,kama unaona bora ukae na mtoto basi mambo ni mawili tu,uwe na heshima kwa baba mtoto wako au ulee mtoto wako bila kusumbua baba wa mwanaoEti mi
Usiite mtoto wake peke yake ni mtoto wenu wote na kila mmoja anawajibika katika malezi, yani garama ya wewe kulea damu yako ni kunyenyekewa na kuabudiwa kwa sababu ni mungu wa duniani yani ili utoe ela ya kusoma na kula ya mwanao basi nikuombe na kukubembeleza na kukulamba aloo nachemka damu sana kuna wanawake wanaonewa humu duniani natamani niwakusanye wooote niwatie akili njema wanaume wenye mentality ya kuabudiwa mara nyingi sana wanakua walitokea kwenye malezi duni, kuonewa na pengine kuwa abused kwa namna moja au nyingine so akipata misuli in terms of cash, education au status anakua anacompasate yale alopitia wakati yupo weak hii ni mostly sijasema wote wengine ni tabia kutokana na makuzi nk nk jamani naomba nisijibu tena maana nimepata kiwewe mnooo like waaaaaaat ulambwe miguu kuhudumia bao ulilotoa kwa kelele na madaha kama umechomwa kisu cha mgongoni no no way yani some of us tungeenda extra mile kuhakikisha tunakuja kukuajiri uwe chini yetu ingeshindikana mwana ngekufa njaa. Kwanza nikugugo
We nae hujaona nimesema had it been me mtoto angekufa njaa silambi mtu au unakurupuka kukoment bila kuelewaKama hayo huwezi,peleka mtoto kwa baba yake akalelewe,kama unaona bora ukae na mtoto basi mambo ni mawili tu,uwe na heshima kwa baba mtoto wako au ulee mtoto wako bila kusumbua baba wa mwanao
Hii aya ya mwisho hata mimi nimesema, wether alilelewa maisha duni sana kupita anayoishi sasa, au child abuse, kuonewa, kutengwa kudharaulika etc sasa anafanya compasation kwa njia hii ni kawaida kabisa kwa watu wa hivoAnataka cheap popularity kwa kuandika mada za kijinga kuhusu wanawake.
Kulikua na haja gani ya kuanzisha uzi huu asubuhi yote,wakati kuna ule mwingine unaozungumzia jambo hili na kaandika mapumba yake huko?
Gratification seeing a woman being punished , ndicho kilichomsukuma kuandika huu upuuzi.
Kuna hitilafu somewhere kwenye makuzi ya huyu kijana tumsamehe bure.
Nakuunga mkono..
Kuna mmoja wao anataka niletea ujinga wa kukimbilia dawati la jinsia
Taikon taikon mwanangu sana...!! M nakusikiliza wewe tu
"Hakuna suala la haki sawa baina ya mtoto aliye karibu na yule aliye mbali"
Kuna wanawake wapumbavu sana.