Data mining
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 406
- 484
Taikon huishiwi maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taikon huishiwi maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto sihitaji hata dnaMruhusu aende halafu kapime DNA
Unyenyekevu unaouzungumzia hapa ni upi ... Uchepuke Mwanamke aseme naam.. endelea baba.. uchelewe Kutuma matumizi akuonee huruma .. au unyenyekevu upi?
ushaambiwa ukitaka mtoto alelewe mwache kwa baba yake .Eti mi
Usiite mtoto wake peke yake ni mtoto wenu wote na kila mmoja anawajibika katika malezi, yani garama ya wewe kulea damu yako ni kunyenyekewa na kuabudiwa kwa sababu ni mungu wa duniani yani ili utoe ela ya kusoma na kula ya mwanao basi nikuombe na kukubembeleza na kukulamba aloo nachemka damu sana kuna wanawake wanaonewa humu duniani natamani niwakusanye wooote niwatie akili njema wanaume wenye mentality ya kuabudiwa mara nyingi sana wanakua walitokea kwenye malezi duni, kuonewa na pengine kuwa abused kwa namna moja au nyingine so akipata misuli in terms of cash, education au status anakua anacompasate yale alopitia wakati yupo weak hii ni mostly sijasema wote wengine ni tabia kutokana na makuzi nk nk jamani naomba nisijibu tena maana nimepata kiwewe mnooo like waaaaaaat ulambwe miguu kuhudumia bao ulilotoa kwa kelele na madaha kama umechomwa kisu cha mgongoni no no way yani some of us tungeenda extra mile kuhakikisha tunakuja kukuajiri uwe chini yetu ingeshindikana mwana ngekufa njaa. Kwanza nikugugo
nahisi umeguswa pabaya .We nae hujui nyamaza bwana u showing the height of ur ignorance here, nature ni mwanaume kutafta ale kwa jasho, mke azae kwa uchungu ni vile sahivi most of u mmekua wavivu ndo mana upo hapa kulialia njaa ungekua unaenenda na nature usingeandika vitu virahisi hivi pia kubali kukosolewa na kufundishika, huna haja ya kumwambia mtu hata mnyama anamshinda thats a point of weakness unalazimisha kushindana na kushindwa, baki kwenye hoja ya msingi acha maneno ya hovyo
saikolojia inaonyesha umezaa na mume wa mtu ndomaana unatoa mapovuMimi ni mtu wa saikolojia ilikua ni lazima nione mwonekano wako kujiridhisha fikra zangu juu yako pasipo kukuonea mkuu
sioni haja ya wewe taikoni kumjibu mwanamke mpumbavu[emoji847][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa maneno ya hovyo ni vile mtu anavyoyaona. Mfano maneno uliyoyatoa kunihusu Mimi sio kwamba yanaonyesha Mimi nikoje isipokuwa vile unavyoniona. Yaani ishu ya akili yako inavyofanya kazi.
Ukiniita mjinga haimaanishi Mimi ni mjinga Ila vile unavyoniona Kwa akili yako.
Huyo nilikuwa namjibu kulingana na nature.
Nawe umeeeleza vizuri kuwa jukumu la kutunza Familia na kutafuta ni lamwanaume na ndio maana mwanaume ndiye mmiliki wa familia na watoto. Ndicho nilichoeleza.
Yeye kasema Watoto ni wawote Mimi nikamuambia watoto wanakuwa ni wawote kama Wote mnatafuta na kulisha familia Kwa kiwango kinachofanana au kukaribiana.
Lakini kama mmoja ndiye jukumu lake ndio la kutafuta na kulisha familia Basi watoto wanakuwa WA huyo mwenye Hilo jukumu, hiyo ndio nature ilivyo.
Kwa wanyama Sio kila mnyama dume ndiye mtafutaji na kulisha familia, wanyama majike wengi ndio wenye jukumu Hilo hivyo wao ndio wamiliki halali wa watoto hao.
Jaribu hata kufuga kuku au Mbuzi au NG'OMBE au nenda katalii mbugani utaelewa mwenye watoto Kwa wanyama waliowengi ni Jike au dume.
Umiliki unatokana na Huduma na wajibu wa kutunza, na si vinginevyo.
mzee taikoni yupo sahihi , wanawake wapumbavu hamna kuwaonea huruma , mwanamke wakumuheshimu ni yule mwenye haiba ya kikeWanawake wanazingua iyo ipo wazi lakini huu uzi utaumiza watoto wengi sana kama mtu atamchukulia uyu jamaa katoa fact ila ukweli ni kwamba jamaa kaandika kwa mihemko tu kachanganya mbichi na mbivu...
Kila mtu ana moyo wake na akili zimetofautiana matatizo ya mama usimpe mtoto wako alafu ukajiona mwanaume, mwanamke kiumbe dhaifu sana ukishindwa kumcontrol wewe ndo unakua fala mmoja yani umekosa mbinu zero brain
Kuna muda wivu wa mapenzi unapelekea mke na mume kutoelewana, hapa jukumu lako mwanaume kua mvumilivu na usikae mbali na watoto na unatakiwa ujue kivyovyote mwanamke atawajaza maneno ya sumu watoto ili wakuchukie iyo ndo nature yao wanawake wote
Usishindane na mwanamke we shubaamiti ishi kwa akili watoto watafika muda watajua tu umuhimu wako haijalishi mama yao kawaambia nini, maamuzi yakuwatelekeza watoto wako wa damu kwa sababu za kipumbavu zinazosababishwa na mama yao huo ni UBOYA PLUS tumia akili
Na inawezekana mtoa uzi hana hata mtoto[emoji28]
Sisi wengine tumekua kwenye familia za migogoro ya wazazi tunajua kiundani nini kinatakiwa kifanyike, usiwe mwinyi sana kwenye maisha ya siku izi wanawake hawajalelewa kutumikia umwinyi
WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU!
Anaandika, Robert Heriel
Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi.
Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto, hakuna mwanaume ambaye ni mkorofi Kwa mwanamke mwenye adabu au mnyenyekevu. Sijawahi kuona mwanaume wa hivyo. Sisi wanaume tunaupendo mara elfu zaidi kuliko ninyi wanawake, tunajali na kuthamini lakini kama heshima yetu itazingatiwa. Lakini Sisi ni makatili, washenzi, wakora Kwa watu wasiotuheshimu.
Linapokuja suala la heshima kwetu tupo tayari kupoteza vyote ikiwezekana uhai. Tupo Radhi kufukuza Mke, watoto na wote ambao hawatuheshimu. Ndivyo tulivyo. Hiyo ni kanuni yetu ya Asili Aliyotupa Muumba.
Eleweni kuwa Mtoto akiishi na Mama Mkorofi asiye na adabu tunamchukulia Kama mwanampotevu, yaani yupo nje ya Mfumo hata Kama ni mtoto wetu.
Eleweni kuwa kadiri mnavyokuwa Wakorofi na wajeuri ndivyo tunavyozidi kuwapuuza ninyi na watoto wenu.
Kumbuka, Mama Mpumbavu ni mzigo mwa Mwanaye Kama ilivyo mwana Mpumbavu alivyomzigo Kwa Mamaye.
Wanaume tunafalsafa zinazotuongoza, mojawapo ni hii, Mwanamke asipotuheshimu na akitudharau tunaamini kuwa hata mitoto yake aliyoizaa Asilimia kubwa haitatuheshimu na itatudharau.
Hatuoni shida kutelekeza Mama jeuri na mitoto yake hata Kama watoto hawana kosa. Lakini kitendo cha kulelewa na Mama jeuri na korofi tunaamini hilo toto litafuata tabia za Mama yake.
Vijana, msiogope kufanya maamuzi magumu Kama Mwanamke hakuheshimu, anakudharau na ni korofi. Ninaongea nikiwa ninauhakika na kile nikisemacho. Ninaushahidi wa kutosha dhidi ya wanaume wanaoteswa na watoto wao kisa kulelewa na mimama ya hovyo.
Mwanaume wewe ndiye mungu hapa Duniani. Wewe ndiye unayeamua mtoto gani umbariki na yupi usimbariki kulingana na tabia za watoto na Mama zao. Zingatia mara nyingi tabia za watoto huendekezwa na Wamama.
Kama vile Mungu anavyotubariki bila USAWA ndivyo hivyohivyo usibariki watoto Kwa USAWA ilihali hawapo Sawa.
Mitoto mijeuri ipe ujeuri wao.
Wamama wajeuri wape kulingana na ujeuri wao.
Watoto wema wape mambo Mema
Wamama wema walipe Mema.
Hiyo ndio maana ya kuitwa Mwanaume, Mtawala wa Dunia.
Wanawake eleweni kuwa Mwanaume hapendelei isipokuwa anafanya Kwa Haki. Na haki ya mwanaume inahesabiwa Kwa kuangalia usikivu na utii wa mtoto au wa mkewe.
Kadiri usivyomtii na kumsikiliza Mwanaume ndivyo unavyojiweka Mbali naye. Hiyo ndio kanuni ya BABA.
Sio ajabu Baba akatoa Urithi na baraka kwa Mke mdogo au watoto wa nje zaidi kuliko watoto wa ndani kutokana na vile wanavyomheshimu na kumsikiliza.
Au sio ajabu mwanaume akatoa zaidi Huduma nje ikiwezekana Kwa MICHEPUKO yake Kwa sababu ndani ya familia yake hakuna anayemsikiliza na kumtii. Hachukuliwi Kama Mwanaume.
Wanawake ukitaka uzipige pesa za mwanaume basi itakupasa uwe mwanamke halisi, umheshimu na kumtii huyo mwanaume. Hiyo ndio Siri. Hii itamfanya mwanaume awe na deni kwako.
Kumzalia mwanaume hakumfanyi awe na deni kwako. Hata CHIZI anaweza kuzaa naye. Wanaume tunajiona wenye wajibu wa kutunza wanawake na watoto wote wanaotuheshimu na kututii hata Kama sio Wake zetu au watoto wetu WA kuwazaa.
Wanaume hatuoni wajibu na hatuna msukumo kutoka ndani kutunza majitu yasiyotuheshimu na kututii hata Kama ndoa hiyo ingefungishwa na Malaika wa mbinguni.
Hakuna mzigo mzito Kwa mwanaume Kama kulitunza limwanamke lisilo na heshima au litoto lisilo Mheshimu Baba yake. Taikon anaonelea ni Bora mwanaume huyo akafungwe jela kuliko kuhudumia watoto wasiomheshimu.
Wanawake eleweni kuwa, hakuna suala la Haki Sawa baina ya mtoto wa karibu na mtoto wa Mbali. Mtoto wa Mbali atapata Haki za Mbali. Mtoto wa karibu atapata Haki za karibu.
Ni Kama vile hakuna haki Sawa Baina ya Diaspora na mtu aliyepo nchini. Kuna mambo aliyeponchini atapata Favour huku aliyembali hatazipata.
Ukitaka Mtoto wako apate HAKi Sawa Kwa Baba yake basi mpeleke Kwa Baba yake akae na watoto wenzake.
Vijana msiwe laini kiasi cha kukubali kuvunjiwa heshima yenu Kama wanaume Kwa kisingizio chochote kile.
Chagua shule Lipa Ada, mtoto asome. Mwanamke asikuendeshe na akili za kijinga. Kama anataka shule nzuri na hauna uwezo nayo mwambie wazi hutolipia hata Mia moja.
Tafuta muda uwe unaongea na mwanao kumsaili na kupiga Stori za hapa na pale. Kama mama yake anazuia Jambo Hilo kisa hujafuata mfumo wake, piga wote chini. Usiogope. Zingatia watoto wanaakili, hasa watoto wa siku hizi. Hivyo wanauwezo wa kuchambua mbivu na mbichi.
Kamwe usiseme maneno mabaya yanayomhusu Mama Kwa mtoto. Eleza mazuri tuu ya mama Kwa mtoto wako, hayo mabaya ayaone yeye mwenyewe Kwa macho yake.
Wapo wanawake wanajibebesha mimba Kwa waume za Watu makusudically ili wapate unafuu wa Maisha.
Wanawake mlio kwenye ndoa mkiona mwanamke wa hivyo anakuingilia ndoani mwako wala asikupe presha, piga Spanner za kutosha iwe fundisho Kwa wengine.
Dhibiti uchumi wa Mwanaume/mumeo mpaka akose za kutuma nje. Alafu mwambie awalete watoto hao wa nje ulee wewe. Kama hataki mwambie hutaruhusu pesa yoyote itoke nje ya Familia.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
sioni haja ya wewe taikoni kumjibu mwanamke mpumbavu[emoji84
Sometimes ni better kunyamaza not to expose the level of ur stupidity dear na hayo sio mapovu huo ni mtazamo wangu wewe ulitakiwa kuleta wako. Balehe uzeeni zinasumbua sana mtu unakua kama una makamasi kwenye ubongo smhsaikolojia inaonyesha umezaa na mume wa mtu ndomaana unatoa mapovu
saikolojia inaonyesha umezaa na mume wa mtu ndomaana unatoa mapov
Wanaume msizae bila ndoa, na mkizaa waoweni hao wanawake, na msiache wanawake kama Mna watoto!
Hivi kuna mwanaume anabakwa? Kwa nini uzae bila mpango? Hovyo? Mwanaume is in a position to solve all these problems.
Af umejiunga jf juzi najuta hata kukujibu looks like hujui hata kilichomo umejaa mihemko na ushamba unanuka maziwa komaa kidogo ndo urudi humu fool