Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

Mwanaume umuinue kiuchumi apate mafanikio , hasikumbuke kizazi chake akaonge nje Akatae kusomesha na kulea watoto wake unamnyenyekea wa nini

Unampoteza karma imtafune unaendelea na Maisha yako
Wewe hauna uwezo wa kumuinua mwanaume kiuchumi wala yeye hana uwezo wa kukufanya kuwa mke na mama bora wa familia. Unakuwa hivyo toka ulipotoka ila mkikutana ndipo hapo sasa jitihada zinaanza kuwa active.

Mwanamke bora, mke bora na mama bora wa familia huwa waanajidhihirisha pale tu anapokutana na mwanaume bora, mume bora na baba bora wa familia nje ya hapo akikutana na marioo atalia maisha yake yote. Na mwanaume akikutana na wadangaji na hawa wendawazimu atalalamika na kusema kila mstari wa Bible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulaya huko sasa hivi wanaume unakuta mtu ana miaka 50 ana mamilioni bank, ana kampuni 10 na ni CEO wa kila kampuni ana apartment nzuri ya kisasa ana gari sita garage ila hataki kusikia kitu kinachoitwa Ndoa wala kuwa na familia ya mke na watoto sababu wanawake wao ni vichaa wanakugeuka mara mambo yakishakaa kwenye mstari ili wapate benefits.

Sasa hizo sheria ndo ziletwe bongo walahi mtawaponza wanawake wote maana hakuna mwanaume ataoa na hakuna mwanaume atataka kuzaa wala kuwa na mtoto unless muandikishiane mahakamani kuwa hatohusika kwa lolote au atakaa na mtoto yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hij vita mlianzisha ninyi wanawake kwa kutotii vitabu vya MUNGU leo hii madhara yanaanza tena kuwarudia.

Miaka si mingi kutoka sasa watoto wenu wa kike watalipia madhambi ya viburi vyenu hivi maana hiki kizazi cha wanaume wa haki sawa a.k.a 50/50 mlichokizalisha kwa makelele yenu ya Beijing kimeshaanza kuota ndevu na kinatekeleza exactly ambacho tumekuwa tukiwaonya kuwa mwanaume na mwanamke si sawa na mwanaume anatakiwa kumuongoza mwanamke nyie mkasema hapana MUNGU alikosea wacha tumrekebishe.

Haya juzi kuna dada Twitter alikuwa analalamika mume wake kuna mashoga mawili yamemshika kichwa anayahudumia na kuspend nayo mahaba nayo.

Hebu imagine tumefikaje hapa mwanamke anashindana na mwanaume anayejifanya mwanamke kugombania mume wake wa Ndoa ambaye amepata nae watoto?

Feminism imekuja kuwaharibia sasa endeleeni kusapoti idea zao. Huko mbele mabinti zenu watalia kwenye makaburi yenu wakiwalaani kwa kutosikiliza maagizo ya MUNGU kwenye vitabu vyake.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liko limoja lishenzi kule Shinyanga niliamua niliache litunze mtoto lenyewe nione litaishia wapi, shenzi kabisa yule mwanamke... Fikiria kutoka mimba mpaka leo linatukana matusi na sasa ni miaka 7,likipata shida linanitafuta Kwa upole eti nilisaidie, nilishaapa halitalamba hata mia yangu tena, kitu nilikua nalihudumia lakini linanitusi, nikakata misaada na mawasiliano,

Wajinga sana
 
Mpumbavu mama yako mzazi na baba yako mzazi. Ulitakiwa kujikita kwenye hoja
Usitukanie wazazi sasa huko utakuwa unakosea hata kama amekukwaza au kakutukana malizana nae yeye ila kumtumkania mtu mzazi wake si jambo la hekima.

Hivi wakikuletea baba na mama yake hapo mbele yako wakwambie uwaambie kuwa wao ni wapumbavu utawatamkia hayo maneno?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes ni better kunyamaza not to expose the level of ur stupidity dear na hayo sio mapovu huo ni mtazamo wangu wewe ulitakiwa kuleta wako. Balehe uzeeni zinasumbua sana mtu unakua kama una makamasi kwenye ubongo smh
Jaribu kushusha jazba. Mwanamke mwenye hekima huwa haweki hasira kifuani kwake anatumia utulivu na hekima kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajina kama hautajali, naomba ruhusa yako niprint haya madini kwa matumizi ya hapo baadaye
 


😀😀

Mkuu adhabu pia zina muda, Kama umemuadhibu vya kutosha na kanyooka unaweza endeleza Huduma.
Ila sikupangii Kaka
 
Mbona kama una ajenda yako nje ya mada? Kwasababu nunachokisema ni kile kile ambacho kinakemewa.

Kuna mwanaume ambaye anakutana na mwanamke mtiifu na mnyenyekevu (submissive) halafu ampuuze na kumdharau kwa makusudi ? Huyo sio mwanaume ni mvulana aliyekuwa mtu mzima.

Ni hizi mentality za mashindano ndizo ambazo huwaletea vita katika maisha yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona yeye mwanamke ameshindwa kukubaliana na tofauti ya mwenzake.


Kwahiyo wewe unaona swala la vyombo kuwa vichafu ni swala la kuoverlook na kupuuza?

Tumia akili ya kawaida tu, huyo mwanamke akijapata mabinti atawafundisha nini kuhusu usafi wa nyumba kama akimbiwa au kuhojiwa anakasirika?

Wanaume wapo serious sana na swala la familia sababu watoto wakiharibika lawama ni kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samcezar Ndugu nisome unielewe, Mimi sina tatizo na mwanaume kutokuzaa, au mwanamke kutokuzaa nina tatizo na watu wawili kuleta mtoto duniani then wanaanza kupiga danadana katika malezi.

My point is, kama mtoto yuko kwa baba, mama achangie malezi, na kama mtoto yuko kwa mama baba achangie malezi sababu walifanyana wakampata huyo mtoto wamlee. Sheria kali za wenzetu zinaleta discipline na commitment katika malezi ili kama inawezekana watu wazae kwa adabu, ama waamue kutokuzaa kabisa.

Navutia ngoma kwa watoto sababu wao ndio victim namba moja katika hili na hawana hatia, Wenzetu wameweza ndio maana rate ya watoto wa mitaani ni ndogo sana, watoto waliopo mitaani wengi wao ni yatima, tofauti na huku kwetu ambapo watoto wa mitaani wengi tu wana wazazi ila wametelekezwa, baba amemtelekeza mama, mama anamtelekeza mtoto kwa bibi, na mtoto akiona kwa bibi maisha hayaeleweki na ye anaingia mtaani. Na ye atazaa na binti wa mtaani and the circle goes on.

hayo masuala ya wanaume kutembea na wanaume wenzao si jambo langu, Sawasawa?

Kuhusu feminism, dunia haijawahi kuwa static, inabadilika kila siku hivyo hata wanawake hawawezi kuwa submissive milele inabidi tuzoee hilo. Hakuna anayeweza kuizuia dunia kubadilika.
 
Kumradhi kama kuna sehemu nimeonyesha kwa namna yoyote kukosea heshima haikuwa nia yangu.

Tukirejea kwenye mada ni kwamba kuna swala la mahusiano ambayo msingi wake ni malengo ya kuishi pamoja na kujenga familia ya kukuza watoto ambao baadae watakuja kuwa raia bora wa kujenga taifa. Kinyume chake ni kujenga taifa la watu wenye traumatized experience, akili zisizozingatia utu kwanza, tamaa mbele, ubinafsi, dharau kwa mamlaka kuu na zinginezo.

Kimisingi hapa mada inalenga kuibua changamoto ya aina ya wanawake ambao huona mahusiano kama kilinge au eneo la kushindana na mwanaume na kumtumia mtoto kama silaha ya kumcontrol huyu baba mtoto ila ndani ya nafsi zao wanajua wanamapepo yao ambayo wamebebelea kutoka miaka ya shule na chuo ambayo yanawazuia kutulia na kulea familia, kuolewa na kuwa mke wa mtu kwa heshima.

Hawa ndio tunawazungumzia na tunategemea wanaume wawajue na kuwakalia mbali wasithubu kupata nao watoto waishi kishetani wafe na DNA zao zipotee zigeuke mbolea ili watoto wetu wawe salama hawa mashetani wasijekuwa mama zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ndugu......

Lakini makosa uliyokosea wewe hayapaswi kumkabili mtoto kwa namna moja au nyingine......iwe mmemzaa kwa bahati mbaya au makusudi lakini nyinyi kama wazazi mnapaswa kuwajibika kwa matokeo ya kitendo chenu........
 
[emoji3][emoji3]

Mkuu adhabu pia zina muda, Kama umemuadhibu vya kutosha na kanyooka unaweza endeleza Huduma.
Ila sikupangii Kaka
Halijanyooka, lijinga kabisa lina matusi kama linaishi mitaani
 
Mbona umeandika kama vile ndoa zisipokuwepo atakayepata hasara ni mwanamke tu?
 
Nipo pamoja na wewe lakini hutakiwi ku give up kwa mtoto wako kama baba ukikata tamaa na mwanao apo ndo utatengeneza vizazi vya ajabu kama hao mashoga inatakiwa upambane na mwanao kibishi itafika time ataelewa tu na ukikaa pembeni kumbuka hata kama umemnawa mtoto ila aibu itarudi tu kwenye jina lako

Me nimemuelewa mzee wangu badae sana na nakubali sana maamuzi yake ya kutokata tamaa na watoto zake japo kua kuna vitu alikua anatumezesha bimkubwa vilikua poison ya maana lait kama mzee ange give up kuhusu sisi watoto zake mpaka leo hii ningekua namchukia mzee ila ni mtu ambaye naishi nae poa sana sahiz

Kiukweli wanawake wanazingua [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 


Pumba
 
Wagonjwa wa Akili mpo wengiiii,
Nyie sasa mkamatwe kwa nguvu mmezeshwe dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…