Kwahiyo kwa maneno yako unakiri kabisa tena wazi wazi kuwa wanawake wanakauzembe wanakofanya na kanasababisha kubemenda mahusiano. Ila unachagua kupuuza negligence ya mwanamke halafu unataka mwanaume awajibishwe kwa negligence za mwanamke?!
Hii inaelezea ni kwann sasa kunaongezeko la watoto wasio na maadili, ushoga, watoto wanaopata watoto katika umri mdogo huko uswazi, ongezeko la single mothers kwenye jamii, uvivu, ubadhirifu na aina zingine za ukosefu wa maadili.
Sababu mwanamke kaamua kulanduka kwa masilahi yake binafsi yasiyo ya kijamii. Na hii haipo Tanzania tu bali afrika na Duniani kote. WANAWAKE wa kiafrika ndio main character wa hii movie ya uharibifu. Fuatilia utakuja nambie usije sema mimi naongea kwa chuki ndugu. Mimi nafuatilia sana haya mambo nilikiwa namba one advocate wa mahusiano nikitetea mwanamke kwa kumpa benefit ya doubt bila kutazama faults zao.
Ila miaka ya karibuni nikatenga muda na kuchunguza wanawake wengine wanaopitia manyanyaso, kuvunjika mahusiano au kuwa na watoto bila ndoa au mume huwa nyuma yao kuna story ambayo inawahusu na hawapo tayari mtu yoyote ajue au iletwe public. Na jamii imewakuza ikiwaaminisha kuwa wao ni sahihi kukosea na kufukia madhambi yao na mwanaume atakaejitokeza kubeba misalaba yao basi ni wakutukuzwa kama mwanaume bora na shujaa wa jamii jambo ambalo si sahihi na jamii imeliendekeza na kuwapa sababu hawa wanawake kuendelea kukosea na wanaume waharibifu kupata ulimwengu wa kuiachia na kusababisha wanaume wachache wenye discipline ya maisha kukosa wanawake wa kujenga nao hii dunia na kuimarisha jamii ili na sisi jamii ya mtu mweusi tupige hatua kama wenzetu wachina, waarabu na wazungu.
Acheni kutetea mambo ya kishetani msiyojua hatima yake huko baadae. Hapa sisi tunapikemea hapa ili kuokoa kizazi kijacho na ushoga, umalaya, udangaji, ujambazi, usaliti, ufisadi, viongozi takataka kama Hawa wa Tozo, na aina zinginezo za ufala katika maisha ya jamii ya mtu mweusi.
Kaeni kimya kama hamna la kuchangia badala ya kuja hapa kuzima moto wa kuchoma huu uharibifu as if jamii inafaidika nao.
Sent using
Jamii Forums mobile app