Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Haka karembo wa hapa kazini nimekatoa out for breakfast kamashiba nakaambia turudi kazini kananiomba nauli ya jioni.
Duuhh.
 
Aaaaaaah huyo ni kichaaa
 
kilio cha taifa
Akikuomba hela mwambie njoo na kadi ya uanachama ya CHADEMA atakuwa Hana Hyo siku nawe ukiomba umgegede atajichanganya tu atajua una ya CHADEMA ya CCM hauna atakwambia njoo na kadi ya CCM kumbe zote mbili unazo unaenda mgegeda freeeeeesh kabisa bureeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda siyo wanaume wa leo, usipoomba Nate anauchuna Kama si yeye
 
Waf Wafuate hao hao,umepanic as if umeambiwa ww tu
 
Si unaona sasa! Wao wanataka kazi zote za mke ufanye ila kutoa pesa wanaona kama wanaonewa!
 
We mpare em tulia majukumu kwani mimi mzazi wako. Kabla ya mimi nani alikua anabeba haya majukumu? Hivi ni kujilemaza kiakili, kimwili na kifikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani kabla ya kuwa na mwanamke nani huwa anakupikia na anakufulia? Kwanini ukiwa na mwanamke unataka akufanyie hayo yote?
 

Chambo kwenye ndoano
 
Labda siyo wanaume was leo,usipoomba Nate anauchuna Kama si yeye
Kama mwanamke haujui wajibu wako na we siwezi kukupa pesa bila mpangilio mana wengi matapeli hamna msimamo siku hizi mtu nimetoa gharama zangu kukupendezesha unaanza nipa masharti sijui mapenzi mpaka ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…