Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

β€οΈπŸ‘ŒπŸ€πŸ€πŸ€
 
Wanawake wenye heshima ya kweli ni wale ambao walipata vyote hivyo halafu wakafanikiwa kuheshimu waume zao, ninyi mnaheshimu out of option… Yawezekana mngepata kama hao kina Rose shaboka mngekuwa worse zaidi.

However nawapa maua yenu, mnajua kulisha ego za wanaume , Since wengi wao wana ego dhaifu.
 
Ukiis
1.Ukiishi kwa kutumia akili hutihangaika na hisia maishani!
2.Hiari inashinda utumwa
3.Katika yeye akutiaye nguvu utayaweza mambo yote!
 
Ukiis

1.Ukiishi kwa kutumia akili hutihangaika na hisia maishani!
2.Hiari inashinda utumwa
3.Katika yeye akutiaye nguvu utayaweza mambo yote!
Mi wala sina baya na nyie, nawapa tu maua yenu.

Mwenyewe ni muumini wa modern feminism inayosema mwanamke ana haki ya kuchagua alee familia nyumbani au akafanye kazi asaidiwe kuelea familia, Yote haya ili mradi asijidumbukize katika mazingira yakunyanyaswa.
 
Maisha nayo sio yakuchukulia serious sana. Na ushauri wa kila mtu
Ishi tu. Mm maua hayanifai mana sijaolewa bado
 
Binti ninae na alhamdulillah kasoma dini na kadegree kake anako and mwezi September Anaolewa Insha'Allah
 
Yangekuwa hayo yangekuwa ni matarajio mazuri, kwa sasa watoto wa kike wanasomeshwa kuamini cha mume si chake ndio maana akiwa na kipato ndoani ni kupambana kujenga himaya yake na akiweza dharau zinaanzia hapo kumuona mume si chochote si lolote
 
Kichogo nilikuaga kataa ndoa chaajabu naelekea kumuoa mtoto wa mama mkwe nipe address nikuletee kadi 😁
Ariririiiiiiiiiiiiiii
Address mtaa wa Narung’ombe kichogo..!!
Umeamua kujibebea stress zako..
Kakupa style gani mpk umetangaza ndoa? 😹😹😹
 
Ariririiiiiiiiiiiiiii
Address mtaa wa Narung’ombe kichogo..!!
Umeamua kujibebea stress zako..
Kakupa style gani mpk umetangaza ndoa? 😹😹😹
Hahaha πŸ˜‚ ila kichogo kwamba staili tatizo unawaza ngono tu ndio maana. Stress tunazo na tutaishi nazo we karibia ule ubwabwa uMC unauweza nikupe.
 
Hahaha πŸ˜‚ ila kichogo kwamba staili tatizo unawaza ngono tu ndio maana. Stress tunazo na tutaishi nazo we karibia ule ubwabwa uMC unauweza nikupe.
Sasa kipi kilichokutuliza mfyuuuu 😹😹
Nipe u MC nichachue shuhuli hiyo..!!
 
Yangekuwa hayo yangekuwa ni matarajio mazuri, kwa sasa watoto wa kike wanasomeshwa kuamini cha mume si chake ndio maana akiwa na kipato ndoani ni kupambana kujenga himaya yake na akiweza dharau zinaanzia hapo kumuona mume si chochote si lolote
Sasa hapo inategemea na mwanamke mwenyewe ikatokea kwenye malezi gani na upeo wake ukoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…