Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Kila mwanamke anaomba pesa kwa level yake, huyo zari ataomba ten?
Zari haombi kila siku.
Ataomba mara moja ili kuboost projects zake zikikwama mahali au ameitiwa show mahali let say ufaransa na hajalipwa hadi itakapokamilika hapo ndio ataomba hela za kucover gharama ticket na hotel show ikiisha pesa inaingia
 
Zari haombi kila siku.
Ataomba mara moja ili kuboost projects zake zikikwama mahali au ametiwa show mahali let say ufaransa na hajalipwa hadi itakapokamilika hapo ndio ataomba hela za kucover gharama ticket na hotel show ikiisha pesa inaingia
Yah anakuomba Mara moja Ila anaomba mil 20,15,10 kwa kuwa ndo level zake...
Kila mtu anaomba kwa level zake na unapoombwa ili uonekane umetoa lazima kikuumize.....
Mbona mtaani tuna wanawake wengi hawaombi hela na home anakuja unamkaza fiti tu at mchumba mkali Kama #Thickassdaphne Ila siku akiomba anaomba 500k-1mil
 
Naongezea kwenye kusuka hapo ni msuko wa 80,000/=
 
Zari haombi kila siku.
Ataomba mara moja ili kuboost projects zake zikikwama mahali au ametiwa show mahali let say ufaransa na hajalipwa hadi itakapokamilika hapo ndio ataomba hela za kucover gharama ticket na hotel show ikiisha pesa inaingia
Kwahy zari kuomba mara moja hapo hajaomba?

Anyway, uwe na siku njema bro.
 
Dahh inawezekana kabisa! Saingine unaombw akwa mazoea na sio muonekano! Ila mpk umeombwa laki means una kitu!
 
Kama wanakupa huduma wape tu.
 
Hata ikiwa ni jero, kila senti ina maana kubwa, ndio maana mmoja anaomba na mwingine anataka "value for money"
Ukimfata mwanamke ni lazima uwe na pesa, kama huna kuna sabuni au parachute, period.
 
Lol, kumbe unamfukuzia pole sana kijana, angalia angalia wengine huyo mrembo namiliki mimi na sina mpango wa kumuacha
Utakapotekwa na kupotea kama Polepole ndipo utajua dushe linashinda ulimi katika K. Achana naye.

Mashihisho madogo kwa niaba ya Wazenji wenzako (baada ya neno kijana andika wa Zamani)
 
Utakapotekwa na kupotea kama Polepole ndipo utajua dushe linashinda ulimi katika K. Achana naye.

Mashihisho madogo kwa niaba ya Wazenji wenzako (baada ya neno kijana andika wa Zamani)
Sasa kijana wa zamani hujui kama wazenji ndio tunarun nchi sasa hivi? Lamomy hawezi kua mjinga aniachie mtoto wa sultani kisa wewe,
Ulimi ndio mpango mzima, wa moto, unateleza, kiss me kinafyonzwa hadi mtoto ana squirt, we huogopiiiii!?
 
Sasa kijana wa zamani hujui kama wazenji ndio tunarun nchi sasa hivi? Lamomy hawezi kua mjinga aniachie mtoto wa sultani kisa wewe,
Ulimi ndio mpango mzima, wa moto, unateleza, kiss me kinavyonzwa hadi mtoto ana squirt, we huogopiiiii!?
Mtoto wa kizenji unachekesha, ila ukiwa unafyonza kiss me inabidi tuwepo nyuma yako tunapump au siyo
 
Sio kwamba siwaoni vijana wa kiume omba walio jazana kila kona .

Ila taifa leo lina omba omba wanawake , kwa kigezo cha mapenzi zaidi ya wakoma, halafu wanaona ni kawaida tu wala hawana aibu🤔

Na kwa sababu wamekutana na wapumbavu wakuwapa ,hii kitu imepitishwa kama sheria ya dharura, wauzaji wa mbunye wanauza kwa kigezo cha huduma na malafa na viazi wajaa tu gademitt.


Note: sipingi kujaliana kwa mambo madogo dogo kwa hiyari tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…