Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Naona umekuwa msemaji wangu
Sijawah kuishi na mwanaume kinyumba even kwenda kukaa kwake week sijawahi mkuu

Huo ujumbe uwafikie wahusika mimi hilo halinihusu
Umalaya una gharama sana sis. Pole!
 
Bado mdogo. Tulia jiweke bize na mambo mengine atajitokeza mtu anayekufaa. Usipofuata huu ushauri wangu itabidi uanze kuhudhuria mikesha ya mwenge huenda ukapata mtu kule.
Hahaha
 
Aisee
 
Mkuu mimi sasa ndio wale watoto wa 90 tulobalikiwa miili midogo umri wangu na sura na umri havifanani kwa haraka haraka ukiniona unaweza kadiria nina miaka 18-22 na hiko kitu sikipendi maana natongozwa na niliowazidi wakidhani mimi rika lao 🥹
 
Mimi Pia nawaza Kama wewe tubaki tu na hizi FAke ID maana huko mtaani hamna mtu anaamini nateseka kwa jinsi navyo ng’aaa 😝
Sawa mkuu, ila kwa machapisho yako mtandaoni ni wazi kuna kitu hakipo sawa.
Pole sana.
 
Mkuu mimi sasa ndio wale watoto wa 90 tulobalikiwa miili midogo umri wangu na sura na umri havifanani kwa haraka haraka ukiniona unaweza kadiria nina miaka 18-22 na hiko kitu sikipendi maana natongozwa na niliowazidi wakidhani mimi rika lao 🥹
Lakini si Una Mtoto mmoja, shukuru Mungu na Huyo Mtoto uliyempata. Lea Mtoto, kama mume wa ndoto yako atajitokeza Tu, ila punguza kuwabagua wanaume.
 
Asante mkuu
Kuna rafiki yangu huwa ananiambiaga kwa uzuri ulio nao halafu unateseka hivyo ningekuwa mimi niko hivyo ningewatesa nabaki kucheka maana ina huzunisha Mungu hakupi vyote 🥹
 
Mmh mtoto gani nimesema ninae… sina mtoto mkuu
 
Nahisi una Vutia Ila hauna Mvuto

Maana kuna wanawake wana attractiveness Ila hawana magenetism

Hii nahisi ndo IPO kwako
Mkuu mimi sasa ndio wale watoto wa 90 tulobalikiwa miili midogo umri wangu na sura na umri havifanani kwa haraka haraka ukiniona unaweza kadiria nina miaka 18-22 na hiko kitu sikipendi maana natongozwa na niliowazidi wakidhani mimi rika lao 🥹
 
Asante mkuu
Kuna rafiki yangu huwa ananiambiaga kwa uzuri ulio nao halafu unateseka hivyo ningekuwa mimi niko hivyo ningewatesa nabaki kucheka maana ina huzunisha Mungu hakupi vyote 🥹
Wewe unadhani sababu ni nini??
Maana wewe ndo unajijua zaidi ya jf inavyokujua.
 
Una umri Gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…