Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ungeweka neno "baadhi" ningekuelewa.Usichanganye wanaume wote.Hata hivyo,tofautisha mwanaume anapotumia mamlaka kama mume,baba na kiongozi na mwanaume anayeongozwa na ubabe wenye ukatili.Hao ni watu wawili tofauti kabisa.Aah mkuu sijamaanisha kutotambua umuhimu wa.mume/mwanaume
Shida yenu mnapenda kuogopwa sana, mnapenda yaan kuona wenzenu watumwa nyie wamiliki akta wote ni binadamu mnatumia ile option ya kua hana kitu kumteketeza kabisa
Ukatambikie katika laki moja kama wako unapata mmoja.Una wazimu si bure! Mbona wake zetu ni vigogo na bado wanatuheshimu, wanapika, wanatandika Vitanda, wanatufuta tukimaliza kula k zao, nk wakati huo huo wanaleta pesa nyumbani. Acheni ujinga wenu. Acha ku generalise. Mwanamke anaheshimu mume wake hata akiwa na elimu, cheo Inategemea na makuzi yake.
Hapa nyuma ya Pepsi 🤣🤣Hivi uliniambia we ni mwanasheria ofisi gani hapo arusha?
AbeeOya serve faster basi 😃🤣
wee jamaa jinsia gani ww??Usiwe na pa kwenda alikuokota juu ya mti!??
Usiishi bila yeye kwani unatumia oksijeni yake??
To both sides how???Hii ina appy to both sides
Kusaliti chama ?Kumbe BICHWA KOMWE - ni dume aliye saliti chama 😃🤣
Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa
Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores
Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?
Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu
Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee
SI ume sema leo kaongea kiume 🤣, kwani huwa ana ongea kike 😃Kusaliti chama ?
Maneno yenu hayo, labda umuulize mwenyewe kama anaelewa usemalo.
Nipe Pepsi crate zima 😃🏃🏃🏃Abee
Yeah,sometimes kama shangazi ila sometimes kama mjomba ila this time kashusha vitu unasoma huku unavuta picha aliyetype ana sauti nzito,nimetikisa kichwa na kusema "Yes,I'm ame type".SI ume sema leo kaongea kiume 🤣, kwani huwa ana ongea kike 😃
Provided that zimejirudia mno....Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa
Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores
Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?
Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu
Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee [emoji119][emoji119]
wee mama ukweli unaishi kisimbe wee ni lisingo maza pro max... Usitake kuuliza nimejuaje haya...Hamna kiumbe kisicho na heshima mkuu l, shida ya wanaume wanapenda ile kuheshimiwa beyond sijui unanipata???
Yaan wanataka.ile hali ya kuogopwa flani hivii yaani sijui nikueleezeejw kiongozi
Hatari sana na wanapenda mikopo lakini huliza hela zinakwenda wapi aiseee utabaki unacheka tuuDah nna mke ni mtumishi wa uma yani jana nusu nimmalize kwa dharau...kakopa dinner set ya laki NNE bila kunishirikisha namuuliza kwanini ananijibu siku nyingne ntakwambia...nlijisahau
Ni kosa kumuona mwanamke kama inferior badala ya kumuona kama partner! Ukimnyanyasa naye atatafuta wasaa wa kulipiza. Nachukia pale mtu akimtaja mkewe’huyu mwanamke’ badala ya mke wangu.Aah mkuu sijamaanisha kutotambua umuhimu wa.mume/mwanaume
Shida yenu mnapenda kuogopwa sana, mnapenda yaan kuona wenzenu watumwa nyie wamiliki akta wote ni binadamu mnatumia ile option ya kua hana kitu kumteketeza kabisa
Mwanaume ufukuzwe kazi halafu mke awe na kazi halafu umuombe hela hahahahaha yani hapo ni sawa na kujimezesha bomu 😂😂😂😂To both sides how???
Mwanaume nikiwa na hela mke wangu hata aniombe mara elfu sifungui kinywa kumsema vibaya lakini leo mume akose kazi akae nyumbani mke atoke kwenda kutafuta jioni amuombe hela kidogo aone moto wake.
Nikupe mfano. Juzi nilikuwa nchi za waarabu. Nilipokuwa airport, akinadada watatu pisi Kali zikanifuata (Kama kuna member wa JF asinitaje), mmoja akanifuata na kuniuliza mzee wewe ni Mbongo? Nikajibu, mimi ni Mtanganyika haswa. Akasema ana SIM card anataka kuituma Tanzania. Akaomba niichukue.Hata hapa wanapita na wanafanya ukaidi kwa hizi fake IDs ila deep down wanatamani sana kuwa ndani ya ndoa.
Huwa zinakuja post humu kutafuta waume ukifungua profile ya muhusika inasema "Joined Yesterday” huyo siyo kwamba ni mpya ni hawa hawa feminists tunaokwaruzana nao humu kwenye post kama hizi wanakuja kivingine kujaribu bahati zao.