Kakwambia nani? Mbona wakishatangulia mke huku nyuma anapata bby kabisa mpaka unajiuliza mbona wakati mmewe yupo alikuwa kazeeka? Kumbe Mme alikuwa anamfuja tu sasa kampata wakumtulizaAnazeeka, wakati wakielekea uzeeni pamoja ni vyema msaidizi akapatikana, miili ya wanawake ukuaji wao unajulikana, binti wa miaka 20 sikuhizi ukimuona unaweza kumsalimia
Basi huyo hakuwa mke alikuwa kahaba aliyejificha kwenye ndoaKakwambia nani? Mbona wakkshangulia mke huku nyuma anapata bby kabisa mpaka unajiuliza mbona wakati mmewe yupo alikuwa kazeeka? Kumbe Mme alikuwa anamfuja tu sasa kampata wakumtuliza
Ndiyo maana mke akiachika, mtaraka hapendi aolewe tena anajua akipendeza ataonekana yeye ndiye alikuwa anamtesa [emoji3][emoji3]
Hakuna sababuHa ha ha ha sababu ni wanaume
Yaani ni raha sana, wa kwangu kanipita miezi 3 tu, tuko washkaji sana, utani kama wote.Watu wanaangali sex tu na sifa za kumuweka Instagram. Kuoa agemates/peers kuna faida zake napo.
Kumbe we ndo mke wa Padre WillbroadHuyo fred tu hakumpenda mkewe tokea mwanzo.
Hayo magonjwa nyemelezi umri wa miaka 40 yanatoka wapi? Labda kama hujitunzi tu yaani kula hovyo na kuwa legelege
Mbona Padre ananipenda hivi wakati tuna umri wenye tofauti kubwa ?
Sababu ipo labda awe kichaa [emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna sababu
Interests na mambo mengi hamuwezi kufanana. Yeye atataka stories za akina Nandy na Zuchu kwa maana ndio muda wake ila wewe unaona umri umekutupa mkono kwa mambo hayo.Stori za kupiga ziko nyingi sana sio hizo za kizamani
Yaani mimi niondoke katika nyumba niliyojenga kwa jasho langu? Mbona kutafuta tafuta huko mnafanya hata bila kuambiwa.Sio aondoke kwani wewe huwezi kuondoka? Au umwambie mke wangu sahizi Ngoma zito tafuta tafuta huko [emoji3]
Are you comfortable with her?? Hilo ndio swali la msingi.Watu tunaoa wanawake tumewazidi nusu ya umri tulionao au robo tatu na hao wanawake wanakua haraka na kuzeeka sawa na waume zao tu. Unakuta jibaba lina miaka arobaini linaoa mdada wa miaka ishirini na maisha yanaenda freshi tu. Habari za kufa mapema si za kufikiria kwani hakuna mtu ajuaye lini atakufa
Enzi hizo Clouds hawakuwa na TV, walikuwa na Radio FM tuuu. TV channels zilikuwa ni TVT, C2C, ITV , etc kila mara unatoka nje kwenda kutingisha antena ili chenga ziondoke na kuwe na clarity.Sio tivii
Enzi hizo Clouds hawakuwa na TV, walikuwa na Radio FM tuuu. TV channels zilikuwa ni TVT, C2C, ITV , etc kila mara unatoka nje kwenda kutingisha antena ili chenga ziondoke na kuwe na clarity.
Enzi hizo Clouds hawakuwa na TV, walikuwa na Radio FM tuuu. TV channels zilikuwa ni TVT, C2C, ITV , etc kila mara unatoka nje kwenda kutingisha antena ili chenga ziondoke na kuwe na clarity.
Enzi hizo Clouds hawakuwa na TV, walikuwa na Radio FM tuuu. TV channels zilikuwa ni TVT, C2C, ITV , etc kila mara unatoka nje kwenda kutingisha antena ili chenga ziondoke na kuwe na clarity.
Point iko hapa 🤠🤠Mtu kama mimi sipendi mwanamke anayenipigia kelele na kunifokea. Ninaweza kumchoma kisu hata cha shingoni.
Hatari sana!!Ama kweli maisha ni kama mapumbu ya mbuzi. Yanaenda mbele na kurudi nyuma
Mengi vs klynUkiwa na miaka 45 na mkeo awe na 30, atakupeleka puta vibaya sana! Yeye wakati huo ndio ujana umekolea wakati wewe umeshaanza kujichokea na umeshatulia.
No matter she is too young to me, regardless comfortable, kwa umri huo mkubwa unawezaje kuoa mwanamke ambaye naye ana umri mkubwa hata uzazi umefika mwisho hazai tena nawe unataka upate watoto angalau mmoja wa kuhitimisha uzee?. Kuoa mzee mwenzako maana yake hutaki kupata mtotoAre you comfortable with her?? Hilo ndio swali la msingi.