Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Hakuna mwanaume malaya mwanaume karuhusiwa kuwa na wanawake hata wote akiwa na uwezo kama Suleiman alikuwa na 700 na michepuko 300 ni malaya au ķidume
Sasa tumeingia kwenye dini hiyo ni dini moja tu kwati ya nyingi zilizopo duniani, unajua kuna imani nyingine wanwake ndio wanaokuwa na wanaume wengi? Afu kuna wengine hiyo imani yako kwao haiapply wanaweza kuwa na wanaume wengi watakao? Safisha hizo kamasi kichwani, kama unapenda kula mbususu freshi ila kwenye mambo ya maana weka hizo kamasi pembeni acha ubongo ufanye kazi
 
Sijawahi kusikia hizoo dini sasa utapigw miti na wanaume haoo wengi si utakuwa kama dyaba sasa
 
Unakuwata mwanamke kucha kukesha kwenye mitandao hata muda wa kufua nguo zake za ndani anakosa
Kabisaa yeye kubishana na kutaka atetion tuu nilikuwa na ndugu yangu wakike wa hivyoo jamaaa alipojitikezaaa tukamuozesha fast alikuwa jangaaa asaivi kashika adabu jamaa kamzalisha watoto wawili kwisha habari yake katuliaaa tuli *****
 
Kaka mm wengi wamenitumia uchi wengi sana na mm huwa nahifadhi sifuti
Hilo ni sahihi kuna mwanamke ukimwangalia ni kama anajiheshimu na mtumishi wa taasisi moja kubwa tu hapa Tz alinitumia picha za matiti yake.

Baada ya kumueleza madhara ya kufanya hivyo eti akajifanya amenielewa akaniomba niifute

Hawa viumbe kwenye mitandao ni wajinga sana. Ndio maana Baltazar alikuwa anawarekodi nao wanainjoi
 
Sijawahi kusikia hizoo dini sasa utapigw miti na wanaume haoo wengi si utakuwa kama dyaba sasa
Utasikiaje wakati kichwani kumejaa kamasi muda wote unawaza mbususu na kuzama kwenye DM's za malaya? .... unaelewa kwamba unavyokutana navyo kwenyemtandaoni ndio tabiayako right? Ahhh pole hata hili linaweza kuwa juu sana kwako. Mkuu jielimishe, acha kufikiria na nyayo mpaka unyanyue mguu ndio upate ufahamu.

Alamsik.
 
Kabisa wengi wanajiuzaa kisasa sio ile ya kwenda bara baran kama zamani
 
Huna hoja wapo wanaojitunza ila ni wachahe kama asilimia 1% ila 99% wote malayaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…