Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Kuna kaukweli,
Mwanamke akiamka ni kubadilisha tu mara X, jf, tiktok, fb, wasap.....hao watoto anawahudumia mda gani, hata kama msaidizi yupo, yule ni anaitwa "msaidizi" na maana yake inaeleweka.

Upate mwanamke mwenye kiasi kwenye hizi social networks, ajue kubalance, sisi hatukatai wasijue nini kinajiri, wasiingie, wasijifunze...ila wajue kubalance!
🤣@numbisa @to yeye
 
Imagine! Yaani sababu kuna wachache wanatumia vibaya basi population yuko inajumuishwa, halafu tunataka tupate wavumbuzi wa teknolojia mbalimbali nchini. Ubaguzi wa kijinsia unatumaliza TZ
Wengi kwenye akaunti zenu hamkosi picha mmeonyesha tako au jinsi mmeumbika au sehemu fulani ya mwili ambayo unajua hii itapata attention
 
Ila hao wa mitandao ndio mnawatamani... hahaha wanaume bwana...
Kuna wanawake ni kwa ajili ya starehe sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke

Wanawake hao huwa tunawachukulia tu kama bangi inayovutwa masikani na masela

Ni mwendo wa kupokezana kila mmoja apige pafu 2 au 3 mpaka kipisi kiishe
 
Kuwa na wanaume wanaokwaza mtandaoni kama wewe haimaanishi wote ni wapumbavu, ndivyo ilivyo kwenye mambo mengine yote. Ungekuwa unafanya mambo ya maana wala usingekutana nao au wasingekuwa a bother kwako.
Mm mke wangu hawezi tumia smart na hata akitumiaa ni single tuu WhatsApp imo kwa vile yupo nje ya nchi Facebook taka taka zote hapana
 
Kuna wanawake ni kwa ajili ya starehe sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke

Wanawake hao huwa tunawachukulia tu kama bangi inayovutwa masikani na masela

Ni mwendo wa kupokezana kila mmoja apige pafu 2 au 3 mpaka kipisi kiishe
Ni nani amekwambia kila mwanaume anafaa kuwa mume :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: msituchoshe kukaa kusimanga wanawake utafikiri kwa wanaume hakuna takataka.
 
Mm mke wangu hawezi tumia smart na hata akitumiaa ni single tuu WhatsApp imo kwa vile yupo nje ya nchi Facebook taka taka zote hapana
Kama nilivyokwambia hapo juu, haimaanishi wanaume wote ni wapumbavu, na usifikiri kila siku utakuwepo, kila kitu kina uzuri na ubaya wake, angalia unaweza vipi kutumia uzuri huku ukiwafunza kukabiliana na ubaya yake. Kumzuia siyo suluhisho kama fursa na the future inaelekea huko, sana sana unakomoa mwenyewe tu
 
Wewe ushawahi sikia mwanaume malaya wewe
:KEKWlaugh::KEKWlaugh::BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: upumbavu wako kichwani hauzuii wewe kuwa takataka ukijiweka kama takataka! Umalaya ungekuwa fahari Engonga angekuwa mtume anayetukuzwa saivi. Ucha ujinga kijana, kinyesi ni kinyesi tu hata ukipake marashi kitabaki kuwa kinyesi
 
Kama nilivyokwambia hapo juu, haimaanishi wanaume wote ni wapumbavu, na usifikiri kila siku utakuwepo, kila kitu kina uzuri na ubaya wake, angalia unaweza vipi kutumia uzuri huku ukiwafunza kukabiliana na ubaya yake. Kumzuia siyo suluhisho kama fursa na the future inaelekea huko, sana sana unakomoa mwenyewe tu
Huku mtandaoni wengi wanauza kama sio woteee mm sijawahi mfuata mdada nikamkosa huko fb inst x na kadhalika
 
:KEKWlaugh::KEKWlaugh::BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: upumbavu wako kichwani hauzii wewe kuwa takataka ukijiweka kama takataka! Umalaya ungekuwa fahari Engonga angekuwa mtume anayetukuzwa saivi. Ucha ujinga kijana, kinyesi ni kinyesi tu hata ukipake marashi kitabaki kuwa kinyesi
Hakuna mwanaume malaya mwanaume karuhusiwa kuwa na wanawake hata wote akiwa na uwezo kama Suleiman alikuwa na 700 na michepuko 300 ni malaya au ķidume
 
Back
Top Bottom