Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

😂😂😂😂😂😂imebidi nicheke sasa nisipokua online nisipokua active wateja wangu wataonaje product zangu wooi
Product gani unazozungumzia unazitangazia?

Maana kuna wanawake wengi wa Kariakoo nawafahamu, kwenye kutangaza biashara zao ni kama tu wanatangaza miili yao badala ya biashara.

Na wengi nawafahamu ambao wanaliwa na wateja wao kwa sababu walianzia kwenye matangazo ya bidhaa kumbe wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja bidhaa na miili yao
 
Kuna kaukweli,
Mwanamke akiamka ni kubadilisha tu mara X, jf, tiktok, fb, wasap.....hao watoto anawahudumia mda gani, hata kama msaidizi yupo, yule ni anaitwa "msaidizi" na maana yake inaeleweka.
Unakuta mke wa mtu kakaa kwenye sofa simu muda wote mkononi kwenye social media, mikucha kama shetani, jicho kideoni hana habari na watoto, usafi wa ndani na majukumu mengine ya mke. Hivi hapo utasema kuna mke
 
Upate mwanamke mwenye kiasi kwenye hizi social networks, ajue kubalance, sisi hatukatai wasijue nini kinajiri, wasiingie, wasijifunze...ila wajue kubalance!
Na uwe makini na anavyopost na na pages alizofollow.

Tatizo wanawake wengi ukiwafuatilia wamefollow page za mambo ya kijinga sana

Ndio maana tukio kubwa linaweza kutokea kitaifa na ana smartphone lakini hajui kinachoendelea na muda wote simu iko mkononi jiulize huwa anafuatilia nini

Unaweza kusema anahabarika au kuna mambo anajifunza kumbe ndio anabomolewa
 
Ni kweli kabisa

Raha ya mwanamke simu aiweke mezani aendelee na shughuli za nyumban aikumbuke baada ya launch awapigie wazazi aitupe hadi kesho


Sio mwanamke anajua simba na yanga hadi anaboa

Raha mtoto wa kike Ni kukosa baadhi ya information za trending
Awa was kwetu hadi wanaomba connect za baltazar
Imagine 🤣🤣🤣🤣

Nimetoka twitter (x) nimekuta mwanamke kakoment katika post kuwa amedindisha ,
 
Back
Top Bottom