🤣@numbisa @to yeyeKuna kaukweli,
Mwanamke akiamka ni kubadilisha tu mara X, jf, tiktok, fb, wasap.....hao watoto anawahudumia mda gani, hata kama msaidizi yupo, yule ni anaitwa "msaidizi" na maana yake inaeleweka.
Upate mwanamke mwenye kiasi kwenye hizi social networks, ajue kubalance, sisi hatukatai wasijue nini kinajiri, wasiingie, wasijifunze...ila wajue kubalance!
