Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Mwanamke anatafuta attention always, Wanaume wengi wanapo M-DM ana feel kwamba amewin kuvuta attention zao, hii huwaongezea maringo..


That kind of Men wanaaotekwa kwa muonekano wa nje wa mwanamke ni weak Men, Wana lack purpose na selfcontroll ..


Binafsi hua siwapi attention wanawake wanaojipodoa ili wavute attention zetu, hua napishana nao bila kuwaangalia kabisa kama siwaoni...


Mtandaoni unamuona mtu kwa nje tu, kwahyo sanasana utatumia kigezo cha Sura, Umbo ambavyo sio vigezo vya mwanamke wa kudate naye....


Mtu ni yule wa ndani yaani Fikra, mtizamo, Itikadi, Imani, Uadilifu, Tabia, Tafuta mwanamke ambaye utakua na muda mwingi wa ku-observe haya .


NB: Kua makini na jambo lolote ambalo linavutia na kutamanisha kwa nje include Women .

😛ia sio kila mwanamke wa mtandaoni huenda akawa anatafuta attention .
Kweli kaka haw ni wakupiga show tuu
 
Kila mtu kawa kungwi sahizi JF anatoa ushauri wa mahusiano.

Wale wanawake aliopita nao bwana Baltazar wote aliwapata online?
 
Kila mtu kawa kungwi sahizi JF anatoa ushauri wa mahusiano.

Wale wanawake aliopita nao bwana Baltazar wote aliwapata online?
Ndio maana ikasemwa kuna red flags nyingi hii ya kutafuta attention za wanaume kwenye social media mi mojawapo ya hizo

Hilo ni kosa la waume zao hawakufanya vetting vizuri kabla ya kuamua kufanya nao maisha
 
Shida ni generation gape bas unaweza ongea sana
Millennium na Gen Z ni watu wawili tofauti wanaoishi kwenye dunia moja
Kuna vitu mtu wa millennium hawez ona umuhimu wake ila Gen z hawezi ishi bira ivyo vtu
 
Kwamba unaweza kuacha tu simu yako ikawa huru ikashikwa na mtoto, akaingia popote mda wowote.

Na hapo ndio tunapima kama huyu mwaminifu au ameshaanza vimchezo🤣🤣 mwanamke mwaminifu simu yake inaachwa tu, watoto wanaishika anytime.
🤣🤣🤣kumbee mbona tunawaachia watoto sana simu, mfano mimi ny niece namuachia sana simu tatizo ni kukata simu na kupigia pigia watu ndo maana simu yangu nailinda.

And mtu kuacha simu ichezewe na watoto and all that haimaanishi huyo mtu ni muaminifu sana, tena ndo anaweza akawa mwalimu wetu lol.
 
Kuna wanawake ni kwa ajili ya starehe sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke

Wanawake hao huwa tunawachukulia tu kama bangi inayovutwa masikani na masela

Ni mwendo wa kupokezana kila mmoja apige pafu 2 au 3 mpaka kipisi kiishe
Hata huyo mwanamke unayemtumia kwa starehe na yeye anakutumia kwa starehe.
 
Hata huyo mwanamke unayemtumia kwa starehe na yeye anakutumia kwa starehe.
Mwisho wa siku mwanamke jamii itamuona malaya, akitiwa mimba anakuwa single mom

Kwa mfano angalia wale wake za watu waliogongwa na Baltazar wanasemwa ni malaya na wote wametalikiwa lakini Baltazar anasifiwa kwenye mitandao

Hizi mambo za kusema chochote mwanaume anaweza kufanya mwanamke anaweza pia huwa zinawashusha thamani sana wanawake

You will learn the hard way


 
Back
Top Bottom