Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Mkuu kwa dunia ya sasa ya utandawazi mambo ya mtambuka watoto wanajifunza automatic tu, bila hata kumpa vitabu au magazeti.
Fundisha watoto mambo ya sanaa(ubunifu, mziki, mpira nk), sayansi,teknolojia lugha na ujasiliamali ndio vinavyolipa kwa sasa.
Achana na mambo ya kutaja majina ya viongozi sijui vita ya libya na utopolo mwingine atavijua tu kupitia tv.
Tupo katika kipindi ambacho watoto wetu tunaweza kuwandaa vizuri zaidi kuliko wakati wowote ule.
Mfano hapa JF yu ajifunza mambo mengi mtambuka ambayo hatikuwahi kujifunza.
Wazazi wa sasa tujifunze the power of internet and harvest from it.
Mkuu unaweza mfundisha kufahamu hayo majina kama unahitaji mtoto aje kuwa mwana Historian hasa za mambo ya siasa,naona sio mbaya.
 
Hakuna Mzazi anayeweza kuishi ndoto ya mtoto wake. The best mzazi anaweza kufanya ni ku-support ndoto ya mwanae.
Labda watumishi, wanasiasa wanarithishana,wanamuziki wanarithishana(mfano bob male family), wacheza mpira wa miguu,kikapu nk.
Ronaldo,Mess, Gaucho, zidane watoto wao ndio tutakuwa tukiwaangalia miaka kumi ijayo.
 
Kuna mtoto wa Zidane mpira umemkataa. Unafikiri watoto wote wa diamond watakuja kuwa waimbaji kama baba yao?

All in all, kila unachokifanya mtoto ni aidha amerithi kutoka DNA ya baba au mama.
 
Labda watumishi, wanasiasa wanarithishana,wanamuziki wanarithishana(mfano bob male family), wacheza mpira wa miguu,kikapu nk.
Ronaldo,Mess, Gaucho, zidane watoto wao ndio tutakuwa tukiwaangalia miaka kumi ijayo.
Achana na ndoto ya Mzazi kwenda kwa mtoto. Namaanisha ndoto ya mtoto Mzazi hawezi kuiishi. Ni kum-support tu kijana
 
Punguza swagger za uongo basi wee jamaa
Uongo ni upi ? We upo dunia ya wapi.Taja neno la uongo hapo, vinginevyo ntakutolea uvivu. Unakuja kuchangia wakati hujui chochote, si ulale ukue.
Hujui kama familia ya Bob marley wamerithi kazi ya mziki ya baba yao!!
We umezaliwa bush, hapa unashabikia shabikia hata hujui kinachojadiliwa.
 
Huo sio jamaa ni babu yako huyo. JF kuna watu wamezaliwa 1960s
Hajui hata Gaucho ana mtoto anaetarajiwa kuingia ulimwengu wa soka soon.
Hajui Ronaldo anakiwanja chake na mtoto wake anafanya training pale na ni mwanasoka mtarajiwa.Hajui chochote ni fala mmoja mdandia mada, hopeless kabisa.
 
Back
Top Bottom