Uchaguzi 2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

Chama Tawala ni kipi? Ukipata jibu utawajua wapinzani ni wepi? Ila kwa kukusaidia ni wale ambao kazi zao ni kupinga pinga tuu.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Unaonaje vifutwe vyama vyote kibaki kimoja kuondoa usumbufu mnao pata
Chama Tawala ni kipi? Ukipata jibu utawajua wapinzani ni wepi? Ila kwa kukusaidia ni wale ambao kazi zao ni kupinga pinga tuu.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Maendeleo ya mtu mmoja mmoja ndio huleta maendeleo ya Taifa! sasa wewe kama mtu hunalo ulilolipata hayo ya Taifa yanakupa faraja gani?
Kwahiyo wewe unataka barabara zisijengwe?

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwahiyo unashauri vituo vya afya visingejengwa? Nyie huwa hamna jema kazi ni kupinga pinga tuu.

Development is gradual process..... haiji overnight wewe binti hiyo Marekani yenyewe bado ina changamoto zake za kimaendeleo.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
thubutu leta list ya majina ya hivyo vituo, kadanganyeni huko vijijini sio mjini hahahahaha, mbona hamuajiri basi maana vijana kibao hawana ajira wakafanye kwenye hivyo kituo hewa
 
Maendeleo ya mtu mmoja mmoja ndio huleta maendeleo ya Taifa! sasa wewe kama mtu hunalo ulilolipata hayo ya Taifa yanakupa faraja gani?
kabisa, inahitaji akili ya ziada kujua maendeleo ya mtu na ya vitu, kuna kitu wanapewa wakishaingia huko hahahahaha sio akili zao hao
 
on my way
Mwisho leo Mihemko yenu baada ya hapo tutajikita katika kuleta MAENDELEO tuu na tunaamini Jemedari wetu Magufuli atatuongoza vizuri.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mwisho leo Mihemko yenu baada ya hapo tutajikita katika kuleta MAENDELEO tuu na tunaamini Jemedari wetu Magufuli atatuongoza vizuri.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
hahahahaha wewe endelea kutetea tu ugali wako la sivyo njaa itawateketeza
 
Mwisho leo Mihemko yenu baada ya hapo tutajikita katika kuleta MAENDELEO tuu na tunaamini Jemedari wetu Magufuli atatuongoza vizuri.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa kuwakomesha watumishi wa umma kwa miaka mingine mitano!
 
Hizo andika wewe mjomba...Tarehe 29 October tujumuike kusheherekea USHINDI wa KIHISTORIA kwa Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ndio nimeandika hapo tayari halafu unataka ujumuike nani kwenye karamu ya udhalimu? Nkt
 
Karibu uje wewe,yeye na yule bila kukosa na mimi nitakuwepo siku ya kumuapisha Rais Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mkuu Mulokozijr12 , naunga mkono hoja, Tanzania upinzani hakuna kitu kabisa!.
Ni kesho, jee wanaweza?.
P
 
Zoezi la siku 53 tu Jiwe na ccm mpya hoi je Chadema wangepewa mwaka? Pasco wewe siyo binadamu kabisa na huta enda Mbinguni
 
Kwamba haendi mbinguni kwasababu ya kupishana mawazo na wewe...mjiandae kisaikolojia.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
kwamba wapinzani wangejiandaa kwa kuleta vifaru na kugawa silaha za moto kwa wanachama wao
Subirieni kuona jinsi mnavyoaibika leo..Magufuli anaenda kuweka HISTORIA YA USHINDI WA KISHINDO.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Subirieni kuona jinsi mnavyoaibika leo..Magufuli anaenda kuweka HISTORIA YA USHINDI WA KISHINDO.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
jibu swali,kishindo hata Iddi Amini alikuwa nacho tena Magufuli anaingia mara 8
 
Umekufa roho kama mbwa anayemwinda fisi! umesahau rambirambi mlizodhulumiwa? kejeli zote umesahau, kweli okafa omutima nka embwa eiga engo! (waulize wahaya wenzako wakutafsilie).
Hovyoooooooo, pumbvuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…