Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

Nilishasema kuwa wewe akili yako ina matatizo sana
 
Wee utakua umelipwa bei gani. Yaani unasifia kitu hakina sifa. Acheni kumzuga mama wa watu. Umakamu wenyewe aliwekwa kama mpango kuwatoa akina mama kutojiamini bahati katiba ikampa urais. Hata itikadi ya ccm ameshindwa kuzingatia. Mwenyewe kaangukia kwa wahuni nchi anaiendesha kuwapa manufaa wachache tena anagawa mali asili za nchi kwa wageni kwa kuaminishwa ndio njia sahihi kuendeleza nchi. Haki na usawa nguzo za CCM kapiga teke. Mwenyewe anajua tunasubiri tu atoa mchango wake nchi tupate kiongozi bora sio bora kiongozi.
 
Kuuza Ardhi ya Tanganyika kwa waarabu ni uzishi?
Kuitwa bibi mwakotozo kwa sababu ya kodi lukuki ni uzushi?
Kuuza bandari zetu kwa waarabu ni uzushi?
 
Naona umeishia kupiga porojo zako na kuonyesha kile nilichokizungumza kwenye andiko langu. Wewe ndio lile kundi nililolizungumzia hapa
 
Kuuza Ardhi ya Tanganyika kwa waarabu ni uzishi?
Kuitwa bibi mwakotozo kwa sababu ya kodi lukuki ni uzushi?
Kuuza bandari zetu kwa waarabu ni uzushi?
Weka ushahidi wa huo ujinga unaozungumza
 
Jifunze history ya mzee Mabom aliekua agent wa manamba kutoka ukada mwanza mpaka kigoma , alikufa kifo gani ,kama sio cha haibu mtu unaoza uku umelala , alikua chawa mkubwa enzi za mkololoni kuliko nyie machawa wa sasa ,then utakuja nishukuru badae , mjinga sana we ndugu
 
Mtaendelea kuumia na kuteseka sana na mafanikio makubwa yanayoendelea kuletwa na Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
 
Mtaendelea kuumia na kuteseka sana na mafanikio makubwa yanayoendelea kuletwa na Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Wewe mwenyewe umefanya maendeleo yapi katika viunga vinavyo kuzunguka, mie naamini wazazi ambao pia ni wazazi wangu wangu wamefanya makubwa ikowa ni pamoja mzaa mtoto ambae ni wewe na wengine ,ila sasa kwa nini unakengeuka.

Wazazi wetu hawakua machawa ,na mbaya zaidi watu wa Mbeya wanajulikana katika taifa hili na wapo na upekee wa ujasili na kujisimamia , wewe ni mzaliwa wa Mbeya au wakufika?

Nikwambie ipo siku utakufa mdomo wazi asema Bwana
 
CCM mkiamua kwenda na mama Samia uchaguzi mkuu 2025 kazi mnayo.

Mtaipa kazi kubwa tume ya uchaguzi na JWTZ. ni kwa ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…