Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Hoja yako nyepesi mkuu. Suala ni kilichopo kwenye mkataba. Jifunze kuelewa
 
Waweke vipengele vinavyoonyesha muda wa mkataba, na mambo mazuri ya kunufaisha nchi tuone kama kuna atakayepinga
 
Ningelikuwa na mamlaka nisingeogopa hata kidogo,juu ya hili,watumishi waendelee na utumishi wa kimitume makanisani,waiache serekali ifanye shughuli zake,tuwe na mipaka katika maisha yetu ya kila siku ikiwepo kuheshimiana,linalofanyika ipo siku "Polisi wataingia makanisani kuendesha ibada" mipaka ni muhimu katika taratibu zetu binadamu za kimaisha.
 
Mtaongea kila kitu, mtatapika kila aina ya ujinga na upumbavu wenu lakini ukweli utabaki palepale. Dalili zote zinaonyesha Watanzania hawataki hiyo biashara yenu na Dubai.

Kanisa Catholic lilimkaanga Magufuli Mkatoliki mwenzao mara mbili, kuhusu Demokrasia na kupotea kwa watu na watu wasiojulikana, pili ni kipindi cha Covid19. Leo wakipingana na Rais Samia ndio wanampinga kwakuwa ni Mwanamke na Muislamu? Hivi mna akili nyie watu?
 
mipaka huvunjika pale, serikali inapowaziba wananchi midomo wasiongee. Wa kuwajibika ni serikali inayowafunga wale wanaokuwa kinyume na hili kwa kuficha ukweli.
 
Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.

Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasisi za kanisa zisitishwe.
Usipotoshe, wanapewa ruzuku kwenye maeneo ambayo Serikari imepungukiwa na uwezo wa kutoa huduma kwa jamii mfano Afya, elimu nk.
Na haya madhehebu yanendesha kwa niaba ya Serikari mf KCMC, Ndolage Hospital, Bugando nk.

Usipotoshe ukweli
 
Utakuwa umetumwa na gwaji boy
 
Nakazia kabisa na barua ya kwenda makanisa yote ya kikatoliki.
 
Pumbavu sana kenge wewe unayetaka kututenga watanzania tuliona umoja na mshikamano bila kujali dini zetu na ukome kabisa.
 
Imeongezwa chumvi, wausome huo waraka kwani unahusiana vipi na masuala ya kiroho?.
 
Taifa linapaswa kuna na vichwa aina ya Maaskofu wa TEC
 
usomwe hata karine nzima. bandar wanapewa waarabu, na lile kanisa karibu na Bahar watabomoa kupisha upanuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…