Basi msipige kelele,
Coz hiyo katiba mpya haiji Leo wala kesho na hamna nguvu ya kuleta shinikizo lolote so no need ya kuwa kwenye siasa
Lisu aliwaletea wabunge wangapi?Tunao candidates wa kutosha hatuwezi kuchukua makapi toka CCM,kosa kurudia kosa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ije leo isije hilo hatujali wajibu wetu ni kudai katiba mpya. Hizo chaguzi za kishenzi shirikini nyie na familia zenu na wasiojitambua.
Ha ha ha mnadai vyumbani?
Mikutano yenu yote neno katiba mpya Lilianza kusikika 5mn bfr mkutano kufungwa
Kaenda kuhiji?! ๐๐Joseph 30 aka Paroko yuko Ubelgiji
Kuna mengi ya kuongea kwenye hiyo mikutano na sio katiba mpya tu. Kama kila mkutano ni kuongelea katiba mpya tu, si tungetumia kale ka spika kadogo kwa kutangazia biashara za dawa za mende simu iwe inajirudiaridia?
Katiba ndio ingekuwa hoja ya msingi coz hayo mengine ambayo mnaongea hayana impact kubwa bila katiba mpya, Kwa mtazamo wenu
Uko hapa jf unasubiri upewe taarifa ya kudai katiba mpya kwenye mikutano ya CDM na Makada wa CCM, mbona utachelewa sana boss.
Kuna uzi humu ulianzisha juzi unalalamika kwamba agenda kuu ya chadema kwenye hiyo mikutano inapaswa kuwa katiba mpya!Kuna mengi ya kuongea kwenye hiyo mikutano na sio katiba mpya tu. Kama kila mkutano ni kuongelea katiba mpya tu, si tungetumia kale ka spika kadogo kwa kutangazia biashara za dawa za mende simu iwe inajirudiaridia?
Acheni ujinga, katiba haiwezi kupatikana kwa haraka kiasi hicho, hata kama kuna lasimu ya Warioba, bado kuna mambo mengi ya kulekebisha. Na msijisaulishe upatikanaji wa katiba mpya unategemea sana na utashi wa chama tawara.1. Katiba mpya ni kipaumbele
2. Bila katiba mpya hakuna uchaguzi
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Twende kazi.
Mojakwamoja kutokukubalika viunga vya kimataifa(democrasia,na mikopo plus misaada), hivyo LISU na CDM wakiingia mkenge huo kwamba wamebariki upigishwaji kwata watanzania ...kugomea kwao uchaguzi nafuu Kwa watanzania ,vyama vyote viunge mkonoKabisa, kushiriki uchaguzi kwa katiba hii mbovu ni matumizi mabaya ya muda. Ninaamini kwa tume hii wapiga kura watakuwa wachache kupita maelezo. Wanachotaka CCM ni kuwarubuni CDM ili wakubali kushiriki uchaguzi ili kuwe na wapiga kura wengi ili kuficha aibu ya kutokukubalika.
Acheni ujinga, katiba haiwezi kupatikana kwa haraka kiasi hicho, hata kama kuna lasimu ya Warioba, bado kuna mambo mengi ya kulekebisha. Na msijisaulishe upatikanaji wa katiba mpya unategemea sana na utashi wa chama tawara.
Sasa tutasusia chaguzi ngapi? Kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchavuzi ni bora tushiriki, nina imani sana uchaguzi wa ubunge na udiwani utakuwa huru na wa haki. Bora twende kwenye uchaguzi ili suala la kudai katiba mya liwe pressure bungeni na uraiani
Huo ndio ujinga kuamini uchaguzi unaweza kucheweleshwa. Kwa Tz hicho kitu hakiwezekani. Kumbuka kuna vyama mamluki na wataingia kwenye uchaguzi kama kawa. Sasa unafikili utasusia chaguzi ngapi?Kabla ya kuyapasisha mawazo ya wengine kuwa ujinga, ni heri ukajiangalia mwenyewe kwanza kwani huenda ukawa mjinga kuliko wao.
Zingatia ni ujinga uliopitiliza kuanza kuita wengine wajinga hali hayupo aliyeanza kukuita hivyo.
Hivi uchaguzi bila katiba mpya tutakaokuja kudai tuliibiwa ni wa nini? Kwanini uchaguzi huo kama ikibidi usicheleweshwe ukaisubiri katiba mpya?
Tukiamua ipatikane katiba mpya sasa mbona inapatikana tu?
Si kuwa tamaa na ubinafsi umeshaanza kutuingia. Tofauti yetu leo na wale wadada 19 itakuwa nini kumbe? Si nao walikwenda bungeni kupigania katiba mpya kutokea ndani? Au?
Bure kabisa.
Huo ndio ujinga kuamini uchaguzi unaweza kucheweleshwa. Kwa Tz hicho kitu hakiwezekani. Kumbuka kuna vyama mamluki na wataingia kwenye uchaguzi kama kawa. Sasa unafikili utasusia chaguzi ngapi?
Ili katiba mpya ipatikane inabidi chama tawala wakubali. Ndio maana nasema kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchaguizi ni bora kufanya kuliko kususia
Acheni ujinga, katiba haiwezi kupatikana kwa haraka kiasi hicho, hata kama kuna lasimu ya Warioba, bado kuna mambo mengi ya kulekebisha. Na msijisaulishe upatikanaji wa katiba mpya unategemea sana na utashi wa chama tawara.
Sasa tutasusia chaguzi ngapi? Kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchavuzi ni bora tushiriki, nina imani sana uchaguzi wa ubunge na udiwani utakuwa huru na wa haki. Bora twende kwenye uchaguzi ili suala la kudai katiba mya liwe pressure bungeni na uraiani
Sijasema bunge kutoa pressure. Nimemaanisha kama kutakuwa na wabunge wa upinzani bungeni na kutoa pressure ndani ya bunge na uku nje kukiwa na pressure inaweza ikasaidia sana upatikanaji wa hiyo katiba kwa harakaHakuna bunge la kutoa pressure ya kudai katiba mpya hapa Tanzania boss. Kwa Afrika bila machafuko ni nadra kupata katiba ya matakwa ya wananchi. Kushiriki hizi chaguzi za kishenzi ni kupoteza muda. Wenye muda mchafu ndio watashiriki hizo chaguzi za kihuni.
Wiki mbili bado๐๐๐Lisu aliahidi kurudi baada ya wiki 2.
Tusubiri.
Wiki mbili bado๐๐๐
Sijakurupuka hata kidogo, huyo jamaa yako kasema Mughwai aliahidi kurudi baada ya wiki mbili. Wiki mbili hizo bado au sio?Umekurupuka ndugu. Mbona Taarifa rasmi kuhusu Lissu zipo muda?
Sababu za Lissu kurejea tena Ubelgiji
Wewe endelea kubaki na Lisu wako huko ubelgiji wakati wenzako wanaondoka na treni la walamba asali kina Mbowe, Lema, Mnyika nk.Msimamo wa Lissu nauunga mkono, ni Bora tusiende bungeni, kuliko kwenda bungeni na Katiba hii, hakuna maajabu tutayofanya, Bali tutakuwa sehemu ya tatizo na tutaendelea kulalamika