Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

Basi msipige kelele,

Coz hiyo katiba mpya haiji Leo wala kesho na hamna nguvu ya kuleta shinikizo lolote so no need ya kuwa kwenye siasa

Ije leo isije hilo hatujali wajibu wetu ni kudai katiba mpya. Hizo chaguzi za kishenzi shirikini nyie na familia zenu na wasiojitambua.
 
Ha ha ha mnadai vyumbani?

Mikutano yenu yote neno katiba mpya Lilianza kusikika 5mn bfr mkutano kufungwa
 
Kuna mengi ya kuongea kwenye hiyo mikutano na sio katiba mpya tu. Kama kila mkutano ni kuongelea katiba mpya tu, si tungetumia kale ka spika kadogo kwa kutangazia biashara za dawa za mende simu iwe inajirudiaridia?
 
Katiba ndio ingekuwa hoja ya msingi coz hayo mengine ambayo mnaongea hayana impact kubwa bila katiba mpya, Kwa mtazamo wenu
 
Uko hapa jf unasubiri upewe taarifa ya kudai katiba mpya kwenye mikutano ya CDM na Makada wa CCM, mbona utachelewa sana boss.
 
To me hii tuliyonayo ndio best Katiba
 
Kuna mengi ya kuongea kwenye hiyo mikutano na sio katiba mpya tu. Kama kila mkutano ni kuongelea katiba mpya tu, si tungetumia kale ka spika kadogo kwa kutangazia biashara za dawa za mende simu iwe inajirudiaridia?
Kuna uzi humu ulianzisha juzi unalalamika kwamba agenda kuu ya chadema kwenye hiyo mikutano inapaswa kuwa katiba mpya!

Tena ukasema huoni kama wanazingatia hilo
 
1. Katiba mpya ni kipaumbele
2. Bila katiba mpya hakuna uchaguzi

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Twende kazi.
Acheni ujinga, katiba haiwezi kupatikana kwa haraka kiasi hicho, hata kama kuna lasimu ya Warioba, bado kuna mambo mengi ya kulekebisha. Na msijisaulishe upatikanaji wa katiba mpya unategemea sana na utashi wa chama tawara.

Sasa tutasusia chaguzi ngapi? Kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchavuzi ni bora tushiriki, nina imani sana uchaguzi wa ubunge na udiwani utakuwa huru na wa haki. Bora twende kwenye uchaguzi ili suala la kudai katiba mya liwe pressure bungeni na uraiani
 
Kabisa, kushiriki uchaguzi kwa katiba hii mbovu ni matumizi mabaya ya muda. Ninaamini kwa tume hii wapiga kura watakuwa wachache kupita maelezo. Wanachotaka CCM ni kuwarubuni CDM ili wakubali kushiriki uchaguzi ili kuwe na wapiga kura wengi ili kuficha aibu ya kutokukubalika.
Mojakwamoja kutokukubalika viunga vya kimataifa(democrasia,na mikopo plus misaada), hivyo LISU na CDM wakiingia mkenge huo kwamba wamebariki upigishwaji kwata watanzania ...kugomea kwao uchaguzi nafuu Kwa watanzania ,vyama vyote viunge mkono
 
Acheni ujinga, katiba haiwezi kupatikana kwa haraka kiasi hicho, hata kama kuna lasimu ya Warioba, bado kuna mambo mengi ya kulekebisha. Na msijisaulishe upatikanaji wa katiba mpya unategemea sana na utashi wa chama tawara.

Sasa tutasusia chaguzi ngapi? Kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchavuzi ni bora tushiriki, nina imani sana uchaguzi wa ubunge na udiwani utakuwa huru na wa haki. Bora twende kwenye uchaguzi ili suala la kudai katiba mya liwe pressure bungeni na uraiani

Kabla ya kuyapasisha mawazo ya wengine kuwa ujinga, ni heri ukajiangalia mwenyewe kwanza kwani huenda ukawa mjinga kuliko wao.

Zingatia ni ujinga uliopitiliza kuanza kuita wengine wajinga hali hayupo aliyeanza kukuita hivyo.

Hivi uchaguzi bila katiba mpya tutakaokuja kudai tuliibiwa ni wa nini? Kwanini uchaguzi huo kama ikibidi usicheleweshwe ukaisubiri katiba mpya?

Tukiamua ipatikane katiba mpya sasa mbona inapatikana tu?

Si kuwa tamaa na ubinafsi umeshaanza kutuingia. Tofauti yetu leo na wale wadada 19 itakuwa nini kumbe? Si nao walikwenda bungeni kupigania katiba mpya kutokea ndani? Au?

Bure kabisa.
 
Huo ndio ujinga kuamini uchaguzi unaweza kucheweleshwa. Kwa Tz hicho kitu hakiwezekani. Kumbuka kuna vyama mamluki na wataingia kwenye uchaguzi kama kawa. Sasa unafikili utasusia chaguzi ngapi?

Ili katiba mpya ipatikane inabidi chama tawala wakubali. Ndio maana nasema kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchaguizi ni bora kufanya kuliko kususia
 
Ujinga ni kuanza kuita wengine wajinga unprovoked. Hiki ni kigezo murua kabisa ambacho hata mods hukitumia kuwagawia wajinga kama wewe vifungo vya nyakati mbalimbali.

Uchaguzi kucheleweshwa ni uamuzi wetu. Katiba mpya kupatikana kesho ni uamuzi wetu.

Vipi Kuna jimbo liko wazi unaona asali inanukia?

Angalizo mnataka kuleta mtafaruku usiokuwa na maana chamani.

Ninakazia:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
 
Acheni ujinga, katiba haiwezi kupatikana kwa haraka kiasi hicho, hata kama kuna lasimu ya Warioba, bado kuna mambo mengi ya kulekebisha. Na msijisaulishe upatikanaji wa katiba mpya unategemea sana na utashi wa chama tawara.

Sasa tutasusia chaguzi ngapi? Kama kutakuwa na mazingira mazuri ya uchavuzi ni bora tushiriki, nina imani sana uchaguzi wa ubunge na udiwani utakuwa huru na wa haki. Bora twende kwenye uchaguzi ili suala la kudai katiba mya liwe pressure bungeni na uraiani

Hakuna bunge la kutoa pressure ya kudai katiba mpya hapa Tanzania boss. Kwa Afrika bila machafuko ni nadra kupata katiba ya matakwa ya wananchi. Kushiriki hizi chaguzi za kishenzi ni kupoteza muda. Wenye muda mchafu ndio watashiriki hizo chaguzi za kihuni.
 
Sijasema bunge kutoa pressure. Nimemaanisha kama kutakuwa na wabunge wa upinzani bungeni na kutoa pressure ndani ya bunge na uku nje kukiwa na pressure inaweza ikasaidia sana upatikanaji wa hiyo katiba kwa haraka
 
Msimamo wa Lissu nauunga mkono, ni Bora tusiende bungeni, kuliko kwenda bungeni na Katiba hii, hakuna maajabu tutayofanya, Bali tutakuwa sehemu ya tatizo na tutaendelea kulalamika
Wewe endelea kubaki na Lisu wako huko ubelgiji wakati wenzako wanaondoka na treni la walamba asali kina Mbowe, Lema, Mnyika nk.

Hao ndio wenye chama, wewe na Lisu wako hamna chenu unless kama mtaanzisha chama kingine na kukipa jina la Chadema katiba.
 
Back
Top Bottom