dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Kwamba huyu Mzee ni age mate wa Charles Njonjo aliyechomwa moto 4 days ago at 101? Hata hivyo maoni yake yaheshimiwe; pinga hoja zake badala ya character assassin.kuna picha ya wasira yupo na Nyerere nadhani ni miaka ya 70 ile,yani hawa wazee wapumzike tu,sasa imagine mtu alikuwa anapiga stories na Nyerere alafu bado tutegemee maoni yake leo
wamefanya kazi kubwa sana wakati wao,sasa watuachie vijana,ndio mambo ya kina Ndugai ni mkubwa sana yule mzee