Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

KaZi wafanyazo zinahalalisha ulaji wao.

Ni kama tu wacheza mieleka wa nje!!

Vipi kuhusu ulaji wa Dider Drogba alipokuja Tz, kwani naye ni msukumaπŸ€”
 
Kabisaaa aisee 😁
Halafu wenyewe wameshazoea kula hivyo

Ndiyo maana hata uki-date na Wanawake wa kule lazima uwe umejipanga, wanakuwa na nguvu sana.

Nina experience na binti mmoja wa Kijaluo, isingekuwa uzoefu alitaka kunitia aibu 😜
 
We umesema ilikuwa nguna ya watu wa watatu ukashiba ukawaacha wenzako.

Sasa hapo shida iko wapi. Nilkdhani nguna ya watu kumi ililiwa na watu watatu.
 
Bora kipi uwe na kitambi alafu uwe na akili au uwe una kula sana alafu mjinga?
 
Nawahurumia wasije pata magonjwa ya sukari na presha za kupanda .
 
Dah umenikumbusha bhugali bho ndimi, ugali wa moto, nkalango au nyama iliyokaushwa ( ng'homele) na mtindi ( malibhoto).

Tatizo la Nguvu za kiume utalisikia Daslama tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani acha tu.
 
Ugali mkubwaaaa, na samaki mbichi mkubwaaa weee hapo hunitoi nakula mpaka mwili mzima unalowa jasho,
Obhise abhasukuma aha malya tutogohaga gete, bhebhe kolya kwa mpanga,
Kabisa.Abhachile badalyaga.Michembe na chai ya maziwa asubuhi yenye Michai chai. Gulya kwa mpanga.
 
Huwa nawashauri hivi;
Waache kula chakula Kingi kwa mazoea ya zamani sababu mfumo wa maisha umebadilika.
Zamani walikuwa wanakula ugali mwingi lakini ulikuwa unaishia kichomwa wakati wa kulima eneo kubwa, kutembea kwa miguu kilomita nyingi wakati wa kwenda na kurudi toka shambani na machungani ,
Magari hayakuwepo, Bodaboda hazikuwepo.
Siku hizi kuna magari, kuna Bodaboda ,
Kulima wanalima kwa vibarua, trekta au ng’ombe n.k

kuendelea kula ugali mwingi na mgumu kwa kukariri wakati kufanya kazi ngumu kama za zamani hakupo tena, hutembei kwa miguu mwendo wa mbali ni kujitafutia magonjwa hatari.
Ni hatari.
Baada ya muda wasipobadili namna yao yakufikiri na kucha kula sana wata experience kuugua magonjwa yasiyoambukiza kwa wingi kama vile presha ya kupanda na kisukari n.k
God forbidden
 
Nilialikwa na Msukuma mmoja alikuwa anaozesha binti. Mi nikafika pale natua tuu nililetewa beseni sio bakuri la nyama. Nikalipiga lote nikashiba balaa. Kumbe bwana ile ilikuwa ni kichangamsha mdomo "karibu mgeni" msosi ulikuwa bado.

Walipoleta msosi sasa wa kula wote 😁. Wali linaletwa sufuria hawapakui, mnakula linaisha wanaleta lingine na nyama zinakuja sufuria hivyo hivyo.
Mi nilikula tuu zile nyama wakawa wananicheka. 😁
Walsukuma wanapiga misosi jameni tuache masikhara. 😁
 
Dah umenikumbusha bhugali bho ndimi, ugali wa moto, nkalango au nyama iliyokaushwa ( ng'homele) na mtindi ( malibhoto).

Tatizo la Nguvu za kiume utalisikia Daslama tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dar es Salaam wala hakuna tatizo la nguvu za kiume zaidi ya kijijini kwenu, ni wahuni tu wanaotaka kufanya biashara za dawa za kienyeji. Ugali mkubwa kama kichuguu, nyama kavu na maziwa hauwezi kuzuia kupata tatizo la nguvu za kiume
 
Hahaha
 
Kubabaake mzee wa tamisemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…