Hii ilikuwa bonge la fursa, worldwide. Ukigundua dawa Dunia nzima, unauza. Tanzania nzima tunautupa umaskiniHakuna wakati muafa na Mzuri kama huu kupindua Msimamo wa Hali ya Umasikini Afrika.
Hii ilikua ni moment Moja tu yakurejesha Heshima kwa wa Afrika na Watu wake.
Hii Ingetokea tu kama Tungekuwa na Wanasayansi Nguri na Wabobezi wakaisaidia Dunia Kugundua na Kuzalisha Dawa ya hii COVID-19. Leo hii tungekua Tunaombwa Msaada na Marekani na Big Powers wote. Hapa na Sisi ndio Tungewawekea Masharti Magumu kama wao wanavyotumiaga Shida Zetu Kujinufaisha.
Labda Ingekua enzi za kinaa Mwanamalundi wangefanya kitu hapa.
Testing vaccines and drugs.. efficacy studies of western medicines! Ebu washitue NIMR. Waache surveys, determination of prevalences and the like. Sample collectors in other wordsMchango ni kusimamia utoaji wa chanjo zitakazoletwa na wale tunaowaita mabeberu.
Roger that
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hivi yule babu Wa #loliondo wap yupo angeanzisha kikombe basi Tz Tungeandika history
Hata mimi nilikuwa nafirikia mchango wa wanasayansi wetu katika research mbalimbali za majanga kama haya kama ilivyo kwa mataifa yaliyoendelea na pia yale yanayojulikana kama 'emerging nations'. Kumbe unaweza kuwa unafikiria kitu fulani na mtu mwingine pia anakifikiria. It's amazing!Tuna taasisi nyingi za utafiti hapa kwetu hasa za afya ya binadamu. Sitazitaja. Pamoja na kuwa hatuna world class labs kama za wenzetu, lakini kwa maabara zetu tuna wajibu wa kufanya kilicho ndani ya uwezo wetu. Tumefanya nini mpaka sasa?
Bado hatujachelewa, tuanze angalau epidemiological studies, prevalences, clinical studies etc. Tuandike short communications from observational studies za treatments za wagonjwa katika centres zinazowahudumia na vitu kama hivyo.
Kwa vile hii ni science, I stand to be corrected!
Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani mkuu. Hoja yangu ni hiyo kuwa ubovu wa sera za utafiti au elimu ya Tanzania kwa ujumla umepelekea kuzalisha watafiti feki kiasi kwamba kwa hali ilivyo sasa huko kwenye taasisi za utafiti kama vyuo vikuu hakuna kitu. Watu wote ni wababaishaji wanafoji hadi data ili wa-publish uongo wapande vyeo na mishahara lakini kichwani hawana kitu. Wewe fanya kautafiti binafsi uchunguze watu wanaojiita professors. Yaani hawana mchango wowote kwenye jamii zaidi ya sifa za kijinga wanazojipatia kwa kukalilisha wanafunzi makaratasi pasipo vitendo. Hope utaniambia huna hela ya kufanyia hako kautafiti binafsi ha😆ha😆😆haha😆Mkuu kungekuwa na sera nzuri ya utafiti wataalamu wangejielekeza wenyewe huko bila hata kusukumwa, mishahara ya watumishi wa umma ikiwemo watafiti kila mmoja anaijua, wengi wanategemea project za wazungu ambazo na wenyewe wanakuwa na interest zao, utaona wazi kwamba pesa nyingi zinatumika kwenye siasa na siasa zenyewe za hovyo za kununuana na matumizi ambayo hayafuati vipaumbele na mazingira ya nchi kwa sasa.
Kama uefanya kazi kwenye research centres utayakumbuka haya.Hata mimi nilikuwa nafirikia mchango wa wanasayansi wetu katika research mbalimbali za majanga kama haya kama ilivyo kwa mataifa yaliyoendelea na pia yale yanayojulikana kama 'emerging nations'. Kumbe unaweza kuwa unafikiria kitu fulani na mtu mwingine pia anakifikiria. It's amazing!
Hahaha...maprofesa wengi wa kibongo chenga sana, una publish paper nne za kawaida mnooo tayari unapewa u profesa. Vyuo vikuu vya wenzetu unaweza kuta idara nzima ina professa mmoja na akipita kila mmoja ananyanyuka kum admire, bongo kila unapopita unagongana na le professa....Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani mkuu. Hoja yangu ni hiyo kuwa ubovu wa sera za utafiti au elimu ya Tanzania kwa ujumla umepelekea kuzalisha watafiti feki kiasi kwamba kwa hali ilivyo sasa huko kwenye taasisi za utafiti kama vyuo vikuu hakuna kitu. Watu wote ni wababaishaji wanafoji hadi data ili wa-publish uongo wapande vyeo na mishahara lakini kichwani hawana kitu. Wewe fanya kautafiti binafsi uchunguze watu wanaojiita professors. Yaani hawana mchango wowote kwenye jamii zaidi ya sifa za kijinga wanazojipatia kwa kukalilisha wanafunzi makaratasi pasipo vitendo. Hope utaniambia huna hela ya kufanyia hako kautafiti binafsi ha😆ha😆😆haha😆
Mbona wanaweza sana kufikiri
Usicheze na America. Ukigundua dawa genuine hapa Tanzania, patent yake mmarekani anachukua na ukileta nyodo anakupiga na dawa anachukua. Ila dawa ya Corona itapatikana Africa, ya mitishamba.Hii ilikuwa bonge la fursa, worldwide. Ukigundua dawa Dunia nzima, unauza. Tanzania nzima tunautupa umaskini patent yake wanachukua wamarekani, na ukileta nyodo wanakupiga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa. Asante kwa kuliona hilo. Kwa hapa Tanzania uprofesa ni sawa na vyeo vingine vya siasa tena vile vya kuteuliwa. Unalala usiku asubuhi unaambiwa umeteuliwa kuwa profesa!! Ni shida!Hahaha...maprofesa wengi wa kibongo chenga sana, una publish paper nne za kawaida mnooo tayari unapewa u profesa. Vyuo vikuu vya wenzetu unaweza kuta idara nzima ina professa mmoja na akipita kila mmoja ananyanyuka kum admire, bongo kila unapopita unagongana na le professa....
Rais Mwanasayansi ana Ph.D ya Chemistry, anakwambia hiki kirusi ni cha kishetani, tuombe Mungu.Tuna taasisi nyingi za utafiti hapa kwetu hasa za afya ya binadamu. Sitazitaja. Pamoja na kuwa hatuna world class labs kama za wenzetu, lakini kwa maabara zetu tuna wajibu wa kufanya kilicho ndani ya uwezo wetu. Tumefanya nini mpaka sasa?
Bado hatujachelewa, tuanze angalau epidemiological studies, prevalences, clinical studies etc. Tuandike short communications from observational studies za treatments za wagonjwa katika centres zinazowahudumia na vitu kama hivyo.
Kwa vile hii ni science, I stand to be corrected!
Hapa Tanzania hakuna MD wenye uweledi wa juu bali tuna mfano wa MDs. Fanya utafiti utagundua hilo. Most MDs in Tanzania are well versed in seducing patients.Shida hatuna huo utamaduni ingawa naamini tuna MD wazuri sana na walio ndani na nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app