Ubongo una chaji?Mwambie Magufuli atoe hela. Unafikiri kufanya research lelemama ?Kuna Vifaa na reagents.
Well said. Uwezo wa kutengeneza chochote Cha maana ndio haupo kwenye vyuo vyetu na Tanzania kwa ujumla. Hayo ya kutokuwa na mtaji ni uongo uongo kuficha udhaifu.University of Zimbabwe wameanza kuzalisha masks, gloves, n.k, hawakuwa wala hawakuwahi kufanya hivyo hapo awali.
Tunasiliaga UDSM sijui SAUT vikitunishiana makelele na kujaza server humu, kwa sasa siwasikii.
Watengeneze hata mask moja ndio waombe msaada!!!
Hii tabia ya kulalamikia ukosefu wa mtaji, ....inaota mizizi. Hata mlevi chakari nae anaweza sema: lack of capital, lack of raw materials, etc.
Dunia inaendeshwa resi sana! Kulialia si suluhu.
Tunasubiri kuona WHO wanasemaje. Zile Phd zetu zilikuwa za kupatia mshahara tu. Na Zile tafiti tunzofanya tunatakaga tu Perdiem na contigency value ya 10% tumalizie kunenga nyumba zetu na kupeleka watoto wetu Feza schools basi.Ni wakati umefika kwa Wanasayansi wa Tanzania kuweza kutatua changamoto za Ugonjwa wa COVID-19.
Nchi nyingi za Africa zinakabiliwa na changamoto za Kuwa na Medical ventilators za kutosha kusaidia Wagonjwa wa CORONA. mashine hizi ni ghali sana!! Ila ni wakati wa Wasomi Wanasayansi wa kizazi cha sasa kuweza kubuni na kutengeneza mashine hizi.
Ni wakati Wasomi- Wanasayansi Wa Tanzania wanaweza kuionesha jamii jinsi gani Wanasayansi wanapaswa kuheshimiwa katika jamii.
Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeanza kudharau wasomi hasa hiki kizazi cha dijitali kusema haina maana ya kusoma kwa kuwa kusoma ni kupoteza muda. Naamini vyuo vya UDSM, DIT, Mbeya University, Nelson Mandela University, Arusha Technical College, NIT, IFM, MUHAS, UDOM, Bugando University of Health Allied Science, VETA, IFAKARA Institute of Health Research, UCLASS, SUA mtasugua vichwa ili kuja suluhu ya kupunguza makali ya Ugonjwa wa COVID-19!! hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
" Ni wakati dunia imesimama ikiwategemea Wanasayansi kuja na Suluhu ya Ugonjwa wa COVID-19, Wanasayansi wa Tanzania mnaweza!!!
View attachment 1416436
Mkuu usiseme sana kuna Kijana kule zanzibar alibuni uundaji wa Ndege Helicopiter unajua kilichomkuya pamona na kusubmit proposal zake pale Taasisi ya Sayansi na teknolojia?? Wapo vijana na Chuo cha NIT waliunsa gari linalotumia Umeme badala ya mafuta na walidemonstrate gari hadharani lakini waliishia wapi?? No Government interest/commitment.Well said. Uwezo wa kutengeneza chochote Cha maana ndio haupo kwenye vyuo vyetu na Tanzania kwa ujumla. Hayo ya kutokuwa na mtaji ni uongo uongo kuficha udhaifu. Hakuna chochote Cha maana kinaweza tokana na msomi wa Tanzania zaidi ya kujitetea tetea. Hakuna mtu aliye-submit proposal inayoeleweka hakakosa mfadhiri. Sasa sijui hiyo capital wanataka waipateje? Waswahili hatutaki kukubali ya kwamba hatuwezi tunaishia uongo uongo mwingi na visingizio.
Sio rahisi mtu mwenye njaa kali au anayehendekeza njaa kuinuka kisayansi. Nimetoka huko mavyuoni hata masters student thesis zao data wanapika. Yaani ni hatari sana.Bila kusahau kuwalipa vizuri watafiti na kuwa motivate, wataalamu wanatakiwa wawe kwenye mood muda mwingi anatafakari namna ya ku address research problems ili aje na suluhu, sasa unakuta researcher analipwa kiduchu na hapo hapo anakutana na majungu, fitina na ulozi makazini anaishia kuwa frustrated..
Mkuu ujanielewa. Hayo ya kubuni ndege ni creativity/ufundi ambao upo tu. Hata huyo aliyebuni unaweza kuta hata siyo product ya vyuo vyetu hivi uchwara, ni creativity yake tu hata mtu asiyepita shule anaweza unda kitu. Hiyo NIT ni project/idea ya China. Sometimes hata serikali inachunguza na ikiona ni Mambo ya uongo uongo inatupa kule.Mkuu usiseme sana kuna Kijana kule zanzibar alibuni uundaji wa Ndege Helicopiter unajua kilichomkuya pamona na kusubmit proposal zake pale Taasisi ya Sayansi na teknolojia?? Wapo vijana na Chuo cha NIT waliunsa gari linalotumia Umeme badala ya mafuta na walidemonstrate gari hadharani lakini waliishia wapi?? No Government interest/commitment.
una ushahidi na hilo au unaropoka tu?Angeweza kama akiachana na mambo yake ya ushirikina na kutoa watoto kafara
kuna yule jamaa anatengeneza umeme wa maji kaishia la saba tu.jiwe alimpa million 2 million 3 sijui something like thatNdio maana jiwe kaamua kuwasikiliza wavumbuzi wadogowadogo wasio na elim.
Nimri ilikuwa ni uchochoro wa kupigia hela za serikari na kundi lililotumiwa na mabeberu kutukandamiza
mzee una ugomvi nao nini?Ndio wanajiitaga madokta
Wametulia kimyaa
Virus amekuja kuwafanya hamna. Muhi2 na wenzake wapo kimya
Wale ma-TO wanaosifiana kila uchao siwaoni. Dozi imewaingia
Sasa wamebaki kuvaa maski tu. Mishahara wanalipwa vizuri kuliko walimu
ngoja wajuzi wajeKuna hoja hapa. Doctor in Medicine??halafu kavirus kanawatoa jasho...Tanzania nzima kuna dawa imewahi kugunduliwa na hawa Mdz au pharmacists?
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee jina lako linaashiria kuwa na wewe habari hii inakuhusu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
kumbe wamekariri au sioHawana lolote hao kazi yao kukariri tu bila kujaribu kuzama dipu. Wanajifanya wanafundisha utazan wanaelewa kumbe ndo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app