HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Kama vile mtu akutoe TCRA akupeleke Halmashauri. Wengi hupata stress na ufanisi wao hupungua na kama ameshajiwekeza vitega uchumi mara nyingi huwa wanaacha na kazi kabisa.
 
Me naona ni issue ya Vacancy tu yaan nafasi wazi kama walivyojibu. Halafu Kuna Uzi Fulani wa uhamisho wadau waliwahi kuleta REJECTED kama hii. Yule jamaa alielekezwa moja kwa Moja kuwa aombe tena kupitia dirisha la Vacancy
Shukran kwa ufafanuzi.. Maana mambo ya Ess Pasua Kichwa
 
Unamhamishaje mtu bila taarifa ulimsaidia kufanya interview??, jitu limekaa ofisini linajiandikia barua ya uhamisho aisee sio fair kabisa yani, kwani sababu ya kumhamisha mtu bila taarifa huwaga ni nini hasa??
Hahaha kuna mtu amehamishwa kutoka ewura kwenda tpdc, je hapo ameshushwa au amepandishwa...?
 
Hii wiki wengi wamepata vibali. NIMEONA fb wadau wanatoa ushuhuda
 
Hii nimeona tarehe 1/9/2026.......,ila barua ilitumwa ninakokwenda na ninakotoka wiki moja kabla ya mimi kuona mabadiliko. Nilipigiwa simu kwenda kuchukua barua kabla ya kuona mabadiliko haya.
Kwa sasa barua imewekwa pia kwenye ESS yako..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…