Hapo unajitekenya tu mkuu,, huko mbele lazima itakugomea, itakwambia tena "Vacancy not budgeted"Mwanzo nilikuwa naomba kwa ku create transfer vacancy ikawa inagoma kwa kuandika "not budgeted", ila baada ya kupitia uzoefu wa watu humu nika delete ile transfer nakuomba kupitia normal transfer naona imekubali kwenda. Ngoja nijaribu kusikilizia
Kuna ajira mpya iliajiriwa mwaka jana hapa halmashauri ndani ya miezi minne ikahamia taasisi Dodoma bila hata kuthibitishwa.
Yenyewe ilihama kwa makaratasi.
Wiki iliyopita imerudi tena baada ya utumishi kuitumia barua ya kurudi kituo chake cha kazi alichoajiriwa mwanzoni.
dahHapo unajitekenya tu mkuu,, huko mbele lazima itakugomea, itakwambia tena "Vacancy not budgeted"
Kweli? Mbona mimi niliwahi kuomba ila sikuhudhuria usailiukiwa mwajiriwa mfumo wa ajira portal unakataa mkuu
Unamaanisha zile dots 3 ukibonyeza hazitoi option yoyote?Ivi wakuu kuna jamaa nilianza mchakato wa kubadilisha nae ikafika hatua hiyo lakini alighairi nimepata wa kubadilishana nae mwingine lakini wananiambia haiwezekani niko na pending request sehemu ya kudelete haipo tunafanyaje hapo.
Nikitaja mkoa nakua nimeshamtaja mhusikaMkoa gani?
Ni mwanamke?Nikitaja mkoa nakua nimeshamtaja mhusika
MwanaumeNi mwanamke?
πππNyinyi jamaa mpo level ya kusubiri majibu na mna wasiwasi hivi mmetuwazia ambao ess inakuambia haujatimiza miaka 3? π
Siyo hivyo tu, na hata miaka 3 ikitimia najua nitakutana na changamoto aliyopost jamaa hapo ya "staff deficit" kwakua sisi tupo wawili tu na mwongozo unataka tuwe angalau 15.
Sasa shida ni maslahi, roho mbaya na kukua career wise. Mimi nimetoka private so kuna attitude fulani nilikuja nayo serikalini lakini kwa hapa nilipo hapana kubababake.
Kuleni maisha wazee.πππ
Mkuu kila mtu anachanganyikiwa kutokana na hali yake aliyonayo π.
Huenda hali yetu ikawa ngumu zaidi kuliko yako kwa sababu;
1. Majibu hayatabiriki unaweza kupata au kukosa kibali.
2. Tumesubiri kwa muda mrefu zaidi ya miezi miwili, vibali vimeanza kutolewa we unarukwa unasikia tu wenzako wanapata vyao daily. Wengine umetangulia kuomba kabla yao na wengine mmeomba nao mwezi mmoja week moja, hii inakufanya unazidi kuwa na wenge zaidi π
Cheo chako ofcn kuna uhaba wa watuWakuu nisaidieni hapo natokajae,nikisubmit inaniandikia hvyo
Hii uliokosea unatakiwaa unazanze kuomba vacancy wao wakujibu then unanze na normal transfer wamekupigia KO hapo ww umeomba normal transfer na hauna connection kwny tasisi husikaView attachment 3660910Majibu yameanza kutoka wakuu
Kweli hata kama ofisi yako hatua zote zimepita sawa, ila utumishi mambo yanaweza badirika, na ukakosa transfer
Nenda ofisi za tasisis za elimu ya wTy watu wazima anza kumuona mkuu wa idara husika wanahitaji sana wty hawa jamaaHapa pananifaa kwani naona wazoefu mpo tena mko serious kwenye kusaidia. Mimi nimekutana na not budgeted kila ninapojaribu ku submit vacancy transfer. Ubaya wakati mwingine naona taasisi husika imetoa nafasi za ajira kupitia ajira portal na sifa wanazohitaji ninazo ila kwenye ESS inagoma.Hapa navukaje wakuu.
NB: Niwe tu muwazi kwenu ndg zangu,Nina bachelor of education in adult education and community dvlpt. Naomba mwenye uwezo wakunisapoti anisaidie nipate connection ya vyuo vya kati (vya ualimu au maendeleo ya jamii)au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima.
Nakubali mkuu, Kuna watu tumeomba nao JULY tayari wameshatembea. Kwa mantiki hiyo nitashindwa kuwa na Wenge..!!πππ
Mkuu kila mtu anachanganyikiwa kutokana na hali yake aliyonayo π.
Huenda hali yetu ikawa ngumu zaidi kuliko yako kwa sababu;
1. Majibu hayatabiriki unaweza kupata au kukosa kibali.
2. Tumesubiri kwa muda mrefu zaidi ya miezi miwili, vibali vimeanza kutolewa we unarukwa unasikia tu wenzako wanapata vyao daily. Wengine umetangulia kuomba kabla yao na wengine mmeomba nao mwezi mmoja week moja, hii inakufanya unazidi kuwa na wenge zaidi π
Wanatumia jina lipi huko FB na mimi nijionee ushahidi wa wadauKwa hali hii wenge lazima mkuu.
Vinatoka mpaka weekend, nimeona FB huko watu wamepata Leo.
Kule kuna magroup ya watumishi wanaosubiri uhamisho kasearch utaonaWanatumia jina lipi huko FB na mimi nijionee ushahidi wa wadau