HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Taratibu Mkuu wasije wakatufutia Uzi wetu, kama kuna matumizi ya Abuse language basi iondolewe hiyo au wadeal na muhusika. Uzi wetu watuachie kwani unatusaidia kupeana updates Wapambanaji
Nakazia
 
Duh iyo salary hamna anae kushika halmashauri na hawazi kukushusha

Ila ungewakea ugumu ku report km hawajakulipa hela ya uhamisho
 
Ww jamaa utumishi hawajakosea kukupeleka Halmashauri.
 
Duh pole sana Kwa hapo halmashauri mwenye salary scale kama yako labda DED
 
Aiseee hivi huruhusiw kugomea uhamisho wa utumishi, happ labada na weww uanze kupambana kuomba uhamisho, ila unaonekana umetokea kwenye taasisi nzuri sana ilikuwa inalipa vzur sana hata TRA hawafiki huko
Niambieni kabla sijajichanganya pale TRA yule anaeanza kazi na degree ajira mpya scale yake TRA 4 ni pesa ngapi? Hapa nilipo mimi ni senior ila sioni mbele nataka kufanya recategorization nikaanze upya maisha TRA kwa fani nyingine niliyosomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…