Duh kwa hali hii sishangai kabudi kusema alitolewa jalalani, yani mshahara wa mtu wa PhD anazidiwa na officer ambaye ni dogo tu anayeanza kazi kwenye taasisi au mashirikaData za mwaka 2024
Tutorial Assistant Degree 1.7M
Assistant Lecturer Masters 2.5M
Lecturer PH D 3.4M
Posho nyingine inategemea chuo na chuo vyuo vingine vikavu kama udongo wa wilaya ya Kongwa.
Academician ni kuku wa kienyeji unatakiwa ujitafutie posho kupitia maandiko yako na Research papers kwahiyo niakili yako na usharp wako wa kupublish tafiti mbali mbali upate fund ili usife njaa.
Hizi ni baada ya Makato au ni grossData za mwaka 2024
Tutorial Assistant Degree 1.7M
Assistant Lecturer Masters 2.5M
Lecturer PH D 3.4M
Posho nyingine inategemea chuo na chuo vyuo vingine vikavu kama udongo wa wilaya ya Kongwa.
Academician ni kuku wa kienyeji unatakiwa ujitafutie posho kupitia maandiko yako na Research papers kwahiyo niakili yako na usharp wako wa kupublish tafiti mbali mbali upate fund ili usife njaa.
Duh lakini sometimes tuna fuata ndotoHakuna Maisha huko Mkuu, tena Non-academicians ndio worse kabisa
Njaa hatari sanaHalafu tunategemea academician wagundue vitu wakati mtu anawaza mwezi utaisha vipi. Ukiwa na njaa na akili haifanyi kazi vizuri
Kabisa yanatimia working days 42 sawa na miezi 2Wale ambao maombi yao yalifika kuanzia mwezi July 13 - 15.. ni takriban miezi miwili (2) sasa.. tunaendelea kusubiria vibali
Exactly, umeelewa vyemaShule kubwa sana Chief huyu wa June 2023 na yule July 2023 inamaama mmoja ni 2027 na mwingine 2028 au nimekosea Maste
Wewe ni ICT officer?TPDC usijaribu pale kama huna mtu unapoteza muda tu
Mbona nlisikia wana allowances kibao mfano Housing, Transport,Communication na extra duty_ au imekaaje hiyo??Data za mwaka 2024
Tutorial Assistant Degree 1.7M
Assistant Lecturer Masters 2.5M
Lecturer PH D 3.4M
Posho nyingine inategemea chuo na chuo vyuo vingine vikavu kama udongo wa wilaya ya Kongwa.
Academician ni kuku wa kienyeji unatakiwa ujitafutie posho kupitia maandiko yako na Research papers kwahiyo niakili yako na usharp wako wa kupublish tafiti mbali mbali upate fund ili usife njaa.
Kwa academician_Mbona nlisikia wana allowances kibao mfano Housing, Transport,Communication na extra duty_ au imekaaje hiyo??Mkuu usijichanganye kwenda vyuoni, utaliaaa
NakaziaDuh lakini sometimes tuna fuata ndoto
Kwani nawe si ulisema unasubiri kibali Utumishi au ulikuwa unatuzuga..?😁Wenye experience naomba kupata ufahamu, vitu gan vya kuattach wakati wa maombi
Kwani nawe si ulisema unasubiri kibali Utumishi au ulikuwa unatuzuga..?😁
Anyway.
Mara nyingi reason uliyoichagua ndio ina-determine nyaraka ya kuweka ila kwa kawaida ni CV tu.. hivyo viambata labda kwa wale wenye case za afya. But all in all vacancy request ni documents tosha hizo reasons ni mbwembwe tu
Nasubir kweli kiongozi... Nilikua nawaza tu labda attachment ndo zinanichelewesha🤣Kwani nawe si ulisema unasubiri kibali Utumishi au ulikuwa unatuzuga..?😁
Anyway.
Mara nyingi reason uliyoichagua ndio ina-determine nyaraka ya kuweka ila kwa kawaida ni CV tu.. hivyo viambata labda kwa wale wenye case za afya. But all in all vacancy request ni documents tosha hizo reasons ni mbwembwe tu
😂 Mkuu usirudie tena kudanganya wahuni, wahuni tuna kumbukumbu tena tunaweza hata kufukua makaburi ya threads kama ushahidi.. But Usiwaze kwani Vacancy si ulipata..?Nasubir kweli kiongozi... Nilikua nawaza tu labda attachment ndo zinanichelewesha🤣
Hahahahahah hahahahah ndio😂 Mkuu usirudie tena kudanganya wahuni, wahuni tunakumbukumbu Tena tuna weza hata kufukua makaburi ya threads kama ushahidi.. But Usiwaze kwani Vacancy si ulipata..?
Ok.. unatoboa hapo.. ombi lilifika lini UTUMISHI..?Hahahahahah hahahahah ndio
Hapo kaa kwa kutulia. Maana kama wapo watu wa June hawajajibiwa why wa August uwaze,,!! So relax12/08 Kiongoz