Preba de fisica
Member
- Apr 8, 2021
- 57
- 52
Sio sababu, Kuna watu maombi yapo yamefika tangu February na hawajapata vibali, ilihali wapo ambao yamefika June na July wamepata vibalii,,,,Hapo kaa kwa kutulia. Maana kama wapo watu wa June hawajajibiwa why wa August uwaze,,!! So relax
Wewe umepata..?Sio sababu, Kuna watu maombi yapo yamefika tangu February na hawajapata vibali, ilihali wapo ambao yamefika June na July wamepata vibalii,,,,
Sahihi. mimi maombi yangu Februari bado sijapata kibali.Sio sababu, Kuna watu maombi yapo yamefika tangu February na hawajapata vibali, ilihali wapo ambao yamefika June na July wamepata vibalii,,,,
Yes mtu wa ict level ya diploma lakiniWewe ni ICT officer?
Unataka kwenda wapi kati ya haya matatuWakuu
Aliyopo TANESCO TTCL au TRC watupe abc za abc hali zipoje huko upande wa maslahi na upatikanaji wa nafasi za kuhamia upoje hasa vitengo vya ufundi.
Ndio tumeuliza tupate abc kujua wapi pa zuri tuweke nguvu huko.Unataka kwenda wapi kati ya haya matatu
Katika hizi ni tanesco tu ndio pazuriNdio tumeuliza tupate abc kujua wapi pa zuri tuweke nguvu huko.
Shukrani mkuu nilijua shirika kama TRC litakua na mabadiliko yoyote kwaujio wa SGRKatika hizi ni tanesco tu ndio pazuri
Kwa level gan.? degree basic 1.8, ukiweka na posho na kila kitu take home haizidi 2.5Shukrani mkuu nilijua shirika kama TRC litakua na mabadiliko yoyote kwaujio wa SGR
Wadau walikushari uende Utumishi kuuliza kiundani zaidi.. ulifanikiwa kwenda..?Sahihi. mimi maombi yangu Februari bado sijapata kibali.
Siku fanikiwa kwenda mkuu. Nasubiri vitu vikae Sawa hapa.Wadau walikushari uende Utumishi kuuliza kiundani zaidi.. ulifanikiwa kwenda..?
Mkuu ivi umegundua kwamba saivi hata ukianzisha transfer request inasema "Vacancy not budgeted" so kwa maana hii hata ukipewa barua na taasisi husiku uka attach kupita transfer request still unafeli😂 Mkuu usirudie tena kudanganya wahuni, wahuni tuna kumbukumbu tena tunaweza hata kufukua makaburi ya threads kama ushahidi.. But Usiwaze kwani Vacancy si ulipata..?
Mbona hakuna attachmentNasubir kweli kiongozi... Nilikua nawaza tu labda attachment ndo zinanichelewesha🤣
WapiMbona hakuna attachment
Uko sahihi mkuu, maana ukipewa Ile barua utaanzisha normal transfer. Ukisha-attach baadae utakutana na Vacancy not budgeted. So hiyo imekuwa ni changamoto kubwaMkuu ivi umegundua kwamba saivi hata ukianzisha transfer request inasema "Vacancy not budgeted" so kwa maana hii hata ukipewa barua na taasisi husiku uka attach kupita transfer request still unafeli
Kwenye hiyo post yakoWapi
Kwan inatakiwa attachment gan KiongoziKwenye hiyo post yako
Cv au Vyeti au other supporting documents kma Marriage certificate,Ripoti ya Daktari, Children Birth certificate inategemea na sababu ya uhamishoKwan inatakiwa attachment gan Kiongozi
Ilianza kama Vacancy request hii, manake CV ilikuepo... Vyeti vipo kwenye mfumoCv au Vyeti au other supporting documents kma Marriage certificate,Ripoti ya Daktari, Children Birth certificate inategemea na sababu ya uhamisho
Sijajua ila ninacho jua attachment lazima iwepoIlianza kama Vacancy request hii, manake CV ilikuepo... Vyeti vipo kwenye mfumo